Iran imetangaza kulipiza tena Kisasi kwa Israel baada ya shambulizi huko Syria

Iran imetangaza kulipiza tena Kisasi kwa Israel baada ya shambulizi huko Syria

Amiri Jeshi Mkuu wa Jeshi la Walinzi wa Mapinduzi ya Kiislamu nchini Iran Hossein Salami ametangaza Israel isubiri jibu baada ya mauaji ya mshauri wao wa kijeshi nchini Syria Saeed Abyar.

Shambulizi hilo la anga ambalo limetokea Aleppo juzi June 3 limeua watu 17 ambao inaelezwa ni wapiganaji wanaoiunga mkono Iran ambapo afisa wa jeshi ambae ni mshauri wa kijeshi nchini Syria Saeed Abyar ni miongoni mwa waliofariki kwenye shambulio hilo.

PIA SOMA:

- Israel yaua Jenerali mwingine wa Iran nchini Syria
Iran ikilipa kisasi israel sasa inaondoka na ayatollah mwenyewe
 
I think i should read again THE BIBLE BOOK OF DANIEL...
 
Mavi yanagonga chupi huko TelAviv,katoka raisi so akiuawa ayatollah atawekwa mwingine,Ila vinu lazima viitike mji ambao hiyo ndege imetokea
😂😂😂 Ndoto za mchana
 
Amiri Jeshi Mkuu wa Jeshi la Walinzi wa Mapinduzi ya Kiislamu nchini Iran Hossein Salami ametangaza Israel isubiri jibu baada ya mauaji ya mshauri wao wa kijeshi nchini Syria Saeed Abyar.

Shambulizi hilo la anga ambalo limetokea Aleppo juzi June 3 limeua watu 17 ambao inaelezwa ni wapiganaji wanaoiunga mkono Iran ambapo afisa wa jeshi ambae ni mshauri wa kijeshi nchini Syria Saeed Abyar ni miongoni mwa waliofariki kwenye shambulio hilo.

PIA SOMA:
- Israel yaua Jenerali mwingine wa Iran nchini Syria
Dah majenerali wa Iran wanauliwa uliwa na Israel kirahisi rahisi tu kama kuku....
 
Iran inabweka bweka tu, Israel inawa eliminate one by one, President kaondolewa, hata huyu Mkuu wa Majeshi ataondolewa utashangaa tena huko huko Iran, yaani Iran viongozi wao wakubwa wa nchi nzima na wanajeshi wao, wanaishi kama wezi au majambazi, wako under Israel MOSAD most wanted list 24/7
Huwezi kumaliza mfumo kwa kuondoa mtu.

Unaua mtu anaingia mtu

Sasa usiombee kikaingia kichwa hatari kuliko kilichopita!
 
Mkuu wewe umetokea jamii za wakeketaji
Katika maisha yangu nilishatembea na mwanamke mmoja tu wakipare..
Aisee ukeketaji unamdhulumu mwanamke haki yake ya kufaidi maisha.
Sikurudia Mara ya pili.
It was tasteless.
 
unadhani kanisani kuna kuropoka ovyo kama huko kwa mtoro?
Na mitusi juu🙌🙌🙌.
Kor 1:25
Kwa sababu upumbavu wa Mungu una hekima zaidi ya wanadamu, na udhaifu wa Mungu una nguvu zaidi ya wanadamu.
 
Back
Top Bottom