- Thread starter
- #41
Taja successful military operations aliyoifanya Mchina kwa miaka ya hivi karibuni.Acha kula maharage mabovu
Taja successful military operations aliyoifanya Mchina kwa miaka ya hivi karibuni.Acha kula maharage mabovu
Habari njema. Habari mbaya, imla Tramp kamuua mwenzake Khamenei. Ubaya, tunaobeba madhara ni sisi tunaopandishiwa bei ya mafuta na bidhaa. Ukiona kunguru wananyongana, we panzi yako nini?Kiongozi Mkuu wa Iran ameuwawa katika mashambulizi ya Israel na Marekani, vyombo vya habari vya serikali ya Iran vimesema.
Serikali ya Iran imetangaza siku 40 za msiba wa taifa baada ya kifo cha Kiongozi Mkuu Khamenei kilichotokea siku ya Jana katika mashambulizi ya Marekani na Israel.
Source: Reuters
View attachment 3550346
View attachment 3550349
US will never fight against ChinaHiyo China ana nini cha maana? Kama kweli hamuogopi US aivamie Taiwan sasa
Vita imeisha mjomba.Habari njema. Habari mbaya, imla Tramp kamuua mwenzake Khamenei. Ubaya, tunaobeba madhara ni sisi tunaopandishiwa bei ya mafuta na bidhaa. Ukiona kunguru wananyongana, we panzi yako nini?
Wewe umejuaje alikuwa haogopi kufa? Alikupigia simu akakuambia?Tatizo lenu hamjui Ayatollah Ali Khomen alikuwa haogopi kufa na alisha waanda watakao mrithi na kwa Dini ya Kislam kufa umeuliwa na adui ni Neena kubwa sana kuliko ufe kawaida. Ayatollah alikuwa anaomba afe shujaa na uzuri kafaa siku ya mwezi wa Ramadhan hio peke yake nema kubwa sana.
Swali je US na Israel wameshinda vita au kufa Khomen ndio vita vitasimama.
Akili zenu ni finyu sana Ayatollah alizuia Iran wasimiliki Nuclear Boom mrithi wake ataruhusu na huku na huku umeona kioigo alicho pokea Israel usiku wa kuamkia leo.
Ni kweli. Bahati mbaya, hujui unachosemaVita imeisha mjomba.
Nafikiri hawa wamewekewa chip au Kama zile simu wakati uleHow comes Iran viongozi wao wanauwawa kizembe namna hii?
Nani asiyeogopa kufa? Kama alikuwa haogopi, mbona alikuwa akijificha na kuzungukwa na walinzi?Wewe umejuaje alikuwa haogopi kufa? Alikupigia simu akakuambia?
Wewe ndo hujui unachokisema.Ni kweli. Bahati mbaya, hujui unachosema
We kama nani umhukumu binadamu kwa propoganda za US na Netanyahu au Western. Kwa hio Trump na Netanyahu wao ndio wataenda peponi kutokana na akili zako.Hakuna neema yeyote kwa Mzee Khamenei, ataozea jehanamu kwa mauaji ya raia wasio na hatia aliyofanya.
Mi mbona sijasema kuwa alikuwa haogopi kufa…..umekosea kunukuu au?Nani asiyeogopa kufa? Kama alikuwa haogopi, mbona alikuwa akijificha na kuzungukwa na walinzi?
Bado wewe, shangazi yako bi msumi na abdul.We kama nani umhukumu binadamu kwa propoganda za US na Netanyahu au Western. Kwa hio Trump na Netanyahu wao ndio wataenda peponi kutokana na akili zako.
Dalili ni nyingi hakuondoka kwake, pili alisha weka mrithi wake mwenye kuogopa kufa ni Netanyahu na Trump sio Ayatollah Ali KhomenWewe umejuaje alikuwa haogopi kufa? Alikupigia simu akakuambia?
Soma uzuri swali langu na namna nilivyouliza na niliposimama.Mi mbona sijasema kuwa alikuwa haogopi kufa…..umekosea kunukuu au?
Sasa daku inahususiana nini na haya yanayoendelea?Wanashindilia matonge ya ugali wakiita daku so muda si mrefu watakuja kwa speed kali kukanusha.
Kobazi wenzako wako msibani we unazurura huku na kipedo chako.Dalili ni nyingi hakuondoka kwake, pili alisha weka mrithi wake mwenye kuogopa kufa ni Netanyahu na Trump sio Ayatollah Ali Khomen
We kale nguruwe subiri uone Tela Aviv inavyo vurugwa
Wewe unachuki sana na uislamu lkn haitasaidia mimi nashangaa waislamu wamewakosea nini humu?We utakuwa Kobazi wa Nanjilinji huko.
Pole 😂.
Kiongozi Mkuu wa Iran ameuwawa katika mashambulizi ya Israel na Marekani, vyombo vya habari vya serikali ya Iran vimesema.
Serikali ya Iran imetangaza siku 40 za msiba wa taifa baada ya kifo cha Kiongozi Mkuu Khamenei kilichotokea siku ya Jana katika mashambulizi ya Marekani na Israel.
Source: Reuters
View attachment 3550346
View attachment 3550349