Mto Songwe
JF-Expert Member
- Jul 17, 2023
- 6,683
- 14,060
Tahadhari kuwepo haimaanishi kuwa huwezi kushambuliwa kwa sababu ya Nyuklia zako.Nimemaanisha nchi yenye nuclear power haiwezi vamiwa tu kizembe. Kuna tahadhari kubwa sana inachukuliwa
Nyuklia haitumiwi hovyo hovyo kama mabomu mengine tu
