ILAN RAMON
JF-Expert Member
- Sep 10, 2013
- 9,698
- 4,488
Mkuu unafuatilia habari kwa njia ipi na umejuaje hamna ndege iliyoingia anga ya iran 😄 🤣 😂 😆!!!Punguza uongo na mahaba.
Hakuna ndege hata moja iliyoingia anga la Iran.
Tupo na tunafuatilia habari hadi sasa.
Kwani ripoti hukuzisoma hata humu zimeletwa!?Mkuu unafuatilia habari kwa njia ipi na umejuaje hamna ndege iliyoingia anga ya iran 😄 🤣 😂 😆!!!
Impact ya hayo makombora yaliyotunguliwa ni hiiMission haikuwa kuangusha ndege, but kutungua makombora...
Alisikika MOSAD wa Mbagala kwa mbiku...ni vizuri kuelewa mambo haya kwa undani kidogo.
hivi kweli adui yako anaweza kukuarifu kwamba atakushambulia muda, wakati na saa fulani, na akafanya hivyo?
umejiuluza ni kwanini?
ukielewa jambo hili ndipo unaweza kuona na kubaini hadaa za kiusalama za Israel dhidi ya Iran, na umadhubuti wa Iran katika kujilinda.
alichofanya Israel ni kumfanya Iran aactivate mifumo yake yote ya ulinzi ili hatimae Israel ipange vizuri namna ya kuikabili Iran 🐒
Nilitegemea nchi itajivunia kushambulia kuliko kuruhusu ishambuliwe kisha izuieNimecheki air defences za Israel na zile za Iran na kugundua kuwa, Iran imeihakikishia dunia kuwa ina Air defence bora kabisa..
Pamoja na mimi the branding kuwa pro-Israel, but hii naitoa moyoni kwamba Irani iko vizuri na itafika mbali.
Tusidanganyane, kila mmoja hutaka causality iwe kubwa sasa ikitokea hamna ama ni kidogo basi mpinzani kashinda.
Kwa mantiki hiyo, Iran ipewe maua yake🤣
Nimecheki air defences za Israel na zile za Iran na kugundua kuwa, Iran imeihakikishia dunia kuwa ina Air defence bora kabisa..
Pamoja na mimi the branding kuwa pro-Israel, but hii naitoa moyoni kwamba Irani iko vizuri na itafika mbali.
Tusidanganyane, kila mmoja hutaka causality iwe kubwa sasa ikitokea hamna ama ni kidogo basi mpinzani kashinda.
Kwa mantiki hiyo, Iran ipewe maua yake🤣
Kwa hio mkuu hili ni bonge la Achievemt ndege 100 zenye thamani zaidi ya trillion 30 zimerusha makombora zaidi ya 100 na kuua watu 4? Hebu kaa kidogo kunywa energy utumie hata 2% ya ubongo wako, is that an achievement?View attachment 3136638
Iran says four soldiers killed, radar systems hit in Israeli strikes
Iran’s FM says Tehran has no limits in defending its territorial integrity after Israeli strikes kill four.www.aljazeera.com
Bilashaka yoyote yajayo yanasikitisha sana, lengo la Israel ni ama kumalizana na Hayatolah Khamenei au Masoud Pezeshkian, Rais mpya wa Iran.Alisikika MOSAD wa Mbagala kwa mbiku...
Je...ni lini Israel itaishambulia rasmi baada ya kutest ndege 100...?
Kwako MOSAD wa Kwa MSUGULI..
Umeona alichofanya Iran baada ya Israel kufanya mashambulizi yake ya assassination ndani ya Iran!?Ndio sio waarabu na kutokuwa waarabu kunaipa Iran 🇮🇷 unafuu gani?
