Traxtion
JF-Expert Member
- Dec 10, 2021
- 8,000
- 16,414
Sisi huku wengine tuko na vibe tu. Sawa hayatuhusu ila kifo cha Khamenei ni habari njema 🔥🔥Kauwawa Mwarabu Wamakonde wanalia, huo ni utumwa wa akili?
Sisi huku wengine tuko na vibe tu. Sawa hayatuhusu ila kifo cha Khamenei ni habari njema 🔥🔥Kauwawa Mwarabu Wamakonde wanalia, huo ni utumwa wa akili?
We utakuwa wa Nanjilinji huko.Sa hapo US na Israel kumuuwa Ayatollah Khomen hebu nipeni kipi cha kujisifia. Kwanza Iran alikuwa kwenye mazungumzo alijuwa hakuna vita na Khomen ni kiongozi wa dini kabla kuwa kiongozi lazima atabaki kwenye sehemu yake na hapo ndio Israel walipo enda kumpiga yeye akijua bado hakuna vita.
Pili yeye mwenyewe unri wake miaka karibu 90 kufa vile inahesabiwa ni bora sababu anaitwa shahidi.
Swali je kufa Khomen ndio wameshinda vita?
Trump akiamua hajali hayo manenoHuyo Samia hata akienda kunya chooni jamaa wanajua.
Na JWTZ ni F-15 moja tu inalichakaza jeshi zima ndani ya dakika 15 tu.
Lakini pia, kwa hizi nchi zetu za Kiafrika, hasa kusini mwa Sahara, wakizishambulia wataitwa wabaguzi.
Wataambiwa wanazishambulia kwa sababu hawawapendi watu weusi.
Tuna ujinga na upumbavu mwingi sana sisi.
Yaani adui yako anakusanya zana za kivita jirani yako kwa muda wa wiki mbili na anatangaza hadharani kweupe kabisa kuwa ana nia ya kukudhambulia halafu wewe umetulia tuu unasema hujui kuwa kuna vita? Kweli umeishiwa maneno.Sa hapo US na Israel kumuuwa Ayatollah Khomen hebu nipeni kipi cha kujisifia. Kwanza Iran alikuwa kwenye mazungumzo alijuwa hakuna vita na Khomen ni kiongozi wa dini kabla kuwa kiongozi lazima atabaki kwenye sehemu yake na hapo ndio Israel walipo enda kumpiga yeye akijua bado hakuna vita.
Pili yeye mwenyewe unri wake miaka karibu 90 kufa vile inahesabiwa ni bora sababu anaitwa shahidi.
Swali je kufa Khomen ndio wameshinda vita?
Hiyo China ana nini cha maana? Kama kweli hamuogopi US aivamie Taiwan sasaKama wewe sio China, kupigana au kubishana na US ni msiba tuu
Kwa Trump mbali.Huyo Samia hata akienda kunya chooni jamaa wanajua.
Na JWTZ ni F-15 moja tu inalichakaza jeshi zima ndani ya dakika 15 tu.
Lakini pia, kwa hizi nchi zetu za Kiafrika, hasa kusini mwa Sahara, wakizishambulia wataitwa wabaguzi.
Wataambiwa wanazishambulia kwa sababu hawawapendi watu weusi.
Tuna ujinga na upumbavu mwingi sana sisi.
Sa hapo US na Israel kumuuwa Ayatollah Khomen hebu nipeni kipi cha kujisifia. Kwanza Iran alikuwa kwenye mazungumzo alijuwa hakuna vita na Khomen ni kiongozi wa dini kabla kuwa kiongozi lazima atabaki kwenye sehemu yake na hapo ndio Israel walipo enda kumpiga yeye akijua bado hakuna vita.
Pili yeye mwenyewe unri wake miaka karibu 90 kufa vile inahesabiwa ni bora sababu anaitwa shahidi.
Swali je kufa Khomen ndio wameshinda vita?
Mdomo umemponza marehemu.Haya wale vijana mliokuwa mnasema mnasema Iran ni moto wa kupoteza mbdli, mmeona sasa? Kabla ya huyo alikuwa Saddam Hussein naye alikuwa mwanba na makelele mengi naye alikuwa kichwa na haohao
Endeleeni kujidanganya tuSa hapo US na Israel kumuuwa Ayatollah Khomen hebu nipeni kipi cha kujisifia. Kwanza Iran alikuwa kwenye mazungumzo alijuwa hakuna vita na Khomen ni kiongozi wa dini kabla kuwa kiongozi lazima atabaki kwenye sehemu yake na hapo ndio Israel walipo enda kumpiga yeye akijua bado hakuna vita.
