Sawa! Lakini tangu mwaka 2010 mpaka 2023 Israel imekuwa ikitumia mbinu za kijasusi pale ambapo Israel inaona Iran anafanya utubishaji wa nuclear kufikia kiwango cha kuweza kutengeneza bomu.
Mbinu hizo imma kwa kuwauwa wanasayansi wa Iran kwa kutegeshea mabomu na mara nyengine amekuwa akitumia drones au kutumia makundi ya kikurdi yaliyopo Iraq kishambulia miundombinu hiyo.
Institute for Science and International Security wanasema: " The unfortunate reality is that Iran already knows how to build nuclear weapons, although there are some unfinished tasks related to the actual construction of them. If the regime’s leadership decided to build them, how would it proceed? How long would it take?
Wakasema tena: "The long pole in the tent of building nuclear weapons is essentially complete. Iran can quickly make enough weapon-grade uranium for many nuclear weapons, something it could not do in 2003. Today, it would need only about a week to produce enough for its first nuclear weapon.3 It could have enough weapon-grade uranium for six weapons in one month, and after five months of producing weapon-grade uranium, it could have enough for twelve."
Lakini hawakuishia hapo! Kuna miongoni mwa mambo wakayagusia nayo pia: "The other major poles in the tent are “nuclear weaponization” and delivery. Iran has a variety of delivery systems, including nuclear-capable missiles: the delivery pole is ready"
Hii ni ripoti toleo la January 8, 2024. Kuna mengi wameyazungumza. Hebu tujadili hapa tusaidiane. Au unaonaje ndugu yangu? Karibu!