Haniya aliuliwa ndani ya Iran na sio Qatar 🇶🇦 alikokuwa anaishi miaka yote
Mkuu wewe baki kwenye ukada wa CCM,haya mambo huna ufahamu nayo utajiaibisha tu.Bilashaka yoyote yajayo yanasikitisha sana, lengo la Israel ni ama kumalizana na Hayatolah Khamenei au Masoud Pezeshkian, Rais mpya wa Iran.
nadhani hiyo ndiyo hasa itakua kituo kinachofuata, bila kuweka waza muda, saa wala dakika, kwasababu hao ndio hasa waliamrisha kushambuliwa kwa Israel hivi karibu na tayari wamejaa kwenye rada za Israel.
Kama ilivyotokea milipuko ya simu huko Lebanon na kuathiri mamilioni ya watu, ndicho hasa kitakachotokea hivi karibuni katika mifumo ya ulinzi ya Iran pale itakapokua ikilipuka yenyewe 🐒
aise!Mkuu wewe baki kwenye ukada wa CCM,haya mambo huna ufahamu nayo utajiaibisha tu.
Iran sio Lebanon.
Iran haiingiliki kirahisi kama udhaniavyo laa sivyo utalipa gharama kubwa.
Muulize Obama 2013 gharama ya drone nne alizoingia alipozipitisha anga la Iran.
Iran ina teknolojia kubwa ya kushindana na hao mabwana wakubwa.
Hata ukiangalia global firepower Iran iko juu ya Israel kwa uimara wa jeshi.
Na kaa ukijua ukitaka Israel ianguke basi imuue kiongozi wa kidini wa kishia.
Kwani walipomuua Ismail Haniyeh walishindwa kumuua na Khomeini!??
Hapo tambua itazuka vita ya kidini ambayo sio USA wala NATO nzima ambao wataweza kuingilia.
Sio tu Iran bali kila kikundi na nchi yenye mlengwa wa kishia itaingia vitani dhidi ya Israel.
*Silaha anazotumia Houthi, Hizbollah na Hamas zote ni Iranian made.aise!
CCM kumbe ipo mpka middle east dah. Kumbe impact yake ni kubwa mno kiasi hiki 🤣
kwahiyo gentleman ulikua hufahamu kwamba chuki za kidini huko mashariki ya kati ni miongni mwa sababu ya vita kutokukoma eneo hilo?
kwahiyo Irani inatechnolojia ya kiwango cha juu sana sio 🤣
mbona Ismail khaniah aliuawa sebuleni kwao kabisa?
na walishindwaje kumuokoa Rais woa Ibrahim Raisi aliefia huko vichakani milimani ikiwa technologia yao ni ya kisasa zaid.
Kama Irani ina nguvu ya kitecholojia kiasi hicho iweje ingae macho tu ndugu zao waisilamu wakichakazwa maeneo mbalimbali huko Mashariki ya kati kama sio uoga tu 🐒
eti shambulio la ndani ambalo ni gumu kulizuia 🤣*Silaha anazotumia Houthi, Hizbollah na Hamas zote ni Iranian made.
*Iran ana ujuzi wa kuunda makombora aina yote.
*Iran ana ujuzi wa kuunda kamikaze drones.
*Iran amefanikiwa kuunda Air defence system zake mwenyewe aina ya Khordak na Bavaar-373.
Kitu ambacho Iran bado haijawa sawa ni uundaji wa aircraft tu.
Ndege bado hajawa na ujuzi nazo.
Ila sekta zingine yuko vizuri.
Ismail Haniyeh alifanyiwa shambulio la ndani ambalo lilikua gumu kuzuia.
Na hapo unaizungumzia Iran ambayo ina miaka zaidi ya 40 imewekewa vikwazo vya kiuchumi na silaha.
Jiulize isingekua na vikwazo vya kiuchumi ingekuaje hadi sasa!?
Uliza Israel huko Lebanon kusini kinampata nini kama sio vifo kila siku,kuna askari wa IRGC ndani ya Hizbollah wanasaidia operation za hizbollah huko kusini mwa Lebanon kila siku askari wa Israel wanaangushwa.
Jana wamuangushwa wanne.
