Iran inajiandaa kupiga ndani ya Israel kwa masaa 48 yajayo

Hawezi kabisa. Lakini huwa hapendi kuonekana mnyonge, atajaribu kwa namna yeyote kulipiza kisasi.
Ukimgusa Israel ujue unapambana na Amerika. Kama kuogopwa anaogopwa Marekani si Israel.

Marekani kwenye hii vita anamsaidia kumpelekea wataalamu wa ki vita, msaada wa silaha na mabomu kwa sababu Israel alikuwa ameshaishiwa.

Marekani anamsaidia kuwadhibiti Houth kwa kulinda anga la Israel kupitia baharini.

Marekani anamsaidia kuwadhibiti Hizbullah ambao hata kwenye channel zao Israel wanadiriki kusema kwa nafasi Hizbullah waliyofikia sasa hivi ni lazima na wao watapata madhara makubwa ya moja kwa moja.

Marekani anamsaidia msaada wa kifedha ili Israel iweze kuendesha gharama za vita kwani uchumi wa Israel umeshuka sana.

Marekani imemsaidia pia kumkingia kifua dhidi ya maazimio mengi juu yake Israel kwenye vikao vya usalama vya umoja wa mataifa (UN).
 
Kwanza Israel ina maadui wengi lakini bingwa .........na irani ina marafiki wengi ila wahoga.........huyo ayatollah alikimbilia ufaransa mambo yalipo mchachia kwa hiyo lazima apoe......sema atajinasibisha tu kama anajua huku mchezo anauona ulivyo mgumu........UDINI......wairani wengi sio wafia dini na ndio maana huwa kuna usaliti mwingi sana kwenye jeshi na vitengo vya intelejensia ........hakuna mtu wa chini anayeweza kugundua kama wakubwa hawapo ndani kama sio wenyewe matopu kutoa siri kwa USA.......HAKUBARIKI sababu ya mambo yake ya kizee kwa kisingizia cha dini.......wakati yupo shaa hakwenda nchi za kidini kama Malaysia au saudia kwanini alikimbilia ufaransa ?.......MWISHO wakianzisha vita .......ndio basi lile taifa litarudi kama zamani maana kule kuna watu wengi wameuliwa na kufungwa jera bila sababu kisa siasa na udini.........sasa hapa Israel atapigana ila kwa msaada mkubwa na watu wake ayatollah mwenyewe.......na ndio utakuwa mwisho wake maana hana tena pa kukimbilia
 
Muda wa kukomboa wananchi wa Iran kutoka kwa dhuluma za hiyo dini umefika.
 
Yaani kwenye haya majukwaa ya kimataifa watanzania tunatia aibu sana! Hatusomi mambo hatufuatilii mambo!

Mtu anashindwa kutofautisha facts na opinions.

Na ndiyo maana watu makini wengi kwenye hii mijadala hawachangii.

Yaani tuna kizazi hakijui kitu halafu ni kibishi. Naona wenye ufahamu mkubwa wa haya mambo wameamua kuwaacha raia wajiendee kama wanavyotaka.
 
Hii tabia ya kumuomba Mungu Israel isipigwe lakini hamumuombi Mungu kuizuia Israel isipige wenzie huu ni upuuzi, Israel akipiga wenzie hakuna shida ila akirudishiwa visasi vita ya 3 ya Dunia inaanza kuatajwa na kudhaniwa hivi huu ni ukichaa au tumezidiwa na Imani za dini? Au mnadhani wengine hawana uchungu kupotezq Mali na wapendwa wao pindi mabomu ya Israel yakiwapiga?
 
Iran inatarajiwa kuwa "wiped out" katika ramani ya dunia akiingia vitani na Israel.
 
Wanadamu wamekuwa wapumbavu sana sana.
Wenye akili ndo wanaongoza kwa upumbavu
 
mzee unajua proxy war kweli?

kila siku American na NATO watoa siraha na mafunzo kwa Ukraine na Russia anajua hilo lakn umeona Russia amepiga nchi yoyote inayo isaidia Ukraine siraha? umeona Russia ameingia kwenye vita na America?

kitu anacho kifanya Iran ni kutumia hao proxies kupigana vita vyake this time tunasubili kuona akiingia yeye uwanjani direct involvement Sio hao vibaraka wake
 
Reactions: 511
Wanadamu wamekuwa wapumbavu sana sana.
Wenye akili ndo wanaongoza kwa upumbavu
Jamaa wanatupeleka Tu hasa huku Africa ndiyo waathirika wa kilakitu kuanzia bei ya mafuta,bidhaa na usafirishaji
 
Hii vita ya 3 haikwepeki ,ni suala la muda tu
Washenzi wamekuwa wengi , mazayuni na mashoga wenzao wa EU na America ni tatizo
Yaani Iran apigwe na Israel ndo itokee WW? Ameshikwa sharubu Russia huko na mabeberu hadi sasa hali imetulia sembuse huyo Iran?
 
Hammaz Hii ni mtazamo wako? au ni habari kutoka vyanzo vingine (kama ndiyo weka hivyo vyanzo hapa) kuwa Israel imetumia 82% ya uwezo wake wa kijeshi ambapo mpaka sasa anapigana kwa takribani miezi 6 sasa.
 
Reactions: 511
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…