Iran Imethibitisha Kuwa Kiongozi Mkuu, Ayatollah Ali Khomeini ameuawa

Iran Imethibitisha Kuwa Kiongozi Mkuu, Ayatollah Ali Khomeini ameuawa

Sa hapo US na Israel kumuuwa Ayatollah Khomen hebu nipeni kipi cha kujisifia. Kwanza Iran alikuwa kwenye mazungumzo alijuwa hakuna vita na Khomen ni kiongozi wa dini kabla kuwa kiongozi lazima atabaki kwenye sehemu yake na hapo ndio Israel walipo enda kumpiga yeye akijua bado hakuna vita.

Pili yeye mwenyewe umri wake miaka karibu 90 kufa vile inahesabiwa ni bora sababu anaitwa shahidi.

Swali je kufa Khomen ndio wameshinda vita?
Kujifaraji ni muhimu usife kwa kihoro

Serikali inayoshindwa kulinda kiongozi mkuu ni dhaifu mno

Siku nyingine mtulie wanaume wakiwa wanaongea
 
First attemp ambayo ni kama ambush, wala hii haiwezi kutumika kama hoja ya kudogosha uimara wa jeshi
Ambush ambayo tetesi zake zimekuwepo zaidi ya mda sasa? A ha mambo yako mkuu!!
 
Mimi sio mwislamu lkn kifo Cha Khomeini kimeniuma sana.
Tatizo lenu ndgu zetu waislam mnatabia ya kuchukulia Kila kitu kimihemuko/ hasira/ ghadhabu/ papara nk. Mtaisha...! Tulizeni vichwa adui mnaepambana nae sio kama mnavyomchukulia kimihemuko hemuko. Mzungu sio mtu mzuri mtaisha....!!! Oohoooo
Ninawashangaa watu wanaoingiza dini katika siasa za kimataifa. Tatizo ni kwamba ukianza kutumia hisia katika mambo yanayohitaji busara, akili na uchambuzi wa kina, utachapika vibaya mno. Na ndiyo maana wanasema ukiwa unapigana na mtu punguza hasira halafu peleka moto, hata kwenye tendo la ndoa ipo hivyo, ukifanya kwa mihemko bao la kwanza sekunde chache limetoka. Ndio kilichompata Mzee wetu Khamenei, sekunde chache kama WhatsApp status, amelala yoo!!.
 
Great failure of Islamic education system. Ningekuwa mrusi au mchina nisingewapa silaha Wala MIFUMO ya kujilindaaana wanajinasibu mudi aliwaletea kitabu kilichokamilika ambacho hutakiwi kusoma kitabu Wala ELIMU nyingine. Sasa wasomu wa hicho kitabu waliwahi kugundua silaha gani tofauti na kutumia za hao hao wanaowaita Makafiri wanaogundua kwa kusoma sayansi? Hivi Karne ya Sasa hivi una komaa na riwaya za vlkusadikika unakariri halafu unasema wewe ni msomi?
Kinachonisikitisha ni kwamba Samuya amewajaza Wizara ya Elimu na NECTA. Huyu kigagula anatuharibia sana nchi aisee.
 
Ni kweli na ktk dini zote u extremist wa dini uko ktk uislam tu.Kukuta mkristo anaua mwingine kisa dini sijawahi sikia.Wakristo wana mauchafu yao mengi ila hawaon aibu kumshambulia mkristo mwenzao kwa maovu yake.
Huwa nakasirika how they just cant mind their shit bila kujali wengine wanaamini nini.Kama "yamelogwa" jinsi yanataman dunia nzima iwe muslim by force by fire.
Na yangekua na akili yangejua ni lazima kuwepo wasioamini kama wao ("makafir")ndo mana kuna "jehanamu".
Inshort ni VICHAA
EQ & IQ ya Muslims world ni finyu, of coz Kuna baadhi wameanza kujitambua lakin wakiendelea kutumia mihemko na hisia kupigana na mzungu, watachapika mpaka maji wataita mma.
 
Dalili ni nyingi hakuondoka kwake, pili alisha weka mrithi wake mwenye kuogopa kufa ni Netanyahu na Trump sio Ayatollah Ali Khomen

We kale nguruwe subiri uone Tela Aviv inavyo vurugwa
We Mjinga, Mshenzi yeyote anayeua raia wanaodai haki huyo akifa tunasherekea.
 
Back
Top Bottom