Kufa kufahana😂Unajua hi vita wa Israel wengi wameanza kuiba wanaingia kwenye Mall's au Restaurant's hawatoki mpaa wakisikia Air raid sirens wanakimbia na vitu walivyo chukua au kula bila kulipa hahaha
Ajabu na bado warabu wanamuamini huyu mjinga leo DUBAI na Manama na Kuwait wana usalama upi tena😂😂😂😂
Trump anawashukuru Gulf Stares
Ninataka kuwashukuru washirika wetu: Israel, Saudi Arabia, Qatar, UAE, Kuwait, na Bahrain.
Hatutawaacha wapate madhara
View: https://x.com/shaykhsulaiman/status/2039513224337363020?s=46&t=mTROWpaJUT8H393JMgWOvw.
Pumbavu kabisa unafurahishwa na AI generated!!Hizi picture zinanifurahisha sana
Irani FM Araghchi kwenye Mlango wa Hormuz:Pumbavu kabisa unafurahishwa na AI generated!!
Hata huko Gaza ulikuwa unajaza Tweets za akina Jackson Henke...... kama hivi lakini zilisaidia nini.?🚨 Msemaji wa jeshi la Irani:
"Vita vitaendelea hadi Marekani ijisalimishe."
View: https://x.com/gbx_press/status/2039635669400838533?s=46&t=mTROWpaJUT8H393JMgWOvw
Umekosa leo habari kuna kananda mmoja wa iran ameuliwa nakujilisha ndio mmeisha shinda au.Pumbavu kabisa unafurahishwa na AI generated!!
😂😂😂😂Hata huko Gaza ulikuwa unajaza Tweets za akina Jackson Henke...... kama hivi lakini zilisaidia nini.?
Hahah😅😅 Yahudi mweusi juzi kqja na uzi wake wa kijinga kuwa eti Iran wamatepeta jamaa bwege sana😂Umekosa leo habari kuna kananda mmoja wa iran ameuliwa nakujilisha ndio mmeisha shinda au.
Hebu tupe utamu huko leo umetokea kiwanja cha siri huko Israel kimelipuliwa na ndege karibu 120 za Israel zimetiwa kibereti na vile vyombo vyao vya upelelezi au wanaficha bado
sasa ukipga nuclear iran na zilivokaribu na nchi za ghuba sumu itakuwa kote ww unafikiri wao hawafikirii hichonaombea USA ai- nuke iran, mwisho wa islamic sharia republic ...
View: https://twitter.com/i/status/2038945236903223379[/URL]
Huyo Echolima1 chizi sana anakuambia Missiles za Iran zote zinangushwa na IsraelHahah😅😅 Yahudi mweusi juzi kqja na uzi wake wa kijinga kuwa eti Iran wamatepeta jamaa bwege sana😂
Eti Iran wajaribu kurusha hata jiwe Israel waone😂
Jamaa Bwege sana Netanyahu mwenyewe anaomba msaada baada ya kipigo kinachoendelea.Huyo Echolima1 chizi sana anakuambia Missiles za Iran zote zinangushwa na Israel
Wakati wengine wenye akili wanaongea hivi
View: https://youtu.be/NPVVltAYqy0?si=ECQk63Q96IvGdGPg
Sababu unauliza vitu ambavyo ni obvious vita yote inapigwana middle east, hizo kampuni zina branch middle east ambazo directly zinasaidia USA na Israel, of course Wana target hapo Middle East. Tayari Amazon Jana imepigwa, wengine watafuatia.Yaani nauliza swali badala ya kupata majibu naulizwa maswali ? Come on guys?
Why kuzunguka mbuyu?