- Thread starter
- #61
Kafie mbele huko.Kwa kweli huu ni uonevu.
Kafie mbele huko.Kwa kweli huu ni uonevu.
Maneno mengi halafu uwezo duniHow comes Iran viongozi wao wanauwawa kizembe namna hii?
Faraja inahitajika katika kipindi hiki kigumu😆😆Sa hapo US na Israel kumuuwa Ayatollah Khomen hebu nipeni kipi cha kujisifia. Kwanza Iran alikuwa kwenye mazungumzo alijuwa hakuna vita na Khomen ni kiongozi wa dini kabla kuwa kiongozi lazima atabaki kwenye sehemu yake na hapo ndio Israel walipo enda kumpiga yeye akijua bado hakuna vita.
Pili yeye mwenyewe umri wake miaka karibu 90 kufa vile inahesabiwa ni bora sababu anaitwa shahidi.
Swali je kufa Khomen ndio wameshinda vita?
Ni kweliKiongozi Mkuu wa Iran ameuwawa katika mashambulizi ya Israel na Marekani, vyombo vya habari vya serikali ya Iran vimesema.
Serikali ya Iran imetangaza siku 40 za msiba wa taifa baada ya kifo cha Kiongozi Mkuu Khamenei kilichotokea siku ya Jana katika mashambulizi ya Marekani na Israel.
Source: Reuters
View attachment 3550346
View attachment 3550349
Kiongozi Mkuu wa Iran ameuwawa katika mashambulizi ya Israel na Marekani, vyombo vya habari vya serikali ya Iran vimesema.
Serikali ya Iran imetangaza siku 40 za msiba wa taifa baada ya kifo cha Kiongozi Mkuu Khamenei kilichotokea siku ya Jana katika mashambulizi ya Marekani na Israel.
Source: Reuters
View attachment 3550346
View attachment 3550349
Tuliza makalio wewe...yani intellegensia yao wasijue kuwa wanataka kushambuliwa?? Kama walikua hawajui basi hiyo haikua nchi ila ni kikundi cha kina mama chsma kufa na kuzikanaSa hapo US na Israel kumuuwa Ayatollah Khomen hebu nipeni kipi cha kujisifia. Kwanza Iran alikuwa kwenye mazungumzo alijuwa hakuna vita na Khomen ni kiongozi wa dini kabla kuwa kiongozi lazima atabaki kwenye sehemu yake na hapo ndio Israel walipo enda kumpiga yeye akijua bado hakuna vita.
Pili yeye mwenyewe umri wake miaka karibu 90 kufa vile inahesabiwa ni bora sababu anaitwa shahidi.
Swali je kufa Khomen ndio wameshinda vita?
ZIpo nyingi..ikiwemo ya kuweka madubwi nchi nzimaTaja successful military operations aliyoifanya Mchina kwa miaka ya hivi karibuni.
Nje ya mada, hivi pimbi yupoje? Nasikiaga tu pimbi.😂😂
*** Samia you are next, bittch.
Ayatollah alikua na umri wa miaka 86
Dah kumbe ngoma za kiafrika zinawabamba hivyo?Sisi huku wengine tuko na vibe tu. Sawa hayatuhusu ila kifo cha Khamenei ni habari njema 🔥🔥
View attachment 3550352
Hawa wavunja tofali hiyo mitungi wanayaona kwenye movie tu kama sisiMataifa ya wenzetu kwenye medali za kivita wapi mbali Sana.
Ayatollah na Iran zilikuwa zinanifurahisha kwa kupiga nchi za arabuni kama dubai ...maana kahaba na toto lake shenzi Abdul ndiyo yanako ficha fedha za Tanganyika.Ayatollah alikua na umri wa miaka 86
Dah hata bao la kwanza halitoki haraka namna hii aiseee
Intelijensia, haushangai Israel ndiyo wamemuua na wakatangaza kabla mtu yoyote even those Iranians on the ground hawaeliwa nini kilichotokea. This means walianza na kumuua yeye ndiyo mashambulizi mengine yakafanyika, ukumbuke mwezi mzima alikuwa mafichoni wakati military build-up ikiendelea sasa jiulize walijuaje hilo chimbo alilokuwa amejificha?How comes Iran viongozi wao wanauwawa kizembe namna hii?
Hapana mkuu, hawajashinda vita bali wameshinda njaaSa hapo US na Israel kumuuwa Ayatollah Khomen hebu nipeni kipi cha kujisifia. Kwanza Iran alikuwa kwenye mazungumzo alijuwa hakuna vita na Khomen ni kiongozi wa dini kabla kuwa kiongozi lazima atabaki kwenye sehemu yake na hapo ndio Israel walipo enda kumpiga yeye akijua bado hakuna vita.
Pili yeye mwenyewe umri wake miaka karibu 90 kufa vile inahesabiwa ni bora sababu anaitwa shahidi.
Swali je kufa Khomen ndio wameshinda vita?