Keyboard_Warrior
JF-Expert Member
- Oct 10, 2015
- 6,381
- 11,296
Daaaaah!Nawaheshimu wananchi wa Iran wanaoshangilia kifo cha Ayatollah
Na hawa ni waislamu pia 😂🔥🔥
View attachment 3550475
Ila rafiki yako wa karibu haumuheshimu?
Daaaaah!Nawaheshimu wananchi wa Iran wanaoshangilia kifo cha Ayatollah
Na hawa ni waislamu pia 😂🔥🔥
View attachment 3550475
Chief, are you sure mama yako mzazi ni Muislamu?Pia kama hujui mama yangu ni muislamu,
Kwani Wairan 3000+ waliouliwa na utaawala wa Ayatollah sio waislamu? Au ni uboya wao kumpinga Ayatollah?Huko Iran ni furaha tupu, sawa.
Ila rafiki yako wa karibu ana machungu ya kumpoteza Ayatollah!
Haumuonei huruma rafiki yako!?
Au ni uboya wake kuchagua kuwa Muislamu?
Vipi mama yako, yeye amekipokeaje kifo cha Ayatollah?Endelea kumuonea huruma, ila leo huko Iran ni furaha tupu 🤣
View attachment 3550474
Huna hoja wewe ndio maana unang'ang'ana kunidiscuss mimi badala ya Gaidi Ayatollah. Leo mmejua nguvu ya Marekani, ni siku ndefu kwenu 😂Chief, are you sure mama yako mzazi ni Muislamu?
Mbona unakashifu sana dini ya mama yako mzazi?
Mama yako bado yupo hai?
Mama yako anajua mtazamo wako kuhusu Waislamu?
Tumevuliwa nguo..Wazungu si watu wa kelele..ni mipango juu ya mipangoWalikuwa wanajitapa hapa kuwa Iran ni moto wa kuotea mbali kwa yale mapipa aliyo nayo.
Nakudiscuss wewe kwasababu umeleta vitu vyako binafsi katika huu uzi, sijaanza tu kukudiscuss wewe from nowhere!Huna hoja wewe ndio maana unang'ang'ana kunidiscuss mimi badala ya Gaidi Ayatollah. Leo mmejua nguvu ya Marekani, ni siku ndefu kwenu 😂
If you don't know, now you knowHow comes Iran viongozi wao wanauwawa kizembe namna hii?
Huyu akishauawa, watuletee mwili wake tumfir3 ndo azikwe.😂😂
*** you are next, bittch.
Kobaz na upumbavu ni nyama na mfupa, hauwezi kutenganishaSa hapo US na Israel kumuuwa Ayatollah Khomen hebu nipeni kipi cha kujisifia. Kwanza Iran alikuwa kwenye mazungumzo alijuwa hakuna vita na Khomen ni kiongozi wa dini kabla kuwa kiongozi lazima atabaki kwenye sehemu yake na hapo ndio Israel walipo enda kumpiga yeye akijua bado hakuna vita.
Pili yeye mwenyewe umri wake miaka karibu 90 kufa vile inahesabiwa ni bora sababu anaitwa shahidi.
Swali je kufa Khomen ndio wameshinda vita?
Ww n mpumbavu tuu, kutoka kusema Ayatollah hajafa mpaka kusema Ayatollah alikuwa haogopi kufa 😂Tatizo lenu hamjui Ayatollah Ali Khomen alikuwa haogopi kufa na alisha waanda watakao mrithi na kwa Dini ya Kislam kufa umeuliwa na adui ni Neena kubwa sana kuliko ufe kawaida. Ayatollah alikuwa anaomba afe shujaa na uzuri kafaa siku ya mwezi wa Ramadhan hio peke yake nema kubwa sana.
Swali je US na Israel wameshinda vita au kufa Khomen ndio vita vitasimama.
Akili zenu ni finyu sana Ayatollah alizuia Iran wasimiliki Nuclear Boom mrithi wake ataruhusu na huku na huku umeona kioigo alicho pokea Israel usiku wa kuamkia leo.
Basi sawa, stop discussing me. Can you do that?Nakudiscuss wewe kwasababu umeleta vitu vyako binafsi katika huu uzi, sijaanza tu kukudiscuss wewe from nowhere!
Ni wewe mwenyewe umeleta screenshot ya status ya WhatsApp ya rafiki yako, kitu ambacho ni binafsi sisi wana JF hakituhusu.
Ni wewe mwenyewe umesema kuwa mama yako ni Muislamu, hii ni taarifa binafsi ila umeamua kushare na sisi hapa jukwaani, sasa kama wewe mwenyewe umeamua kushare taarifa zako binafsi hapa jukwaani, kwanini niache "kudiscuss" hizi taarifa ulizoleta. Hizi taarifa zimekuwa sehemu ya hoja!
Jibu maswali niliyokuuza mkongwe!?
Mama yako anajua kama unawadharau Waislamu?
Hivi kwa nini wanaumizwa na kifo cha huyu gaidi? Nashindwa kuelewa 😂😂Ww n mpumbavu tuu, kutoka kusema Ayatollah hajafa mpaka kusema Ayatollah alikuwa haogopi kufa 😂
wanasemaga Allah atawakinga😃😃Yaani adui yako anakusanya zana za kivita jirani yako kwa muda wa wiki mbili na anatangaza hadharani kweupe kabisa kuwa ana nia ya kukudhambulia halafu wewe umetulia tuu unasema hujui kuwa kuna vita? Kweli umeishiwa maneno.
Okay, be careful...next time!Basi sawa, stop discussing me. Can you do that?
Sawa, ila bado I'm curiousOkay, be careful...next time!
China atashindwa sio kwasababu ya military capability ila waliomzunguka ni ma snitch kifalaChina ni Paper Tiger Hana jipya.
Infact Iran kamzidi Mchina linapokuja suala la military operations.
3000+?Sawa, ila bado I'm curious
Kwa nini unamsupport Ayatollah? Binafsi sipendi dikteta yoyote yule anayethubutu kuua maelfu ya raia wake, hata sipo interested na hayo masuala yao ya nyuklia, au ugomvi wao na USA/Israel. Nimefurahi kifo chake kwa sababu serikali yake iliua raia 3000+ wa Iran kikatili kwa sababu tu ya kuandamana against his regime
Ila wewe binafsi, kwa nini unaona Ayatollah kuuliwa si sawa wakati yeye aliwaacha raia wa Iran kwenye misiba mizito? Why are you supporting him?
Ukiwa kobaz Lazima Uwe mpumbavu, makobaz wote wapo hvy 😂Hivi kwa nini wanaumizwa na kifo cha huyu gaidi? Nashindwa kuelewa 😂😂