Iran inajiandaa kupiga ndani ya Israel kwa masaa 48 yajayo

Kwann Marekani haingie si Israel anajiweza Marekani wa nini tena?
 
Hivi ww jamaa unadhani vita ni rahisi kama unavyo mtikisiaga matako basha wako sio?
 
Kww kauli hii tu Tiari soko la hisa litakuwa limeanguka
 
Netanyahu hajakimbilia kwenye nuclear Bunker ya rafiki yake na busha lake walompasua juzi!?..maana rocket za Hamas tu zilimkimbizia huko
 
Tena hiyo ni rahisi kuliko kupigana na vikundi vya kigaidi ndani, angalia mifano Nigeria na Bila Haram, Somalia na Alshabab, Congo na M23
 
Sawa sawa!

Lakini unafahamu pia USA ilikuwa inamlipa Iran kiwango kikubwa cha pesa ili asitengeneze hayo mabomu?

Na unakumbuka pia kipindi cha kati Iran alitishia kuwa atafanya urutubishaji na kutengeneza hayo mabomu ya nuclear?
Wenzio wanapiga hesabu za mbali, mtu pekee walishamchelewa ni Kim Jong Un wa Korea na hawataki nchi yoyote ya kiarabu kumiliki Nyuklia kwa sababu wanawajua Waarabu akili zao zinabadilika any time. Ndio maana walimuwahi Sadam na Ghadafi. Shida ya wazungu ni maslahi sio dini kwa sababu hata anayofanya Israel hakuna dini inasupport. Ndio maana Saudi Arabia chimbuko la Islam ni washikaji wao
 
Kajificha wapi? Iran katangazia wazi dunia kuwa Hezbollah anawapa silaha, Hamas , Houth , Islamic resistance wote hawa anawasupport financially and Technically .hata hao mabwana zenu wa marekani na Israel wanajua wazi hilo.
Katangaza wapi?!

Kila siku inakana kutoa silaha kwa hivyo vikundi vya kigaidi.
 
tango bro Laden auae dunia ilipoa sana angalau saiv naona uchangamfu umerudi amsha amsha kila kona mara m23 mara ukraine uku mabroo wa hamasi wanakinukisha alafu alaf wanapelekewa ngoige , uku mabrazamen wa houth wanatamba kiharamia hii miaka kadhaa lazima kila mtu apigane ili tusionekane wanyonge tutafute jiran yetu yeyote mnyonge tumbonde liwe somo kwa wengine
 
Kwann aukimbie kwani yeye ndo katoa taarifa hiyo au imetolewa na shirika lenu pendwa CIA?
Isipo tokea ndo tujaua kuwa CIA ni shirika la kimbea na sio la kijadusi.
Hiyo taarifa imetoka kwenye chanzo kipi cha habari?! Kama ni cha mchongo bhas ni FEKI.
 
Muda huu Israel imeipiga tena Syria

BREAKING: Large explosions in Damascus
 
Hakuna asiye na chakupoteza kwenye vita
 
Ayatollah ana kukera sana kwa nini ?
 
Kwa hiyo Ayatollah ndie aliyeshambulia ubalozi wa Iran Syria sio Israel ?

Kuna watoto wengi sana humu.
 
Ya mungu mengi inaweza kuwa sikio la kufa ili maandiko yatimie akajichanganya na kuipiga Israel
Hawezi kabisa. Lakini huwa hapendi kuonekana mnyonge, atajaribu kwa namna yeyote kulipiza kisasi.
 
The Sunni Militant Group, Jaysh al-Adl is claiming to have now Stormed and Captured an Arms Depot of the Islamic Revolutionary Guard Corps (IRGC) within the Town of Rask in Southeastern Iran, less than 30 Miles from the Border with Pakistan.
 
Tena hiyo ni rahisi kuliko kupigana na vikundi vya kigaidi ndani, angalia mifano Nigeria na Bila Haram, Somalia na Alshabab, Congo na M23
Sasa ndugu yangu.

Kwanza Gaza ni gereza. Israel yote kaizungushia fence. Hakiingii chochote wala kutoka chochote isipokuwa kwa ruhusa ya Israel.

Eneo lenyewe ni dogo wala si kubwa! Limetolewa mifano mara nyingi humu. Ukubwa wake ni kama wilaya ya Kigamboni.

Hamas anaopambana nao wanatumia silaha duni za kienyeji za kujitengenezea wao.

Hamas haina ndege, haina jeshi la bahari, haina vifaru. Zaidi ya wanamgambo elfu ishirini kadhaa.

Israel imetumia 82% ya uwezo wake wa kijeshi ambapo mpaka sasa anapigana kwa takribani miezi 6 sasa.

Lakini hayo yoye yakitokea kuna mambo yafuatayo nayo yametokea:

Israel imeomba msaada wa kijeshi Marekani. Wanapatiwa silaha na zana za kivita mbali mbali na si mara moja wala mara mbili.

Wanapatiwa msaada wa gharama za kuendesha vita kwani vita yake na Hamas uchumi wake umeporomoka.

Tuwe wa kweli! Kwa kikundi hicho cha Hamas na eneo dogo kama hilo tena alilolizingira Israel ni wa kupambana nalo kwa miezi 6? Ambapo mpaka muda huu anahangaika nalo?

Kama hali ndiyo hii akipigana na nchi inayojiweza atakuwa katika hali gani? Yenye jeshi la anga, jeshi la maji, jeshi la ardhini n.k?

Tukubali, kwa sasa Israel haina uwezo wa kupigana na nchi yoyote ile.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…