Iran Imethibitisha Kuwa Kiongozi Mkuu, Ayatollah Ali Khomeini ameuawa

Sa hapo US na Israel kumuuwa Ayatollah Khomen hebu nipeni kipi cha kujisifia. Kwanza Iran alikuwa kwenye mazungumzo alijuwa hakuna vita na Khomen ni kiongozi wa dini kabla kuwa kiongozi lazima atabaki kwenye sehemu yake na hapo ndio Israel walipo enda kumpiga yeye akijua bado hakuna vita.

Pili yeye mwenyewe umri wake miaka karibu 90 kufa vile inahesabiwa ni bora sababu anaitwa shahidi.

Swali je kufa Khomen ndio wameshinda vita?
 
We utakuwa wa Nanjilinji huko.

Pole πŸ˜‚.
 
Trump akiamua hajali hayo maneno
Wanamwambiaga ni islamophobe lakini hajali, hajaacha ku attack waislamu kwa maneno yake. Anaziitaga African countries shithole countries, wanamwitaga racist ila hajawahi kuacha kuwa attack wasomali
Af huku viongozi wa Africa hawaoni shida kuwalamba matako wazungu. Wangempa USA hata migodi kadhaa ili tu kuwashawishi wasi attack
Iran imekuwa attacked kwa sababu walikuwa aggressive, ila kama angekuwa na interest na Bongo I'm sure serikali ya Tz ingetafuta namna ya kujinasua badala ya kujibizana nao
 
Yaani adui yako anakusanya zana za kivita jirani yako kwa muda wa wiki mbili na anatangaza hadharani kweupe kabisa kuwa ana nia ya kukudhambulia halafu wewe umetulia tuu unasema hujui kuwa kuna vita? Kweli umeishiwa maneno.
 
Kwa Trump mbali.

TFF wakikaza CCM haitoboi.
 
Mtahamisha magoli sana


Sophisticated tracking system Kwa muda zimemuingiza kwenye mtego hatimae familia yake almost yote imeenda na maji.

Usicheze na US su Israel mzee
 
Endeleeni kujidanganya tu



Pumbavu
 
We utakuwa wa Nanjilinji huko.

Pole πŸ˜‚.
Tatizo lenu hamjui Ayatollah Ali Khomen alikuwa haogopi kufa na alisha waanda watakao mrithi na kwa Dini ya Kislam kufa umeuliwa na adui ni Neena kubwa sana kuliko ufe kawaida. Ayatollah alikuwa anaomba afe shujaa na uzuri kafaa siku ya mwezi wa Ramadhan hio peke yake nema kubwa sana.

Swali je US na Israel wameshinda vita au kufa Khomen ndio vita vitasimama.

Akili zenu ni finyu sana Ayatollah alizuia Iran wasimiliki Nuclear Boom mrithi wake ataruhusu na huku na huku umeona kioigo alicho pokea Israel usiku wa kuamkia leo.
 
Mjomba asiyekubali kushindwa siyo mshindani.

Kubali yaishe.
 
Hakuna neema yeyote kwa Mzee Khamenei, ataozea jehanamu kwa mauaji ya raia wasio na hatia aliyofanya.
 
Vita imeisha kwa knockout, Iran hawezi tena na uwezo hana, kitakachofuata wata surrender ile nuclear program 100% lakini kwa beberu haitatosha,bado watataka regime change, total control of oil (kama Iraq na Venezuela), kumaliza bikini vyote kama hezbolla etc
 
Wananchi Iran tayari wanashangilia kifo cha Khamenei
Your browser is not able to display this video.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…