Tatizo lenu hamjui Ayatollah Ali Khomen alikuwa haogopi kufa na alisha waanda watakao mrithi na kwa Dini ya Kislam kufa umeuliwa na adui ni Neena kubwa sana kuliko ufe kawaida. Ayatollah alikuwa anaomba afe shujaa na uzuri kafaa siku ya mwezi wa Ramadhan hio peke yake nema kubwa sana.
Swali je US na Israel wameshinda vita au kufa Khomen ndio vita vitasimama.
Akili zenu ni finyu sana Ayatollah alizuia Iran wasimiliki Nuclear Boom mrithi wake ataruhusu na huku na huku umeona kioigo alicho pokea Israel usiku wa kuamkia leo.