Iran inajitahidi sana kwa kweli. Ona hizi picha

Iran inajitahidi sana kwa kweli. Ona hizi picha

Mkuu kwa ubora wa makombora ya Iran....
Iran imevurumisha makombora zaidi ya 200 na yalio tua na kuleta uharibifu wote huo ulio utaja ni makombora yasiozidi 10
Kwa muktadha huo kama sio mfumo dhabiti wa ulinzi anga wa Israel saa hii kwa hayo makombora hata 100 tu yangetua Tel Aviv na Haifa zingekua vifusi kama Gaza.

Israel wako very smart kuliko Iran, kuanzia kujua kuwatumia hao MOSSAD ndani ya Iran, kuwatumia majirani yanakopita makombora na kuwa hadaa Iran wakitegemea mazungumzo kumbe wanataka kupigwa

Mkuu kwasasa Iran hali ni mbaya jamaa wanaijua Iran in and out, wana watu wao Iran pia
Sasa hivi anga la Iran lipo UCHIIII
Kurusha tu makombora imekua kipengele maana ndani ya dk sifuri baada ya kurusha fight jet zinaingia na kufumua

Njia ambayo Iran alikua anaitegemea sana na yenye ufanisi kiasi kupenya mfumo wa ulinzi anga ilikua ni kurusha makombora mengi kwa wakati mmoja ambapo mfumo unakua unazidiwa
Lakini sasa Israel ndio ina deal na hizo launcher

Ngoja tuendelee kujionea labda kuna ambayo hatujui

Hii ni Tel Aviv kuna tofauti gani na gaza?
492953223_1154018670078444_1080738576776400112_n.jpg
 
If anything, intelligence ya Iran inaweza kuwa ya hovyo kuliko hata TISS. Haiwezekani viongozi wao wanauwawa kirahisi rahisi tu kila siku. Ayatollah mwenyewe yupo hai kwa kudra za Trump ila mossad wanajua hadi muda anaokata gogo. Israel kuna kiongozi kauwawa hadi sasa? Iran ijitafakari.

Jana Natenyahu kasema akiuwawa Ayatollah ndio vita itaisha?. Inamaana Trump hataki vita iishe?.
 
Kwa nini watu wengi hawafi kama Israel ikipiga Iran?
Iran wameshakufa watu zaidi ya 200 wakati Israel hawazidi 20!
Kwa hiyo wewe furaha yako ni kuona watu wengi wanakufa? Sidhani kama unatumia ubongo kufikiri!
 
Jana Natenyahu kasema akiuwawa Ayatollah ndio vita itaisha?. Inamaana Trump hataki vita iishe?.

Soma link. Pia nimeuliza ukiacha mbali raia wa Israel wanaouwawa kuna kiongozi yeyote kaguswa? Mimi I'd prefer viongozi wa pande zote wauwawe sio raia mtaani.
 
Kwa nini watu wengi hawafi kama Israel ikipiga Iran?
Iran wameshakufa watu zaidi ya 200 wakati Israel hawazidi 20!
Iran hawalengi maeneo ya raia, wanalenga miundombinu ya kijeshi ya Israel, njia za kurukia ndege na miuondombinu mingine ya muhimu. Wao wayahudi wanalenga mahospitali, shule, masoko nk.
 
Back
Top Bottom