Iran imetangaza kulipiza tena Kisasi kwa Israel baada ya shambulizi huko Syria

Iran imetangaza kulipiza tena Kisasi kwa Israel baada ya shambulizi huko Syria

Iran kwanini haiwatafti viongozi wa Israel iwaue mana wao wa kwao wanaisha...Rais Kauwawa
Waziri mambo ya Nje kauwawa
Majenerali ndio usiseme anzia Kassim Suleiman..Mtu wa maana kama Yule akauwawa kienyeji tu...
Dah
 
Eeeh .. muone huyu atafanyaje kwa mfano ..huyu hamas aliyemzibiti miaka nenda rudi je amemshinda
Nilitegemea Hamas watakaa pale mpakani kuilinda Gaza na Rafah pamoja na raia wao wasiivamiwe. Matokeo yake Hamas wamejificha kwenye mashimo na kwa wananchi.
Ni kitu gani hao Hamas wamefanya ili waonekane wanapigana vita?
 
Shut up wewe!
Kifo cha Qassem Soleiman kililipwa kisasi kwa kupigwa kambi ya jeshi iliyopo Iraq ambako ndiko shambulio lilitokea la kumuua Soleiman.
Askari wa US army wengi walipata ulemavu hasa wa kisaikolojia kwa lile shambulio,Trump kutaka kulipiza kisasi aliandaa Navy seal ila meli ziliishia tu ufukweni kama za kitalii.
Unadhani dunia hii unaweza ukaficha jambo!?
😀😀😀
 
Iran kwanini haiwatafti viongozi wa Israel iwaue mana wao wa kwao wanaisha...Rais Kauwawa
Waziri mambo ya Nje kauwawa
Majenerali ndio usiseme anzia Kassim Suleiman..Mtu wa maana kama Yule akauwawa kienyeji tu...
Dah
Rais hajauawa na Israel.
 
Eti president kaondolewa,ndo mlivoambiana kanisani huko!?
Kanisani unadhani ni kama vijiweni kwenu miskitini? We don't have time for bullshit, tupo focused na mambo yetu.
 
Iran amenunua ugomvi wa Israel, kwa mazingira ya Israel na uadui uliopo kwa sasa hana option , vita vitalipuka na Iran hatakuwa na namna ya kumshinda Israel kwa njia yoyote.
Nyie watu wa milima ya upako mnamatatizo ,,asa kundi la Hamas lawatoa jasho alaf Iran ishindwe ? Mbona ilishapiga mabomu ya kutosha ndan ya Israel na jamaa wakaufytaa
 
Hivi hawa iran wajinga namna hii, inakuwaje wanajeshi wao wanauwawa na hawachukui hatua ya kiulinzi wakiwa huko!!
Wanajeshi sio malaika kuuliwa kupo? Au kuna nchi wanajeshi wake hua hawafi?subiria tuone hicho kisasi kitakuaje
 
Shut up wewe!
Kifo cha Qassem Soleiman kililipwa kisasi kwa kupigwa kambi ya jeshi iliyopo Iraq ambako ndiko shambulio lilitokea la kumuua Soleiman.
Askari wa US army wengi walipata ulemavu hasa wa kisaikolojia kwa lile shambulio,Trump kutaka kulipiza kisasi aliandaa Navy seal ila meli ziliishia tu ufukweni kama za kitalii.
Unadhani dunia hii unaweza ukaficha jambo!?
Mkuu vyote hivo wanavijua ila akili za kupakwa mafuta ya upako ndio zimeishia hapo
 
mimi sion kama kuna nchi yoyote ya kiarabu inamuweza netenyau.. wanataka wapigwe waanze kutia huruma tu ap
 
mimi sion kama kuna nchi yoyote ya kiarabu inamuweza netenyau.. wanataka wapigwe waanze kutia huruma tu ap
Hizbullah tu ya Lebanon inamtandika Netanyahu sembuse nchi!?
Na huyo Netanyahu ashukuru ujamaa wa USA na UK unamlinda sana na umemuokoa katika mapigano kadha wa kadha.
 
Mavi yanagonga chupi huko TelAviv,katoka raisi so akiuawa ayatollah atawekwa mwingine,Ila vinu lazima viitike mji ambao hiyo ndege imetokea
Safari hii arushe machuma chakavu na mafataki alfu🙄😜
 
Back
Top Bottom