Pili yeye mwenyewe unri wake miaka karibu 90 kufa vile inahesabiwa ni bora sababu anaitwa shahidi.
Swali je kufa Khomen ndio wameshinda vita?
Tatizo lenu hamjui Ayatollah Ali Khomen alikuwa haogopi kufa na alisha waanda watakao mrithi na kwa Dini ya Kislam kufa umeuliwa na adui ni Neena kubwa sana kuliko ufe kawaida. Ayatollah alikuwa anaomba afe shujaa na uzuri kafaa siku ya mwezi wa Ramadhan hio peke yake nema kubwa sana.We utakuwa wa Nanjilinji huko.
Pole 😂.
Mjomba asiyekubali kushindwa siyo mshindani.Sa hapo US na Israel kumuuwa Ayatollah Khomen hebu nipeni kipi cha kujisifia. Kwanza Iran alikuwa kwenye mazungumzo alijuwa hakuna vita na Khomen ni kiongozi wa dini kabla kuwa kiongozi lazima atabaki kwenye sehemu yake na hapo ndio Israel walipo enda kumpiga yeye akijua bado hakuna vita.
Pili yeye mwenyewe unri wake miaka karibu 90 kufa vile inahesabiwa ni bora sababu anaitwa shahidi.
Swali je kufa Khomen ndio wameshinda vita?
China ni Paper Tiger Hana jipya.Kama wewe sio China, kupigana au kubishana na US ni msiba tuu
Hakuna neema yeyote kwa Mzee Khamenei, ataozea jehanamu kwa mauaji ya raia wasio na hatia aliyofanya.Sa hapo US na Israel kumuuwa Ayatollah Khomen hebu nipeni kipi cha kujisifia. Kwanza Iran alikuwa kwenye mazungumzo alijuwa hakuna vita na Khomen ni kiongozi wa dini kabla kuwa kiongozi lazima atabaki kwenye sehemu yake na hapo ndio Israel walipo enda kumpiga yeye akijua bado hakuna vita.
Pili yeye mwenyewe unri wake miaka karibu 90 kufa vile inahesabiwa ni bora sababu anaitwa shahidi.
Swali je kufa Khomen ndio wameshinda vita?
Vita imeisha kwa knockout, Iran hawezi tena na uwezo hana, kitakachofuata wata surrender ile nuclear program 100% lakini kwa beberu haitatosha,bado watataka regime change, total control of oil (kama Iraq na Venezuela), kumaliza bikini vyote kama hezbolla etcSa hapo US na Israel kumuuwa Ayatollah Khomen hebu nipeni kipi cha kujisifia. Kwanza Iran alikuwa kwenye mazungumzo alijuwa hakuna vita na Khomen ni kiongozi wa dini kabla kuwa kiongozi lazima atabaki kwenye sehemu yake na hapo ndio Israel walipo enda kumpiga yeye akijua bado hakuna vita.
Pili yeye mwenyewe unri wake miaka karibu 90 kufa vile inahesabiwa ni bora sababu anaitwa shahidi.
Swali je kufa Khomen ndio wameshinda vita?
Acha kula maharage mabovuChina ni Paper Tiger Hana jipya.
Infact Iran kamzidi Mchina linapokuja suala la military operations.
Mjomba asiyekubali kushindwa siyo mshindani.
Kubali yaishe.
Kobe kutaka kumtunishia msuli tembo unategemea nini!How comes Iran viongozi wao wanauwawa kizembe namna hii?
Wananchi Iran tayari wanashangilia kifo cha KhameneiSa hapo US na Israel kumuuwa Ayatollah Khomen hebu nipeni kipi cha kujisifia. Kwanza Iran alikuwa kwenye mazungumzo alijuwa hakuna vita na Khomen ni kiongozi wa dini kabla kuwa kiongozi lazima atabaki kwenye sehemu yake na hapo ndio Israel walipo enda kumpiga yeye akijua bado hakuna vita.
Pili yeye mwenyewe unri wake miaka karibu 90 kufa vile inahesabiwa ni bora sababu anaitwa shahidi.
Swali je kufa Khomen ndio wameshinda vita?