Iran Imethibitisha Kuwa Kiongozi Mkuu, Ayatollah Ali Khomeini ameuawa

Iran Imethibitisha Kuwa Kiongozi Mkuu, Ayatollah Ali Khomeini ameuawa

Sio interest yao?
Picha ya Khamenei wameitoa wapi?
Wamepataje taarifa kuhusu kifo chake!?

View attachment 3550459

Rafiki zako wa Kiislamu wanakupenda ila hawajui kama unawachukulia ni MAZUZU fulani hivi.
Nawaonea huruma sana.
Victim mentality
Mimi nakuona wewe ndio zuzu. Kifo cha Ayatollah kimetrend na wao wameweka status kwa sababu tu ni muislamu mwenzao. Naishi nao hawajui hata kuhusu mauaji ya raia wa Iran mwaka jana. Nina uhakika hata wengi wao nikiwauliza wamemjua lini, basi ni jana usiku baada ya taarifa za kifo chake kuanza kusambaa
Zuzu ni wewe ambaye unamjua Ayatollah na una support mauaji yake aliyofanya huko Iran.
Pia kama hujui mama yangu ni muislamu, nimekulia sehemu yenye waislamu wengi kwa hiyo watu wengi around maisha yangu ni waislamu. Siwezi kuwadharau watu wanaonisaidia nikiwa na shida, au marafiki zangu wanaofanya niendelee kuishi kwa furaha hapa duniani
 
Iran ni dhaifu kuliko nilivyokuwa nadhani kumbe.

Anaingilika kirahisi sana.

Russia alipoona anakaribia kuvamiwa aliamua kuanza yeye kuvamia.Hiyo ni kanuni moja kubwa sana kama unaona ukianza wewe kushambuliwa unaweza kudhoofishwa.

Muiran alikuwa amekaa tu anaonesha ndevu huku watu wanamzunguuka.

Mimi ni shabiki wa Urusi ila marekani ni kisanga sana aisee.

Trump namkubali sana japo ni mbabe aliepitiliza ila sio mnafiki.

Wangekuwa democratic wangeanza ngonjera halafu wakavamia ghafla ila Trump kamwambia kabsa muiran ila bdo akashindwa kujipanga.
 
Ayatollah na Iran zilikuwa zinanifurahisha kwa kupiga nchi za arabuni kama dubai ...maana kahaba na toto lake shenzi Abdul ndiyo yanako ficha fedha za Tanganyika.
Tanganyika ina fedha!?
 
29 oct mngekuwa hivi kwa kuripot hakika nchi isinge chafuliwa
 
Umekomalia kutia, unataka akuweke?
Hata ukitukana Ayatollah ndio ameshaenda na maji. Na hakuna kitu kama mabikra 72, amekufa kiboya 😆😆
The Voices Of Happy Iranians Are Heard All Across Tehran Tonight After The News Of Ayatollah ...jpeg
 
Victim mentality
Mimi nakuona wewe ndio zuzu. Kifo cha Ayatollah kimetrend na wao wameweka status kwa sababu tu ni muislamu mwenzao. Naishi nao hawajui hata kuhusu mauaji ya raia wa Iran mwaka jana. Nina uhakika hata wengi wao nikiwauliza wamemjua lini, basi ni jana usiku baada ya taarifa za kifo chake kuanza kusambaa
Zuzu ni wewe ambaye unamjua Ayatollah na una support mauaji yake aliyofanya huko Iran.
Pia kama hujui mama yangu ni muislamu, nimekulia sehemu yenye waislamu wengi kwa hiyo watu wengi around maisha yangu ni waislamu. Siwezi kuwadharau watu wanaonisaidia nikiwa na shida, au marafiki zangu wanaofanya niendelee kuishi kwa furaha hapa duniani
Umenichekesha sana!
Kitendo cha wewe kupost status ya huyo rafiki yako hapa JF ni kumdharau, umemdharau sana huyo rafiki yako wa Kiislamu, kama angekuwa na uwezo wa kuona hii post yako angeumia sana moyoni mwake.
Kama angeona unavyomtoa akili hapa jukwaani kwasababu ya imani yake, angeumia sana!
Rafiki yako anaamini Khamenei ni mtu safi, mambo aliyoyafanya ameyafanya kulinda imani yake na taifa lake kwa ujumla. Ila wewe unamuona rafiki yako ZUZU!!!
Wewe ni SNITCH sio rafiki!!!
 
Ayatollah na yesu nani alikufa kiboya?
Sasa habari za Yesu mi nazijuaje. Najuaje kama ni za kweli au uongo
Habari za uhakika ni hizi ambazo Wairan wanazishangilia. Gaidi limeteketezwa 😂😂🔥

Keyboard_Warrior naona umeweka reaction ya kucheka, ila moyoni una machungu sana kuuliwa kwa ndugu yako Ayatollah. Pole sana, ila usijali ataenda kupewa mabikra 72 akifika ahera 🤣🤣
Mkongwe, mimi wala sio Muislamu.

Ila jamaa unawadharau sana Waislamu, acha urafiki na Waislamu acha kuwa mnafiki, unakuwaje na urafiki na watu unaowadharau?
Unataka kuachieve nini kwenye huu urafiki wa kinafiki?
 
Nawaheshimu wananchi wa Iran wanaoshangilia kifo cha Ayatollah
Na hawa ni waislamu pia 😂🔥🔥
The Voices Of Happy Iranians Are Heard All Across Tehran Tonight After The News Of Ayatollah ...jpeg
 
Back
Top Bottom