Iran imetoa wito kwa Umoja wa Mataifa kufanyia kikao cha dharura Baraza la Usalama.

Iran imetoa wito kwa Umoja wa Mataifa kufanyia kikao cha dharura Baraza la Usalama.

Ozon

JF-Expert Member
Joined
Dec 19, 2024
Posts
2,910
Reaction score
4,711
Msemaji wa Wizara ya Mambo ya Nje ya Iran, Esmail Baghaei, leo alitaka mkutano wa dharura wa Baraza la Usalama la Umoja wa Mataifa ili kuzuia kile ambacho Iran inakitaja kama mashambulizi ya anga yanayoendelea ya Israeli na Marekani. Amesema " Huu utakuwa mwisho wa taasisi za kimataifa."

Vyanzo vingi ikiwemo APA na Trend vimeripoti taarifa hiyo iliyotolewa ndani ya saa chache zilizopita.
 
Wamekutana wendawazimu wawili hapo hakuna wa kumsikiliza mwenzake.

America ameungana na Mzayuni hao wote vichwani haziwatoshi Muajemi nae anaunga trailer hajui kama watamuumiza hawana akili hata kidogo hao jamaa.
 
Back
Top Bottom