Nelson Jacob Kagame
JF-Expert Member
- Dec 26, 2022
- 9,576
- 13,545
BAADA YA SAA 48 MSIUKIMBIE HUU UZI.....WAZEE WA KUTWA MARA TANO
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nanukuu:"Sana sana hatapiga ndani ya Israel maana Israel huwa halazi damu kabisa, kajipanga...."Maneno meeeengi, Israel tayari keshasukuma kete, zamu ya Iran.
Hajui apige wapi ili vita isije nchi kwake.....
Sana sana hatapiga ndani ya Israel maana Israel huwa halazi damu kabisa, kajipanga....
Kazi kwetu tujiandae kununua mafuta kwa 10000.
Maana hii vita lazima US ataingilia na akiingilia Homuz hapapitiki tena


Tunaweza hisi tu lakina no proof.Ni nukta nzuri lakini tujaribu kuyafikiria haya!
Iran ina urafiki mzuri na China, Russia, North Korea n.k
Tunafahamu mataifa kama India, Pakistan na North Korea hawakutengeneza wenyewe mabomu ya nuclear bali ulikuwa ni usaidizi wa imma China au Russia au wote wawili kwa pamoja.
Unadhani kwa ukaribu waliyonao Iran na hayo mataifa ni kweli hiyo sayanasi ya utengenezaji wa hizo silaha ni kweli hawana?
Israel bado uwezo wake kijeshi unaleta mashaka. Ukiangalia mapigano yake dhidi ya Hamas utaona pakubwa udhaifu wake.Nanukuu:"Sana sana hatapiga ndani ya Israel maana Israel huwa halazi damu kabisa, kajipanga...."
Mwamba keshawaambia na kuwaonya yuko tayari tangu zamani. Na siku zote Mwamba hafichi -ana wachana laivu. Sasa ngoja wajichanganye halafu wapeleke kobazi zao kule Israel ndo watajua walikuwa hawajui.![]()
Sio kesi mwambieni huyo Ayatollah na midevu yake ashambulie Israel si anajifanya ana military capability ila msije kulia lia humu kuwa Israel inaua wanawake na watoto na raia wasio na hatia wa Irani kama mnavyolia Gaza wakati vita ilianzishwa na HamasUlishawahi kufika Iran? Au unaifahamu Iran?
Vita ya jeshi na jeshi ni tofauti sana na kikundi.Israel bado uwezo wake kijeshi unaleta mashaka. Ukiangalia mapigano yake dhidi ya Hamas utaona pakubwa udhaifu wake.
Ukireport kutoka buza ww ni Ally mwakipozeo wa Chanel udakuRipoti za kiuchunguzi za CIA zinaeleza kuwa Iran inaendelea kujiandaa na mashambulizi ya drones ndani ya Israel hasa kwenye maeneo yake ya viwanja vya ndege na kambi za jeshi...
Wakati haya yakijiri Huko Iran na Israel nao kupitia waziri wa ulinzi bwana GALLANT amesema kuwa "vikosi vyetu vipo tayari na vimejipanga kitambo sana na vita Kwa kujilinda na kupiga"
Naona vita hii inayoendelea inapelekea vita ya 3 ya dunia...tuombe MUNGU Iran asijibu mapigo
Hakuna vita ya 111 ya dunia. Usiogope. Huyo Ayatola anaweza kupotezwa hata kabla ya vita kuanza. Hii ni kwa sababu chokochoko yate hiyo imeletwa na huyo Ayatola na genge lake na wala sio wananchi. Wananchi hawampendi kabisa ila anatumia dola (Majeshi ya kidini) kuwakandamiza. Rejea walipoandamana akina mama kwa kuuawa msichana aliyeacha kuvaa hijabu. Mbona Ayatola hapo aliufyata? Sasa anataka aijaribu Israel????

Shule mlienda kusomea ujinga au??Ripoti za kiuchunguzi za CIA zinaeleza kuwa Iran inaendelea kujiandaa na mashambulizi ya drones ndani ya Israel hasa kwenye maeneo yake ya viwanja vya ndege na kambi za jeshi...
Wakati haya yakijiri Huko Iran na Israel nao kupitia waziri wa ulinzi bwana GALLANT amesema kuwa "vikosi vyetu vipo tayari na vimejipanga kitambo sana na vita Kwa kujilinda na kupiga"
Naona vita hii inayoendelea inapelekea vita ya 3 ya dunia...tuombe MUNGU Iran asijibu mapigo
Wewe kweli hamnazo. Iran anaitwanga Israel kila siku au unadhani hao Hezbollah wanaoipiga Israel kila siku huko Northern ni nani kama siyo Iran?Iran haina uwezo wa kivita ndani tu ya Iran wanawake walimkabili huyo Ayatollah kupinga kuvaa hijabu hadharani baada ya kifo cha msichana Mahsa Amin aliyeuawa kwa kupiga picha akiwa hajavaa hijabu
Maandamano ya kupinga kuvaa hijabu yalikuwa makubwa nchi nzima ya Iran huku waandamaji wakitoa matusi ya nguoni kwa Ayatollah na kutaka aondolewe madarakani na utawala wake wa kidini huku wakichoma majengo ya umma na kushambulia Asklari wa dini na kuchoma magari yao.Ayatollah kuona anataka kupinduliwa akaondoa askari wote wa dini wa kusimamia sharia mitaani wasisumbue wanawake tena Sasa hivi hawako kabisa.
