Iran imetangaza kulipiza tena Kisasi kwa Israel baada ya shambulizi huko Syria

Iran imetangaza kulipiza tena Kisasi kwa Israel baada ya shambulizi huko Syria

Safari hii arushe machuma chakavu na mafataki alfu🙄😜
Alirushiwa mapipa yenye diesel,myahudi akakazana kutungua, halafu vile vyuma vyenyewe vikapenya
 
Imekiri kwa kuongea indirect speech.
Mara nyingi huwa ikisema "hakuna adui wa Israel ataebaki salama".
Hata walivyomuua kiongozi wa Hizbullah walisema"adui yeyote wa Israel ni maiti".
Ila kwanini ilipoletwa taarifa ya kufa Ebrahim Raisi Netanyahu ameikana!?
Nijibu,KWANINI NETANYAHU ALIIKANA SHUTUMA YA KUMUUA EBRAHIM RAISI!?
Tupa maelezo.
Maana katika matokeo ya kuua majenerali na wanasayansi huwa hakanushi wala hakatai ila ataongea kauli za mafumbo.
Mbona hii kakanusha one way tena kwa msisitizo!?
Netanyahu alisema kifo cha rais wa Iran ni sawa na kisasi kidogo saana. Jibu limo humo ndani ya fumbo, kuna ndio na hapana
 
Hawa hawakomi mpaka Ayatollah nae atangulizwe maana mtu mwenye kashazeeka kweli
 
Netanyahu alisema kifo cha rais wa Iran ni sawa na kisasi kidogo saana. Jibu limo humo ndani ya fumbo, kuna ndio na hapana
Amesema hahusiki na kifo cha Raesi.
Maana wangetaka kulipiza wasingelipiza kwa namna ndogo hiyo.
Zingatia neno WANGETAKA.
 
Amiri Jeshi Mkuu wa Jeshi la Walinzi wa Mapinduzi ya Kiislamu nchini Iran Hossein Salami ametangaza Israel isubiri jibu baada ya mauaji ya mshauri wao wa kijeshi nchini Syria Saeed Abyar.

Shambulizi hilo la anga ambalo limetokea Aleppo juzi June 3 limeua watu 17 ambao inaelezwa ni wapiganaji wanaoiunga mkono Iran ambapo afisa wa jeshi ambae ni mshauri wa kijeshi nchini Syria Saeed Abyar ni miongoni mwa waliofariki kwenye shambulio hilo.

PIA SOMA:

- Israel yaua Jenerali mwingine wa Iran nchini Syria
Washajibu tayari!!!
 
Iran ni shamba la Bibi,,na kibaya Iran hatilii maanani historia..Kuna mwanaume mmoja kutoka misri Anwar Al Sadat..Huyu ndie peke yake alikuwa na Nia ya dhati kuifuta Israel lakini alifeli mpango wake.Akisaidiana na Hafiz Al Assad waliivamia Israel kimya kimya lakini yaliwakuta makubwa October 1972…Leo Ayatollah anasahau mambo machache

Israel ni watu WA vita wenye majeraha na hawezi kuwashinda hata angekuwepo Muhammad.

Israel anaijua Iran maana Ayatollah Ruhollah haminei mnafki mkubwa na mwanzilishi WA mapinduzi ya kizushi ya Irani alisaidiwa silaha na Israel alipokuwa Hana hata risasi,,,kupigana na mkubwa Saddam hussein..lakini kibaya alitoa ruksa anga lake kutumiwa na Israel kushambulia Osirak ya Iraq..

Eti wanaedai wanawahurumia wapalestina Kwa walioyaona wakitendewa na Israel huko Lebanon..Unafki WA kina Ayatollah ni mkubwa sana..Kitu Iran imebakisha ni kuwa frying pan siku bom la atomic au thermonuclear au nuclear itakapodondoshwa Tehran,,Mashhad na qom..

Kama wasunni walifeli Kwa aibu mbele ya Israel ndio utashinda wewe mshia mnafki uliekuwa unaisaidia Israel wakati wasunni wakipata fungu lao la adhabu?? Na waongoza vita ni kina nasrala ambae Yuko radhi ajifiche ndani hata kuwe na msiba WA mama yake??

Kama nitapata MDA WA kupeleka maoni yangu kwenye sanduku la maoni ubalozi WA Iran pale palm beach nitawaandikia Tu kwamba kilichompata mamba na hata boko kitampata.
 
Amiri Jeshi Mkuu wa Jeshi la Walinzi wa Mapinduzi ya Kiislamu nchini Iran Hossein Salami ametangaza Israel isubiri jibu baada ya mauaji ya mshauri wao wa kijeshi nchini Syria Saeed Abyar.

Shambulizi hilo la anga ambalo limetokea Aleppo juzi June 3 limeua watu 17 ambao inaelezwa ni wapiganaji wanaoiunga mkono Iran ambapo afisa wa jeshi ambae ni mshauri wa kijeshi nchini Syria Saeed Abyar ni miongoni mwa waliofariki kwenye shambulio hilo.

PIA SOMA:
- Israel yaua Jenerali mwingine wa Iran nchini Syria
Naamini kwenye mgogoro huu Rusia anahusika na anafanya hivyo ili magharibi wapunguze kutoa silaha kwa Ukraine. Na inafanya hivyo ili USA na wengine wageuke kusaidia zaidi Israel.
 
Back
Top Bottom