Iran imetangaza kulipiza tena Kisasi kwa Israel baada ya shambulizi huko Syria

Iran imetangaza kulipiza tena Kisasi kwa Israel baada ya shambulizi huko Syria

100 others

JF-Expert Member
Joined
Aug 5, 2017
Posts
4,766
Reaction score
16,191
Amiri Jeshi Mkuu wa Jeshi la Walinzi wa Mapinduzi ya Kiislamu nchini Iran Hossein Salami ametangaza Israel isubiri jibu baada ya mauaji ya mshauri wao wa kijeshi nchini Syria Saeed Abyar.

Shambulizi hilo la anga ambalo limetokea Aleppo juzi June 3 limeua watu 17 ambao inaelezwa ni wapiganaji wanaoiunga mkono Iran ambapo afisa wa jeshi ambae ni mshauri wa kijeshi nchini Syria Saeed Abyar ni miongoni mwa waliofariki kwenye shambulio hilo.

PIA SOMA:

- Israel yaua Jenerali mwingine wa Iran nchini Syria
 
Iran inabweka bweka tu, Israel inawa eliminate one by one, President kaondolewa, hata huyu Mkuu wa Majeshi ataondolewa utashangaa tena huko huko Iran, yaani Iran viongozi wao wakubwa wa nchi nzima na wanajeshi wao, wanaishi kama wezi au majambazi, wako under Israel MOSAD most wanted list 24/7
 
Israel ipo kwenye hofu, ni muda sasa ku activate air defenses tayari kwa lolote.
Iran inachofanya ni kuifanya Israel iwe na heshima kwa watu wake waliopo middle east.
Iran amenunua ugomvi wa Israel, kwa mazingira ya Israel na uadui uliopo kwa sasa hana option , vita vitalipuka na Iran hatakuwa na namna ya kumshinda Israel kwa njia yoyote.
 
Israel ipo kwenye hofu, ni muda sasa ku activate air defenses tayari kwa lolote.
Iran inachofanya ni kuifanya Israel iwe na heshima kwa watu wake waliopo middle east.
How? Wakati Israel inaenda inawagonga jamaa ndani mule mule. Hadi Rais kagongwa na Mtarajiwa Hayatollah? Makamanda wa Iran kwa sasa wanaishi kama dikdik. Wakiona tu ukungu wanajificha
 
Eti president kaondolewa,ndo mlivoambiana kanisani huko!?
 
Back
Top Bottom