Iran Imethibitisha Kuwa Kiongozi Mkuu, Ayatollah Ali Khomeini ameuawa

Iran Imethibitisha Kuwa Kiongozi Mkuu, Ayatollah Ali Khomeini ameuawa

Haya wale vijana mliokuwa mnasema mnasema Iran ni moto wa kupoteza mbdli, mmeona sasa? Kabla ya huyo alikuwa Saddam Hussein naye alikuwa mwanba na makelele mengi naye alikuwa kichwa na haohao
Kuna Gaddafi na Maduro pia😂
 
Kamanda Ali Shamkhani MSHAURI mkuu wa usalama wa Khamenei naye pia aliuwawa jana asubuhi katika shambulio la Marekani na Israel
 
Israeli Air Force (IAF) imetangaza kuwa imeharibu kabisa makao makuu ya IRGC (Jeshi la Walinzi wa Mapinduzi ya Kiislamu) katikati ya Tehran.

Video iliyoambatanishwa inaonyesha mlipuko mkubwa katika eneo la mijini.Hii ni sehemu ya operesheni kubwa ya "Roaring Lion" (Shambulio la Simba Anayenguruma) iliyoanza jana (Feb 28, 2026) kwa ushirikiano na Marekani. Zaidi ya ndege 200 za Israeli zimeshambulia takriban maeneo 500 ya kijeshi nchini Iran
 
Kama wewe sio China, kupigana au kubishana na US ni msiba tuu
wanaogopana.
Hawawezi kushambuliana sabb USA na China zipo karibu mno kijiografia, missiles za China zinafika USA na za USA zinafika China.
Na kama ikitokea full scale war ya China na USA, basi Taiwan, Vietnam na South Korea pia zita-suffer vilivyo especially S. Korea ambaye bado analindwa na USA na kuna kambi za kijeshi za USA.
Pia technology wise hizi USA na China wanakaribiana though USA ako na slightly advantage.

Kwa mfumo wa kiuongozi, USA ina slight advantage, sabb China inategemea nguvu na akili ya mtu mmoja tu (Xi jinping) it's like China ipo directed na mawazo ya mtu mmoja tu.

Kwa Nuclear power, wote wanazo nguvu hizo. Japo USA yupo na slight advantage.
ila kwa Nuclear weapons sometimes unahitaji mabomu 10 tu kuimaliza nchi (unapiga sehm muhimu za kijeshi, na unapiga majiji makubwa yenye population kubwa mfano New York, Shanghai, n.k (imagine casualties kwa jiji lenye watu zaidi ya 15m likipigwa nukes)

So, vita yao kama ikitokea basi itaanzia kwanza kwenye "Divide & Rule" ila kama zote mbili zikiwa unified na zina umoja wa kitaifa, basi itakuwa ngumu kupigana kijeshi in a full scale war kwa sabb maafa yatakuwa makubwa kwa pande zote mbili.

Labda waendelee kupigana vita ya kiuchumi tu kama ilivyo sasa
 
Yes .
Pia anashangaa unavyofurahia Ayatolah kufa wkt mama yako ni muislam.
Mwenzio hajali kifo cha yeyote kinachosababishwa na muislam mwenzie.Hatakaa akuelewe, kwake Ayatolah ni mtakatifu na watakutanj peponi
Ndio maana dini yoyote ile hupaswi kuiendekeza kupita kiasi. Sometimes inabidi tutumie ubongo kufikiria

Nashangaa kwa nini wana support mauaji yanayofanywa na hao madikteta eti kwa kuwa tu ni dini moja na wao. Huu ni upumbavu wa hali ya juu
 
Hiyo China ana nini cha maana? Kama kweli hamuogopi US aivamie Taiwan sasa
wanaogopana.
Hawawezi kushambuliana sabb USA na China zipo karibu mno, missiles za China zinafika USA na za USA zinafika China.
Na ikitokea basi Taiwan, Vietnam na South Korea pia zita-suffer vilivyo especially S. Korea ambaye bado analindwa na USA na kuna kambi za kijeshi za USA.
Pia technology wise hizi USA na China wanakaribiana though USA ako na slightly advantage.

Kwa mfumo wa kiuongozi, USA ina slight advantage, sabb China inategemea nguvu na akili ya mtu mmoja tu (Xi jinping) it's like China ipo directed na mawazo ya mtu mmoja tu.

Kwa Nuclear power, wote wanazo nguvu hizo. Japo USA yupo na slight advantage.

na kwa Nuclear weapons sometimes unahitaji mabomu 10 tu kuimaliza nchi (unapiga sehm muhimu za kijeshi, na unapiga majiji makubwa yenye population kubwa mfano New York, Shanghai, n.k (imagine casualties kwa jiji lenye watu zaidi ya 15m likipigwa nukes)

So, vita yao kama ikitokea basi itaanzia kwanza kwenye "Divide & Rule" ila kama zote mbili zikiwa unified na zina umoja wa kitaifa, basi itakuwa ngumu kupigana kijeshi in a full scale war kwa sabb maafa yatakuwa makubwa kwa pande zote mbili.

Labda waendelee kupigana vita ya kiuchumi tu kama ilivyo sasa
 
Na Qatar ni wastaarabu sana hata maswala ya masilaha silaha wao hawajihusishi nayo sana, wao wamejikita kwenye biashara na kuimarisha uchumi wa nchi.

