Iran Imethibitisha Kuwa Kiongozi Mkuu, Ayatollah Ali Khomeini ameuawa

Iran Imethibitisha Kuwa Kiongozi Mkuu, Ayatollah Ali Khomeini ameuawa

SUNDAY, MARCH 1, 2026

NEW MONTH DECLARATION

Daniel 11:32 – “But the people that do know their God shall be strong, and do exploits.”

DECLARATIONS:
1. Heavenly Father, I thank You for bringing me into this new month, our month of wisdom for exploits.

2. I declare that I know my God, I am strengthened, and I am empowered to do exploits.

3. Divine wisdom rests upon my mind and governs every decision I make.

4. I reject confusion, foolishness, and wasted effort; I walk in insight and understanding.

5. My family is equipped with discernment and divine intelligence for every challenge.

6. This month, I step into bold actions backed by heaven’s wisdom.

7. March will produce visible exploits, breakthroughs, and undeniable testimonies in the name of Jesus Christ.

AMEN.

Pastor Daniel Okpara
 
Nimefurahi kwa kifo cha kafiri mshirikina dhalimu khamenei, the butcher of Iraq and Syria. Adui wa Allah na Mtume wake na adui wa Wake za Mtume na Maswahaba zake (Swala na Salamu ziwe juu yake Mtume), Allah Awaridhie Wakeze Mtume na Maswahaba wote wa Mtume (Swala na Salamu ziwe juu yake Mtume).




(Qur-aan 6 : 45)
45. Ikakatwa mizizi ya watu walio dhulumu - na wa kuhimidiwa ni Mwenyezi Mungu, Mola Mlezi wa viumbe vyote



Allah Awapige madhalimu kwa madhalimu wengine na atutoe katikati yao kwa salama, Allahumma Aamiin.
 
Katika Mataifa ya Kiislamu ninayoyakubali Iran namba moja.

Shida yangu na hawa jamaa ni kufadhili vikundi vinavyoua raia wasio na hatia.

Tofauti na hapo ana kila haki kwenye kila anachofanya bila kupangiwa masharti yoyote.
Kilichotokea ni uonevu.

Marekani hawezi kuyahisi maumivu ya vita hadi afanyiwe kama alichofanyiwa na Japan hadi akakimbilia kutumia Nyuklia.

Siku hizi vita zikipaganiwa pale New York akili zitawakaa sawa.

Inshort niko against na kuuwana asee.
Uonevu kivipi? Mbona Iran wamerusha mabomu Dubai, Doha, Bahrain, Kuwait na Jordan? Maana yake na wao wenyewe walikuwa aggressive
Kwa sababu wameshindwa ndio unasema uonevu? Kwanza hakuna uonevu zaidi ya ule wa Ayatollah kuua maelfu ya waandamanaji Iran mwaka jana. Bora na yeye amewafuata huko, tena kwa njia ya aibu huku wananchi wake wakisherehekea
 
Wakati huo huo huku kiparang'anda ustaadh Keyboard_Warrior na wenzake machozi yamechanganyikana na makamasi kwa kilio
Marafiki zangu wa Kiislamu wameshaanza kuweka status za kuhuzunika juu ya kifo cha Ayatollah
Sema siwalaumu, inaonekana hawajui maovu ya huyu jamaa
Screenshot_20260301-102503.png
 
Nimeipenda spirit yake aisee😀😀
Nyie bakini na uwongo wa Israel kule Baharain watu wanajiuliza hio US air defences ina faida gani

​

We unajua kwanini Trump anatafuta ushindi wa vitisho haraka haraka alitegemea akimua Khomen ndio vita basi. Huoni mpaa mda huu anaona aibu kutangaza ushindi sababu base zake zinapigwa kama mchezo tawaketeni details kwenye special topic.
 
Nyie bakini na uwongo wa Israel kule Baharain watu wanajiuliza hio US air defences ina faida gani

​

We unajua kwanini Trump anatafuta ushindi wa vitisho haraka haraka alitegemea akimua Khomen ndio vita basi. Huoni mpaa mda huu anaona aibu kutangaza ushindi sababu base zake zinapigwa kama mchezo tawaketeni details kwenye special topic.
Inaonekana umeumia sana eeh 🤣🤣
 
Sio wajinga, wanajielewa
Ni vile tu hawafuatilii sana mambo ya nje, sio interest yao. Kwa nini useme ni wajinga?

Sio interest yao?
Picha ya Khamenei wameitoa wapi?
Wamepataje taarifa kuhusu kifo chake!?

Screenshot_2026-03-01-10-42-53-80_6bcd734b3b4b52977458a65c801426b0.jpg


Rafiki zako wa Kiislamu wanakupenda ila hawajui kama unawachukulia ni MAZUZU fulani hivi.
Nawaonea huruma sana.
 
Back
Top Bottom