Ripoti za kiuchunguzi za CIA zinaeleza kuwa Iran inaendelea kujiandaa na mashambulizi ya drones ndani ya Israel hasa kwenye maeneo yake ya viwanja vya ndege na kambi za jeshi...
Wakati haya yakijiri Huko Iran na Israel nao kupitia waziri wa ulinzi bwana GALLANT amesema kuwa "vikosi vyetu vipo tayari na vimejipanga kitambo sana na vita Kwa kujilinda na kupiga"
Naona vita hii inayoendelea inapelekea vita ya 3 ya dunia...tuombe MUNGU Iran asijibu mapigo
Iran haina uwezo wa kivita ndani tu ya Iran wanawake walimkabili huyo Ayatollah kupinga kuvaa hijabu hadharani baada ya kifo cha msichana Mahsa Amin aliyeuawa kwa kupiga picha akiwa hajavaa hijabu
Maandamano ya kupinga kuvaa hijabu yalikuwa makubwa nchi nzima ya Iran huku waandamaji wakitoa matusi ya nguoni kwa Ayatollah na kutaka aondolewe madarakani na utawala wake wa kidini huku wakichoma majengo ya umma na kushambulia Asklari wa dini na kuchoma magari yao.Ayatollah kuona anataka kupinduliwa akaondoa askari wote wa dini wa kusimamia sharia mitaani wasisumbue wanawake tena Sasa hivi hawako kabisa.
Sasa hivi Iran hadi Tehran penyewe kuvaa hijabu hiari wanawake wengi wanatembea vichwa na vifua wazi na nguo za vimini bila hijabu ba hakuna wa kuwagusa.Ayatollah kaufyata kwa wanawake na hakuna sijui cha mwanamke akitaka kutoka nuwa lazima aambatane na mwanaume haipo huyo wanatoka kivyao kwenda popote .Ayatollah kaufyata.
Huyo ndiye aweza pigana na Israel huyo imamu wa msikitini dhidi ya Israel? Akiyeshindwa na wanawake wa Iran tu?
Anasubiriwa tu alianzishe dhidi ya Israel na Israel waanzishe mashambulizi dhidi ya Iran ili kuwapa motisha wapinzani wa Ayatollah walioko ndani ya Irani waanzishe vita ya ndani ya Iran wamtoe huyo Ayatollah na midevu yake wauondoe huo utawala wa kidini msumbufu ambao wairani wengi hawautaki.Ushahidi ni kuwa wanawake tu wakimtikisa kuwa hawataki kulazimishwa kuvaa hijabu na akaufyata akaondoa askari wasimamia sharia mitaani
Huyo Ayatollah hapendwi ndani ya Iran wa Iran wanasubiria t8 mtu aliwashe Iran na wao waliwashe ndani ya Iran
Aanze tu Israel wala hamuogopi Iran
Ila Iran ndio anamuogopa Israel ndio maana hata vita ya Gaza aligoma kujitosa akiogopa kuwa akihangaika kushambulia Israel huku nyuma Wa Iran watampindua
Mwambieni huyo Ayatollah aache maneno apige Israel aone muziki wake wapenda Iran mje kuanza kulia lia hunu kuwa anaua wanawake na vitoto vichanga vya Iran na raia wasio na hatia kama mnavyolia Gaza wakati Hamas ndio walichokoza
Israel inamsubiri Iran kwa hamu sana aingie kwenye anga zao.Wamekuwa wakimsubiri muda mrefu ili wamuonyeshe cha mtema kuni