Iran Imethibitisha Kuwa Kiongozi Mkuu, Ayatollah Ali Khomeini ameuawa

Iran Imethibitisha Kuwa Kiongozi Mkuu, Ayatollah Ali Khomeini ameuawa

Kiongozi Mkuu wa Iran ameuwawa katika mashambulizi ya Israel na Marekani, vyombo vya habari vya serikali ya Iran vimesema.

Serikali ya Iran imetangaza siku 40 za msiba wa taifa baada ya kifo cha Kiongozi Mkuu Khamenei kilichotokea siku ya Jana katika mashambulizi ya Marekani na Israel.

Source: Reuters

Pia soma LIVE - Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Israel + Marekani vs Iran

View attachment 3550407
Ubalozi wa Iran nchini ulivyopost kuhusu hilo.

View attachment 3550346
View attachment 3550403
Byeeee
 
TRUMP ANAKWAMBIA HAYO N MAKOMBORA YA KIZAMAN BADO MAPYA HAHAHA
 
Kabisa, haya ni masuala ya kisiasa na kimaslahi sio ya kidini.
Sijui nani alidanganya Watz kuwa kui support Iran ndio ku support uislamu
Ingekuwa ni udini Iran asingeanza kulipua airport za wenzake
View attachment 3550494
View attachment 3550495
View attachment 3550496
Na Qatar ni wastaarabu sana hata maswala ya masilaha silaha wao hawajihusishi nayo sana, wao wamejikita kwenye biashara na kuimarisha uchumi wa nchi.

Waislamu wanasema ndugu yao ni Muislamu lakini haya mashambulizi ya Iran yanakuja ku prove tofauti.
 
Wakati mwingine jifunze kuwa kimya Mkuu! Jipe muda wa kutafakari! Unataka kusema Ayatollah Khamain hakujua vita inakuja! Hiyo military machineries alikuwa anadhani ni utani? In short ni kama unasema Iran ni mazezeta!

Tulia kidogo Adiosamigo.....Tafakari labda unaweza kupata njia ya kuwasaidia jamaa zako wa Iran.
We ndio jifakari wakati Iran anashambuliwa Iran walikuwa wanaongea na USA kuhusu Nuclear program ya Iran kisiasa na Iran walijuwa wazi Israel hawezi sogea Iran bila USA. Kwanza ni USA ndio walio muuwa Ayatollah wanadai wao walimpa infomation Israel Khomen yupo wapi si kweli.
 
Huwezi kutamba una jeshi imara wakati first attempt mtu ameshakuuwa!!
First attemp ambayo ni kama ambush, wala hii haiwezi kutumika kama hoja ya kudogosha uimara wa jeshi
 
Na Qatar ni wastaarabu sana hata maswala ya masilaha silaha wao hawajihusishi nayo sana, wao wamejikita kwenye biashara na kuimarisha uchumi wa nchi.

Waislamu wanasema ndugu yao ni Muislamu lakini haya mashambulizi ya Iran yanakuja ku prove tofauti.
Kwa hio ndugu yangu ampe adui ardhi yake ili anipige mimi ni muwache tu sababu ndugu usalaba ni noma haswa. Akili zenu zimekaa kama misalaba yenu.
 
Adui wa mtu ni mtu wa karibu, waliomchoma ni hao hao walinzi wake
Israel huwa wana watu on the ground, wanawachomeka sehemu zote muhimu. Of course kuna guards kununuliwa na kuuza mchezo lakini ukumbuke MOSSAD wana watu humohumo ambao huishi tu kama locals and with fluency in local languages kama wanavyofanyaga kwa nchi zote za Kiarabu.
Majasusi wa Kiisraeli wako vizuri sana katika versions zote za Kiarabu na Kiajemi.
 
China atashindwa sio kwasababu ya military capability ila waliomzunguka ni ma snitch kifala
Hana uwezo wa kijeshi kama unavyodhania. Marekani imekuwa na tabia ya kumfanya adui yake aonekane mkubwa zaidi kisiasa na kijeshi kabla ya kuchukua hatua dhidi yake, na kuhalalisha hayo kwa dunia. Kuna kesi zilizo wazi kwenye rekodi kwa mfano, migogoro kama ya Iran, Iraq, Russia-Ukraine, Libya n.k. Sasa ni China na utashangaa kama kawaida yenu.
 
Kiongozi Mkuu wa Iran ameuwawa katika mashambulizi ya Israel na Marekani, vyombo vya habari vya serikali ya Iran vimesema.

Serikali ya Iran imetangaza siku 40 za msiba wa taifa baada ya kifo cha Kiongozi Mkuu Khamenei kilichotokea siku ya Jana katika mashambulizi ya Marekani na Israel.

Source: Reuters

Pia soma LIVE - Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Israel + Marekani vs Iran

View attachment 3550407
Ubalozi wa Iran nchini ulivyopost kuhusu hilo.

View attachment 3550346
View attachment 3550403
RIP Comrade Kamenei. Marekani na Israel ni zaidi ya mashetani hapa duniani.
 
We ndio jifakari wakati Iran anashambuliwa Iran walikuwa wanaongea na USA kuhusu Nuclear program ya Iran kisiasa na Iran walijuwa wazi Israel hawezi sogea Iran bila USA. Kwanza ni USA ndio walio muuwa Ayatollah wanadai wao walimpa infomation Israel Khomen yupo wapi si kweli.
Kufa n kufa tuu, kwan ukisema Israel wamemuua Huyo kobaz wako utachapwa?

Usijali hatukuchapi 😂
 
Kwahiyo kina Mbaga Jr na hilo parody la naniliu bimstaafu wanazingua hawajui hata nini kinachoendelea 😅😅
Kila mtu ana sababu zake juu ya jinsi wanavyochukulia hili suala
Lakini mimi binafsi niko against mauaji ya makusudi ya watu wasio na hatia, haijalishi huyo mtu ni Muislamu, anaabudu sanamu, Mkristo au hana dini, hupaswi kuua waandamanaji 3000

Mimi najua kuna waislamu wengi tu wanaofurahia kifo cha Khamenei
 
Huyo Samia hata akienda kunya chooni jamaa wanajua.

Na JWTZ ni F-15 moja tu inalichakaza jeshi zima ndani ya dakika 15 tu.

Lakini pia, kwa hizi nchi zetu za Kiafrika, hasa kusini mwa Sahara, wakizishambulia wataitwa wabaguzi.

Wataambiwa wanazishambulia kwa sababu hawawapendi watu weusi.

Tuna ujinga na upumbavu mwingi sana sisi.
Akipigwa Samia wataanza kusema kapigwa mwanamke jamani? Wanasahau kama huyu mwanamke ni jini nyonya damu linaloshikilia tuzo ya mtu katili zaidi duniani
 
Msemaji wa Jeshi la Israeli (IDF): Tumewaua maafisa 40 na viongozi wakuu wa serikali katika shambulio la mwanzo – ndani ya dakika moja.
 
Back
Top Bottom