Sasa hivi Iran hadi Tehran penyewe kuvaa hijabu hiari wanawake wengi wanatembea vichwa na vifua wazi na nguo za vimini bila hijabu ba hakuna wa kuwagusa.Ayatollah kaufyata kwa wanawake na hakuna sijui cha mwanamke akitaka kutoka nuwa lazima aambatane na mwanaume haipo huyo wanatoka kivyao kwenda popote .Ayatollah kaufyata.
Huyo ndiye aweza pigana na Israel huyo imamu wa msikitini dhidi ya Israel? Akiyeshindwa na wanawake wa Iran tu?
Anasubiriwa tu alianzishe dhidi ya Israel na Israel waanzishe mashambulizi dhidi ya Iran ili kuwapa motisha wapinzani wa Ayatollah walioko ndani ya Irani waanzishe vita ya ndani ya Iran wamtoe huyo Ayatollah na midevu yake wauondoe huo utawala wa kidini msumbufu ambao wairani wengi hawautaki.Ushahidi ni kuwa wanawake tu wakimtikisa kuwa hawataki kulazimishwa kuvaa hijabu na akaufyata akaondoa askari wasimamia sharia mitaani
Huyo Ayatollah hapendwi ndani ya Iran wa Iran wanasubiria t8 mtu aliwashe Iran na wao waliwashe ndani ya Iran
Aanze tu Israel wala hamuogopi Iran
Ila Iran ndio anamuogopa Israel ndio maana hata vita ya Gaza aligoma kujitosa akiogopa kuwa akihangaika kushambulia Israel huku nyuma Wa Iran watampindua
Mwambieni huyo Ayatollah aache maneno apige Israel aone muziki wake wapenda Iran mje kuanza kulia lia hunu kuwa anaua wanawake na vitoto vichanga vya Iran na raia wasio na hatia kama mnavyolia Gaza wakati Hamas ndio walichokoza
Israel inamsubiri Iran kwa hamu sana aingie kwenye anga zao.Wamekuwa wakimsubiri muda mrefu ili wamuonyeshe cha mtema kuni
Na ingelikuwa ni rahisi zaidi kwa IDF kumaliza mtifuano na kufunga kesi.Vita ya jeshi na jeshi ni tofauti sana na kikundi.
Pale Israel hapambani na jeshi ndio maana akisababisha madhara kelele zinakuwepo. Ingekuwa ni jeshi na jeshi usingesikia hizo kelele
🇺🇸🇮🇷U.S TO IRAN: DO NOT ATTACK US - YOU WILL PAYKama kuna kete Marekani na wenzie wanaisubiri kwa hamu sana, basi ni Iran kuingia vitani na Israel.
Hata leo hii Israel kapigwa na Iran ukiskia Hezbollah huko North panawaka moto ujuwe ni Iran , ukisikia Islamic resistance Iraq ujuwe ni Iran, ukisikia Houth huko Yemen ujue ni Iran. Mnataka mpigwaje nyie watuManeno meeeengi, Israel tayari keshasukuma kete, zamu ya Iran.
Hajui apige wapi ili vita isije nchi kwake.....
Sana sana hatapiga ndani ya Israel maana Israel huwa halazi damu kabisa, kajipanga....
Kazi kwetu tujiandae kununua mafuta kwa 10000.
Maana hii vita lazima US ataingilia na akiingilia Homuz hapapitiki tena
Hii inamaanisha kwamba option ya vita itakuwa yamwisho pengine wata mu eliminate huyo ayatollah na mchezo ukaishia hapo.Hakuna vita ya 111 ya dunia. Usiogope. Huyo Ayatola anaweza kupotezwa hata kabla ya vita kuanza. Hii ni kwa sababu chokochoko yate hiyo imeletwa na huyo Ayatola na genge lake na wala sio wananchi. Wananchi hawampendi kabisa ila anatumia dola (Majeshi ya kidini) kuwakandamiza. Rejea walipoandamana akina mama kwa kuuawa msichana aliyeacha kuvaa hijabu. Mbona Ayatola hapo aliufyata? Sasa anataka aijaribu Israel????![]()
Tatizo watu wanakalia ushabiki bila kuangalia ukweli. Israel kupigana na Hamas analazimika kutumia siraha za kiwango cha chini maana mpinzani sio jeshi.Na ingelikuwa ni rahisi zaidi kwa IDF kumaliza mtifuano na kufunga kesi.