baba-mwajuma
JF-Expert Member
- Feb 1, 2014
- 4,178
- 7,591
Sawa tuchukue data zako 1980 ndio mara ya mwisho sio? Haya toka 1980 kuna mataifa mangapi yamevamia mengine? Je hayo sio hatari?Miaka ya 80 Iraqi ambayo ni Taifa la Kiarabu liliivamia Iran ambayo sio Taifa la Kiarabu.
2001 Afghanistan iliivamia USA kwa kutuma Makomandoo wake kwenda kuzilipua World Trade Centre kule New York.Sawa tuchukue data zako 1980 ndio mara ya mwisho sio? Haya toka 1980 kuna mataifa mangapi yamevamia mengine? Je hayo sio hatari?
Kwanini wasivamie tena kama wana makomandoo wanaoweza kuvamia kirahisi vile? Hivi hata hao wa Afghanistan wenyewe unawajua?2001 Afghanistan iliivamia USA kwa kutuma Makomandoo wake kwenda kuzilipua World Trade Centre kule New York.
Unaniuliza kwanini wasivamie tena? sijui, labda wanajiandaa tena who knows.Kwanini wasivamie tena kama wana makomandoo wanaoweza kuvamia kirahisi vile? Hivi hata hao wa Afghanistan wenyewe unawajua?
Mkuu unajiaibisha tu humu na kujivua nguo, rudi tu mambo yako ya siasa, humu una jivunjia heshima. Hakuna mchunga kondoo wa Afghanistan mwenye uwezo wa kulipua Ghorofa Usa na hata Usa wenyewe hawajawahi kusema Afghanistan ndio Kalipua, wala Osama sio Mu Afghanistan. According to Usa wamevamia Afghanistan sababu wanawahifadhi hao watu.Unaniuliza kwanini wasivamie tena? sijui, labda wanajiandaa tena who knows.
Hapo Middle East Iran atatawala kama mbabe, akipata Nukes tu ndo hasumbuliwi.Nchi ya Lebanon ni Sovereign State na ina kiti chake kwenye United Nations yeye Iran kaenda kutengeneza Grupu la Kishia ndani ya Sovereign State.
Yemen ni Sovereign State ina kiti kwenye United Nations yeye Iran kaenda kutengeneza Grupu la Kishia ndani ya Nchi ya Yemen
Nasasa hivi ametengeneza Magrupu ya Kishia kwenye Jamhuri ya Iraq ambayo ni Nchi huru yenye kiti kwenye Umoja wa Mataifa.
Syria anatengeza Magrupu ya Kishia kwenye za Watu huru.
Umeniuliza nimekujibu hayo mengine ni Conspiracy Theory unayajua wewe.Mkuu unajiaibisha tu humu na kujivua nguo, rudi tu mambo yako ya siasa, humu una jivunjia heshima. Hakuna mchunga kondoo wa Afghanistan mwenye uwezo wa kulipua Ghorofa Usa na hata Usa wenyewe hawajawahi kusema Afghanistan ndio Kalipua, wala Osama sio Mu Afghanistan. According to Usa wamevamia Afghanistan sababu wanawahifadhi hao watu.
Ila mashoga wengi ni waislamuNdio hawajapofushwa na dini yao,ndio maana kiongozi wa kanisa ameruhusu wanaume muoane na waumini hamna shida na hilo
Makundi ya Kigaidi yatagawiwa hizo Silaha za Kiatomiki halafu Jihadi itatufikia tu huku Afrika ya Mashariki.Hapo Middle East Iran atatawala kama mbabe, akipata Nukes tu ndo hasumbuliwi
Umenijibu uongo, umenijibu kitu ambacho hata Usa mwenyewe haja sema umemsingiziaUmeniuliza nimekujibu hayo mengine ni Conspiracy Theory unayajua wewe.
Umeniuliza ni Nchi gani ya Kiarabu imevamia Nchi nyingine ambayo sio ya Kiarabu nikakuambia IRAQ Nchi ya Kiarabu iliivamia IRAN Nchi ambayo sio ya Kiarabu.Umenijibu uongo, umenijibu kitu ambacho hata Usa mwenyewe haja sema umemsingizia
Sijahamisha goal post, the fact that umepata tu nchi moja ya kiarabu ndani ya miaka 44 iliovamia nchi ambayo sio ya kiarabu ni proof kwamba Nchi za Kiarabu sio wagomvi na hawatumii nguvu.Umeniuliza ni Nchi gani ya Kiarabu imevamia Nchi nyingine ambayo sio ya Kiarabu nikakuambia IRAQ Nchi ya Kiarabu iliivamia IRAN Nchi ambayo sio ya Kiarabu.
Mimi sijazoea kubishana nakupa Facts halafu unakuja kuhamisha Goal Post.
Ulisema taja Nchi yoyote ya Kiarabu iliyovamia Nchi isiyo ya Kiaramu.Sijahamisha goal post, the fact that umepata tu nchi moja ya kiarabu
Sawa nishaelewa Reading Comprehension is not your strong suite, usiku mwema.Ulisema taja Nchi yoyote ya Kiarabu iliyovamia Nchi isiyo ya Kiaramu.
Uko sahihi ikumbukwe Iran ndo kubwa la magaidiIran idhibitiwe kabla haijatengeneza sihala za kiatomiki Serikali yoyote ya Kidini ni hatari kuwa na Silaha hizo kwasababu inaweza kushikwa na Extremists ikawa ni Balaa..
Tatizo moyo wako umejaa chuki na machungu yasiyo na sababu,wakati hizi ni hoja za kawaida tu.Mahaba tu yame kujaa hizo S series zime jaa syria na israel alikua anaingia na kupiga target bila kizuiz chochote uku machuma chuma ya mrusi yakiwa yame lala
Mbona ilichomwa na Bayraktar tb 2 Drone za Kituruki ya bei khafifu?nijuavyo,S400 ndio battery bora kwa sasa duniani.
mkuu labda hujaelewa,hakuna timu isiyofungwa,au golikipa asiyefungika,lakini kuna mwenye uafadhali kuwazidi wengine,kumbuka hayo yote yametengenezwa na wanadamu,madhaifu ni lazima yawepo.hakuna jambo lililo 100%.Mbona ilichomwa na Bayraktar tb 2 Drone za Kituruki ya bei khafifu?