Iran Imethibitisha Kuwa Kiongozi Mkuu, Ayatollah Ali Khomeini ameuawa

Iran Imethibitisha Kuwa Kiongozi Mkuu, Ayatollah Ali Khomeini ameuawa

3000+?
Tuanzie hapa kwanza, where did you get this number?
Are you sure hii number ni sahihi?
From Al Jazeera
Pia hata kama ingekuwa watu 100+ sio sawa
Screenshot_20260301-103232.png
 
N furaha yangu kuona makobaz wakipelekewa moto 😂
 
Wewe unachuki sana na uislamu lkn haitasaidia mimi nashangaa waislamu wamewakosea nini humu?
Hata mimi nilikuwa najua haya mambo yana udini lakini nilipoona Iran inazishambulia Saud, Qatar, UAE, Kuwait, Jordan nk

Nikajua hili jambo linapotoshwa sana na sisi wachangiaji kuingiza maswala ya kidini.
 
Nimefurahi kwa kifo cha kafiri mshirikina dhalimu khamenei, the butcher of Iraq and Syria. Adui wa Allah na Mtume wake na adui wa Wake za Mtume na Maswahaba zake (Swala na Salamu ziwe juu yake Mtume), Allah Awaridhie Wakeze Mtume na Maswahaba wote wa Mtume (Swala na Salamu ziwe juu yake Mtume).




(Qur-aan 6 : 45)
45. Ikakatwa mizizi ya watu walio dhulumu - na wa kuhimidiwa ni Mwenyezi Mungu, Mola Mlezi wa viumbe vyote



Allah Awapige madhalimu kwa madhalimu wengine na atutoe katikati yao kwa salama, Allahumma Aamiin.
Kwani huyu ni mshirikina?
 
Namuonea huruma mkuu Reuben Challe kumuelewesha mtu mwenye ubongo kama wako
Analazimisha kuwa ukiwa na rafiki muislamu basi ni lazima um-support Ayatollah. Anasahau hata wale watu 3000+ waliouliwa na huyu kiumbe ni waislamu pia. Siwezi kamwe, ku support miuaji yenye roho mbaya kama hilo lizee
Madikteta kama hawa wakiangushwa kwangu ni furaha 24/7
 
Trump endelea kuwapelekea moto bado wanapumua hawa makobaz, bado kobaz mmoja malaya hapo tanzagiza nae awaishwe akaungane na bikra wngn 72 apelekewe moto na Ayatollah kabla hajachoka
 
Sa hapo US na Israel kumuuwa Ayatollah Khomen hebu nipeni kipi cha kujisifia. Kwanza Iran alikuwa kwenye mazungumzo alijuwa hakuna vita na Khomen ni kiongozi wa dini kabla kuwa kiongozi lazima atabaki kwenye sehemu yake na hapo ndio Israel walipo enda kumpiga yeye akijua bado hakuna vita.

Pili yeye mwenyewe umri wake miaka karibu 90 kufa vile inahesabiwa ni bora sababu anaitwa shahidi.

Swali je kufa Khomen ndio wameshinda vita?
Wakati mwingine jifunze kuwa kimya Mkuu! Jipe muda wa kutafakari! Unataka kusema Ayatollah Khamain hakujua vita inakuja! Hiyo military machineries alikuwa anadhani ni utani? In short ni kama unasema Iran ni mazezeta!

Tulia kidogo Adiosamigo.....Tafakari labda unaweza kupata njia ya kuwasaidia jamaa zako wa Iran.
 
Hata mimi nilikuwa najua haya mambo yana udini lakini nilipoona Iran inazishambulia Saud, Qatar, UAE, Kuwait, Jordan nk

Nikajua hili jambo linapotoshwa sana na sisi wachangiaji kuingiza maswala ya kidini.
Kabisa, haya ni masuala ya kisiasa na kimaslahi sio ya kidini.
Sijui nani alidanganya Watz kuwa kui support Iran ndio ku support uislamu
Ingekuwa ni udini Iran asingeanza kulipua airport za wenzake


 
Back
Top Bottom