Waislamu wanasema ndugu yao ni Muislamu lakini haya mashambulizi ya Iran yanakuja ku prove tofauti.
Lile lizee ni katili. Mimi nashangaa nchi kama Qatar ina shida gani hadi uwapelekee vita mlangoni kwao? Bora walivyoliua
 
Msemaji wa Jeshi la Israeli (IDF): Tumewaua maafisa 40 na viongozi wakuu wa serikali katika shambulio la mwanzo – ndani ya dakika moja.
😂
Hawa makobaz walijikusanya ili wafuturu huku wakipanga mipango yao ya kigaidi, chap Trump akapita nao

Allah akbaru amekula kona kuwasaidia kobaz wake 😂
 
Kwa hio ndugu yangu ampe adui ardhi yake ili anipige mimi ni muwache tu sababu ndugu usalaba ni noma haswa. Akili zenu zimekaa kama misalaba yenu.
Kwani mashambulizi yaliyopigwa Iran si yametokea Israel? Hao UAE na Dubai wamehusika kwenye shambulio gani?
 
Katika hao wanaomtoa hapo utakuta wawili au wa tatu ni MOSSAD ndio maana Netanyahu alikuwa anasema ametumiwa picha. Hawa jamaa Israel ni nyoko
Binafsi nimetafakari sana kuwa mtu kafa na picha ishatumwa
 
Lile lizee ni katili. Mimi nashangaa nchi kama Qatar ina shida gani hadi uwapelekee vita mlangoni kwao? Bora walivyoliua
Iran kazipiga hizo nchi kwa sabb ya kujihami na kujilinda.
Tukumbuke ya kwamba hizo nchi zipo karibu na Iran, na USA ameweka military bases zake kwenye hizo nchi.

So, nadhani Iran kaamua kujihami na kujilinda kwa kushambulia military bases za USA zilizopo katika nchi hizo.
Sabb hizo bases zingetumika kurusha makombora (missiles), fighter jets, drones kuelekea Iran.

Nadhani Iran hana missiles za kufika USA moja kwa moja, hence attacking military bases za USA zilizopo karibu na Iran ipo justified kihivo.

USA mainland pia nadhani hana missiles za kufika Iran moja kwa moja that's why anazitumia hizo nchi jirani na Iran.
 
Tatizo lenu hamjui Ayatollah Ali Khomen alikuwa haogopi kufa na alisha waanda watakao mrithi na kwa Dini ya Kislam kufa umeuliwa na adui ni Neena kubwa sana kuliko ufe kawaida. Ayatollah alikuwa anaomba afe shujaa na uzuri kafaa siku ya mwezi wa Ramadhan hio peke yake nema kubwa sana.

Swali je US na Israel wameshinda vita au kufa Khomen ndio vita vitasimama.

Akili zenu ni finyu sana Ayatollah alizuia Iran wasimiliki Nuclear Boom mrithi wake ataruhusu na huku na huku umeona kioigo alicho pokea Israel usiku wa kuamkia leo.
Mimi sio mwislamu lkn kifo Cha Khomeini kimeniuma sana.
Tatizo lenu ndgu zetu waislam mnatabia ya kuchukulia Kila kitu kimihemuko/ hasira/ ghadhabu/ papara nk. Mtaisha...! Tulizeni vichwa adui mnaepambana nae sio kama mnavyomchukulia kimihemuko hemuko. Mzungu sio mtu mzuri mtaisha....!!! Oohoooo
 
Iran kazipiga hizo nchi kwa sabb ya kujihami na kujilinda.
Tukumbuke ya kwamba hizo nchi zipo karibu na Iran, na USA ameweka military bases zake kwenye hizo nchi.
So, nadhani Iran kaamua kujihami na kujilinda kwa kushambulia military bases za USA zilizopo katika nchi hizo. Sabb hizo bases zingetumika kurusha makombora (missiles), fighter jets, drones kuelekea Iran.

Nadhani Iran hana missiles za kufika USA moja kwa moja, hence attacking military bases za USA zilizopo karibu na Iran ipo justified kihivo.

USA mainland pia nadhani hana missiles za kufika Iran moja kwa moja that's why anazituma hizo nchi jirani na Iran.
Vipi kuhusu kuvamia Airports?

Great failure of Islamic education system. Ningekuwa mrusi au mchina nisingewapa silaha Wala MIFUMO ya kujilindaaana wanajinasibu mudi aliwaletea kitabu kilichokamilika ambacho hutakiwi kusoma kitabu Wala ELIMU nyingine. Sasa wasomu wa hicho kitabu waliwahi kugundua silaha gani tofauti na kutumia za hao hao wanaowaita Makafiri wanaogundua kwa kusoma sayansi? Hivi Karne ya Sasa hivi una komaa na riwaya za vlkusadikika unakariri halafu unasema wewe ni msomi?
 
Umemaliza vizuri sana kwa strong lines, japo lines za mwanzo zimejaa ubaguzi wa kidini.

ukipitia ma-file vizuri utagundua kwamba teknolojia ya milipuko na bunduki ilianzia Uchina na ikasambaa kwa Waarabu na mwishoni ndo ikafika Ulaya.
 
Back
Top Bottom