Iran inajitahidi sana kwa kweli. Ona hizi picha

Iran inajitahidi sana kwa kweli. Ona hizi picha

Iran haijaanzisha hii vita. Iran inachofanya ni kujilinda.

Huo ndo ukweli wa mambo, licha ya upande ambao mtu upo au upande unaoushabikia.

Hivyo, kwenye huu mzozo, Iran hana kosa lolote.

Na pamoja na kuzidiwa kwa karibu kila namna, Iran inajitahidi sana kwa kweli.

Hakuna anayemsaidia Iran. Hata majirani zake wanaisaidia Israel. Marekani na Uingereza wao ndo wako ten toes down katika kuisaidia Israel!

Pia, naamini madhara ya makombora ya Iran yanayotua kwenye miji tofauti huko Israel, ni makubwa zaidi ya tunavyoona.

Ndani ya Israel sasa hivi kuna military censorship ya media. Hivyo, picha halisi ya madhara ya mabomu na makombora ya Iran, haijulikani.

Ila kwa kuangalia tu baadhi ya picha chache zilizopatikana, unapata idea ni kiasi gani cha madhara ambayo Iran imesababisha.

Kwa kutokuwa na msaada wowote ule na kusababisha madhara yote hayo, Iran inajitahidi sana.

Pata picha kama Israel asingekuwa anasaidiwa na hao washirika wake….
Iran wameizidi Israel kwa kila kitu, Israel hamna kitu mle isingekuwa USA kuisadia Israel ingekuwa ishafutwa kwenye uso wa dunia maana wayahudi hawajimudu kwa chochote kile. Wanajeshi wa Iran wameipiga Israel na wanafanya mazoezi makali yakuendelea kuchakaza Israel. Huyo hapo ni mwanajeshi wa Iran akiwa kwenye mazoezi mazito na makali mno
ira zoe.jpg
ya kuifuta milele Israel
 
Kumbu
Iran haijaanzisha hii vita. Iran inachofanya ni kujilinda.

Huo ndo ukweli wa mambo, licha ya upande ambao mtu upo au upande unaoushabikia.

Hivyo, kwenye huu mzozo, Iran hana kosa lolote.

Na pamoja na kuzidiwa kwa karibu kila namna, Iran inajitahidi sana kwa kweli.

Hakuna anayemsaidia Iran. Hata majirani zake wanaisaidia Israel. Marekani na Uingereza wao ndo wako ten toes down katika kuisaidia Israel!

Pia, naamini madhara ya makombora ya Iran yanayotua kwenye miji tofauti huko Israel, ni makubwa zaidi ya tunavyoona.

Ndani ya Israel sasa hivi kuna military censorship ya media. Hivyo, picha halisi ya madhara ya mabomu na makombora ya Iran, haijulikani.

Ila kwa kuangalia tu baadhi ya picha chache zilizopatikana, unapata idea ni kiasi gani cha madhara ambayo Iran imesababisha.

Kwa kutokuwa na msaada wowote ule na kusababisha madhara yote hayo, Iran inajitahidi sana.

Pata picha kama Israel asingekuwa anasaidiwa na hao washirika wake….

View attachment 3370904View attachment 3370905View attachment 3370908kumbuka Iran ndio mwanzilishi wa vita, alirusha makombora yake zaidi ya mia tatu kwenda Israel kuwasaidia Hamas. Israel kajipanga vizuri kwa sasa ameamua kulipiza kisasi.
 
Iran wameshakufa watu zaidi ya 200 wakati Israel hawazidi 20!
Hujiulizi kwa nini Marekani imelazimika kusogeza manoari iliyosheheni ndege vita Middle East!? Hali si shwari kwa mbia mwenzake
 
Mmh mda mwingne najiuriza hizi nchi kwa ubabe huo wa wakubwa, ila wahanga ni raia.
Ila marekani cjawah kusikia vita, au ndo new world order.?

USA baby 🇺🇸🇺🇸🇺🇸
 
If anything, intelligence ya Iran inaweza kuwa ya hovyo kuliko hata TISS. Haiwezekani viongozi wao wanauwawa kirahisi rahisi tu kila siku. Ayatollah mwenyewe yupo hai kwa kudra za Trump ila mossad wanajua hadi muda anaokata gogo. Israel kuna kiongozi kauwawa hadi sasa? Iran ijitafakari.

 
Waliowengi wanashabikia vita kwasababu ya dini za kuja na majahazi.
Tuwaombee wenzetu wakome kupigana na sio kutaka nani ashinde
 
Ni ukweli usio pingika kuwa ISRAELI bila Marekani, Uigereza , Ufaransa na hata Ujerumani haina nguvu ya zana za kivita kama ilivyo IRANI.
 
Mkuu kwa ubora wa makombora ya Iran....
Iran imevurumisha makombora zaidi ya 200 na yalio tua na kuleta uharibifu wote huo ulio utaja ni makombora yasiozidi 10
Kwa muktadha huo kama sio mfumo dhabiti wa ulinzi anga wa Israel saa hii kwa hayo makombora hata 100 tu yangetua Tel Aviv na Haifa zingekua vifusi kama Gaza.

Israel wako very smart kuliko Iran, kuanzia kujua kuwatumia hao MOSSAD ndani ya Iran, kuwatumia majirani yanakopita makombora na kuwa hadaa Iran wakitegemea mazungumzo kumbe wanataka kupigwa

Mkuu kwasasa Iran hali ni mbaya jamaa wanaijua Iran in and out, wana watu wao Iran pia
Sasa hivi anga la Iran lipo UCHIIII
Kurusha tu makombora imekua kipengele maana ndani ya dk sifuri baada ya kurusha fight jet zinaingia na kufumua

Njia ambayo Iran alikua anaitegemea sana na yenye ufanisi kiasi kupenya mfumo wa ulinzi anga ilikua ni kurusha makombora mengi kwa wakati mmoja ambapo mfumo unakua unazidiwa
Lakini sasa Israel ndio ina deal na hizo launcher

Ngoja tuendelee kujionea labda kuna ambayo hatujui
Ilivyo Tel Aviv na Jerusalem saiv ni kama Gaza tu
 
Back
Top Bottom