Ndio maana nasema wewe mambo ya CCM ndio yanayokufaa huku hapakufai.eti shambulio la ndani ambalo ni gumu kulizuia 🤣
kwahiyo mashambulizi ya ndani irani haiwezi kabisa kuyadhibiti right?
hiyo maana yake technolojia ni duni halafu haijawasaidia chochote right?
sasa vikwazio vina athari gani kwa inchi yenye kiwango cha juu sana cha technologia gentleman?
Yaani kulalamikia vikwazo maana yake wewe ni dhaifu sana na unaongozwa na someone somewhere, right?🐒
watu wanauawa kila siku eti unasifia silaha 🤣
Una cheo gani pale MOSAD...?Bilashaka yoyote yajayo yanasikitisha sana, lengo la Israel ni ama kumalizana na Hayatolah Khamenei au Masoud Pezeshkian, Rais mpya wa Iran.
nadhani hiyo ndiyo hasa itakua kituo kinachofuata, bila kuweka waza muda, saa wala dakika, kwasababu hao ndio hasa waliamrisha kushambuliwa kwa Israel hivi karibu na tayari wamejaa kwenye rada za Israel.
Kama ilivyotokea milipuko ya simu huko Lebanon na kuathiri mamilioni ya watu, ndicho hasa kitakachotokea hivi karibuni katika mifumo ya ulinzi ya Iran pale itakapokua ikilipuka yenyewe 🐒
Hizbolah ndio wametishika zaid na sasa hivi hakuna anaetamani kua kiongozi wa hizbolah wala Hamas hapo ghaza, inasikitisha sana, inafedhehesha sana..Una cheo gani pale MOSAD...?
Unataarifa nyeti na zakutisha sana.
Hongera kijana....
Naomba kuuliza swali...
Je ni kweli IsraU.S.A li ilitumia fighter jet 100 kuishambuloa Iran...?
maana huku mtaani watu wanaropaka tu...watu wanaweka ushabiki mbele...
nadhani unafatilia athari za mashaumbulizi ya Israel dhidi ya Iran kitechnolojia, right?Ndio maana nasema wewe mambo ya CCM ndio yanayokufaa huku hapakufai.
Shambulio la ndani ambalo linafanyika na jasusi sio kitu rahisi kukizuia ukizingatia Iran ina wayahudi waishio kama raia kamili wa Iran.
Wewe nenda ukashabikie masuala ya CCM tu.
Suala la vikwazo unatakiwa ujue toka miaka ya 1970s aliyekua super power ni Iran,bora sasa hivi kuna balance of power kutoka China na Russia.
USA ilitumia mwamvuli wa UN kumdhoofisha Iran kiuchumi ila still Iran ni middle upper income country na inaunda silaha na ina vinu vya nuclear.
Masuala ya geopolitics hujui rudi ukashabikie CCM mkuu.
Kina nani hao wanauliwa!?
Unaacha kuzungumzia kuwa askari wa IDF wanakufa kila leo huko mpakani na Lebanon!?
Galilee Kaskazini mwa Israel raia zaidi ya laki wamehama kwa kukimbia mashambulizi ya Hizbollah.
Kambi ya Galilee haiko functional kwa kulipuliwa kila mara na hizbollah.
Je hao Israel unaowanadi wana uwezo wameshindwa nini kuzuia Galilee isishambuliwe na kuunguzwa kwa makombora!??
Unazidi kujiabisha mkuu unapoongea.
Onhooo heheheeh jidanganye.nadhani unafatilia athari za mashaumbulizi ya Israel dhidi ya Iran kitechnolojia, right?
Irani iasema hawana uwezo wa kuzalisha ni eti baada ya shambulio la Israel juzi?..
muda usio kua mrefu rada na mifumo yote ya ulinzi Irani itakua haifanyi kazi na ndio hasa nguvu ya technologia ilivyo. Sasa akina Khamenei na Masoud si watafinywa kirahisi sana gentleman 🐒
Israel imewahadaa sana Iran kitechnolojia na kwamba hakuna tena alie salama ndani ya Irani 🐒Onhooo heheheeh jidanganye.
Zilizoathirika ni s300 moja ya Khameini airport bas.
Mifumo mingine inafanya kazi kama kawaida ikiwemo Bavaar na Khordak.