Iran imedhihirisha kuwa na Air defence bora

Humu ndani kuna vilaza wengi sana...Achana nao, hawawezi kukuelewa.
 
Humu ndani kuna vilaza wengi sana...Achana nao, hawawezi kukuelewa.
Yani mtu anaibeza Iran ilhali hapo mashariki ya kati imechafuka kwa uwezo wake.
Red sea hadi leo meli za Israel hazipiti sababu ni huyo huyo Iran kwa kumfadhili Houthi.

Aisee huyu kada wa CCM ana shida.
 
mchango wa urusi
 
ndiyo maana nimekueleza mapema mtindo wa Israel wa kumdhoofisha adui ulivyo na ni nani hasa analengwa na Israel.

Israel haina haja ya kuharibu airport, wala kushambulia raia wema sana wasio na hatia wa Irani. Israel is only targeting two Iranian high ranking individuals within black hearts. Na soon wate wawili au moja atakua newtrolized.

sasa gentleman niliuliza, kulikoni hizo nchini zinazopewa nguvu na Irani yenye technologia ya kiwango cha juu sana zinashindwa kabisa kuidhibiti Israel ? Tatizo ni nini hasa unadhani?🐒
 
Mkuu asubuhi njema umeshinda🙌🙌🙏🙏
 
 
 
 
 
Umeona alichofanya Iran baada ya Israel kufanya mashambulizi yake ya assassination ndani ya Iran!?
Kitendo cha Iran alichofanya Oktoba mosi kinajukupa jibu kabisa Iran sio watu mchele mchele.
Sio Egypt wale kuwa unaweza kuwapooza.
Alichofanya Iran ilimuathiri nini Israel hadi sasa?! Wameua nani ndani ya Israel?? Proxis wa iran ndio hao viongozi wao wanafukiwa ardhini kama panyq na Israel wakiwepo majenerali kibao wa Iran 🇮🇷
Do you really believe Iran is comparable to Israel in execution it's missions?
 
Kwani ripoti hukuzisoma hata humu zimeletwa!?
Embu zitafute.
Mkuu leta evidence acha porojo nataka kuona vituo vya kijeshi vya Israel vilivyoteketezwa maana vya iran nimeona kwa picha ya satellite 🛰
 
Nilileta ripoti ya BBC humu ndani maafa ya shambulizi la Iran kwa Israel.
Nevatim airbase,makazi zaidi ya 100 kubomolewa,shule kubomolewa.
Ukisema hivyo hata IDF wanauawa kwa usaidizi wa Iran huko Lebanon.
Iran ndio inaisaidia Hizbollah kisilaha na kijeshi kupigana na Israel South Lebanon.
Juzi askari 4 wa Israel wamelamba mchanga.
 
Here are some new details and revelations about the Israeli strike in Iran:

1.The strike destroyed all of Iran’s strategic air defense capabilities. This includes all long-range surface-to-air missile batteries. Iran had two such models: the Russian S-300 and an advanced Iranian-made model. All batteries were destroyed, along with long-range detection radars. Essentially, Iran is now left only with short-range air defense batteries of local Iranian models.

2.The main damage to air defense batteries was in Tehran and western Iran. In Tehran, this means exposing and making the Iranian capital vulnerable, while in western Iran, this area is where Iran launched ballistic missile attacks on Israeli territory, providing operational efficiency for the future.

3.IDF assessment: Iran has lost its strategic air defense capabilities for the next two to three years. Russia cannot supply it with systems due to the war in Ukraine, and it will take Iran a long time to produce new systems of the Iranian model.

4.According to reports, Iran holds over 2,000 long-range ballistic missiles. The existing arsenal was not damaged—only the capability to produce new missiles (as reported, planetary mixers, etc.). This means that Iran will now operate on a limited munitions economy, as its current missile stockpile will not be able to grow in the near future (in the coming months or years).

5.Contrary to various reports, there was no damage to Iran’s drone array. (We need find out what was hit at the Shams Abad site)

6.More than 140 aircraft participated in the strike. Over 50% of the pilots and navigators involved were reservists.

7.The IDF anticipated that the Iranians might respond with an attack of 200 ballistic missiles during the strike, while the aircraft were still airborne. The Air Force was prepared with a continuity plan that would allow both defense against such an attack and the completion of all three strike waves without forfeiting any targets. Ultimately, the Iranians chose not to respond immediately. A senior security official commented: “Every moment that passes without a response indicates they are conducting damage control, thinking with their heads and not their hearts, and weighing their steps.”

8.Preparations for a potential Iranian attack: This time, the Americans are expected to play a more significant role in defense and interception, thanks to the THAAD battery stationed in Israel and three ships equipped with AEGIS defense systems capable of intercepting ballistic missiles, which were also involved in intercepting the attack in early October.

(Doron Kadosh)
 
Mkuu leta evidence acha porojo nataka kuona vituo vya kijeshi vya Israel vilivyoteketezwa maana vya iran nimeona kwa picha ya satellite 🛰
Picha za mchongo hizo za satellite!??
Humu hadi video zililetwa.
Embu wasome BBC .

 
Mkuu asubuhi njema umeshinda🙌🙌🙏🙏
ni muhimu muhimu zaidi wadau wakafahamu vema kwamba, kamwe siwezi kushinda njaa ..

Neema na Baraka za Mungu ziambatane na kuandamana nawe daima, katika kazi na majukumu yako ya kila siku 🐒
 
Wala usiangalie watu waliouawa. Angalia miundombinu iliyoharibiwa
NB: Hiyo taarifa imetolewa na Iran. Israel wala haijajishughulisha kuhesabu waliokufa, imesema tu objectives achieved!
Ipo wapi hio miundombinu ilioharibiwa? Huna picha ama video?
 
Kambi ipi ya Israel 🇮🇱 ilipigwa?? Hahaha 😂 😂 😂 leta picha au clip!
Kabla watu hawajakupa picha na clip unazohitaji.
Wewe picha na clip za madhara yaliyosababishwa na shambulio lililofanya na USA/Israel unazo?
 
Hahaaahhah nimependa maelezo yako uchwara hahhaah nilichoona classroom moja pekee ndio imeharibiwa meaning Iranian missiles aren't precise as they claim.
Makombora 200 hata mbwa wala paka hajafa. Back to Israel's weekend response which has killed 14 Iranian troops do think there is a balance fighting hahahaha 😜 😆 😉 😄 🤣

Explosion could be heard overhead in mid air hahhah one class was damaged that's much iran could harm Israel
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…