Hammaz
JF-Expert Member
- May 16, 2018
- 6,607
- 14,076
Wewe unadhani Iran haina nuclear bombs?Nchi yenye nuclear power huwa haipigwi vita kiboya hivyo. Angalau wote wangekuwa na nuclear power hapo sawa. We unazani South Korea alipata wapi jeuri ya kumvimbi US? Ni nuclear power tu.
Ndio maana Israel inavimba maana inajua lazima wengine waingilie kuzuia matumizi ya nuclear yasitokee.