Nimecheka Sana kmmk 😁🤣Allah naye ataambiwa aondoke Kaaba. Chezea Iran wewee.
Dahh 🤣Ndugu umemsikia huyo mkanisa mla nguruwe anasema nini watu wa kibosho ndio walivyo lazima wataichukia Iran sababu anawachakazia taifa teule lao.
Iran safi sana piga hao kondoo walio potea na wala nguruwe.
Hata kipindi cha vita vya Gaza mlikuwa mnasema hivihivi lakini mliaibika!!!Jamaa Bwege sana Netanyahu mwenyewe anaomba msaada baada ya kipigo kinachoendelea.
Mliabika ndiyo nini Hamas bado wapo Gaza 🤣Hata kipindi cha vita vya Gaza mlikuwa mnasema hivihivi lakini mliaibika!!!
🚨 Msemaji wa jeshi la Irani:
"Vita vitaendelea hadi Marekani ijisalimishe."
View: https://x.com/gbx_press/status/2039635669400838533?s=46&t=mTROWpaJUT8H393JMgWOvw
Ndio tayari sasa, zimeanza kichezea kichapo.Waondoke wakiwa ndani ya marekani, au nje? Maana hizo kampuni zina matawi ulimwenguni kote, na hawawezi eti kuchimba biti waondoke
Waje na strategy zingine
Wapi ? Nje aud ndani? Maana nguvu ya hizo trch giants ziko ndani ya marekani sio njeNdio tayari sasa, zimeanza kichezea kichapo.
Is not obvious , the key power ya hizi kampuni ni ndani ya marekani, if they can wataiumiza marekani sana .Sababu unauliza vitu ambavyo ni obvious vita yote inapigwana middle east, hizo kampuni zina branch middle east ambazo directly zinasaidia USA na Israel, of course Wana target hapo Middle East. Tayari Amazon Jana imepigwa, wengine watafuatia.
It's not about company power, it's about wao kuhusika kushambulia Iran, akipiga Data centre zao za Middle East hawawezi kutumia data centre za Magharibi kushambulia as latency ni kubwa.Is not obvious , the key power ya hizi kampuni ni ndani ya marekani, if they can wataiumiza marekani sana .
Marekani aliposhambulia kiwanda cha dawa za saratani Tehran na yeye aliishiwa mbinu!??Kwahio wamaeona hawawezi kupambana na jeshi la wapinzani, kitu kilichobaki ni kushambulia makampuni binafsi ?😂 Kweli Iran wamechoka na kuishiwa mbinu kiasi hiki ?.
Ni sawa na Tanzania tuingie vitani na Afrika Kusini tuanze kulipua viwanda vya Kenya kama blueband, mafuta ya vaselin, viwanda vye nepi, n.k. kwasababu vina uhusiana na Afrika Kusini
Wameshindwa kabisa kudungua hata ndege moja ya f35 kuwe na ushahidi usio na shaka ndege idondokee Iran na wamkamate Rubani ?