Crimea
JF-Expert Member
- Mar 25, 2014
- 26,829
- 38,912
Kwani Israel aliharibu zote nchi nzima?Wali restore Air defense system saa ngapi hao Iran na walirejesha missile launcher saa ngapi mkuu zile zilizoharibiwa ijumaa???
Kwani Israel aliharibu zote nchi nzima?Wali restore Air defense system saa ngapi hao Iran na walirejesha missile launcher saa ngapi mkuu zile zilizoharibiwa ijumaa???
Dhibitisha UHARO wako hapa!!! AMA sivyo huo ni umbeya wako tu!!!
Iran siyo kwamba hana kosa lolote Iran kinachomuua ni kuwamfadhiri mkuu wa vikundi vyote vya kigaidi vinavyoipiga Israel,ambapo Israel alinza na Hama's Hezbollah na sasa yuko na mfadhiri wao mkuu ambaye ni Iran,anachokifanya Israel hakina tofauti na kile anachokifanya Kagame kule Kongo, hii ni kwa ajili ya kulinda usalama wa nchi zao.Hivyo, kwenye huu mzozo, Iran hana kosa lolote.
Iran amezidiwa nini? Mm hata sijui mnamaanisha nini mnaposema amezidiwaIran haijaanzisha hii vita. Iran inachofanya ni kujilinda.
Huo ndo ukweli wa mambo, licha ya upande ambao mtu upo au upande unaoushabikia.
Hivyo, kwenye huu mzozo, Iran hana kosa lolote.
Na pamoja na kuzidiwa kwa karibu kila namna, Iran inajitahidi sana kwa kweli.
Hakuna anayemsaidia Iran. Hata majirani zake wanaisaidia Israel. Marekani na Uingereza wao ndo wako ten toes down katika kuisaidia Israel!
Pia, naamini madhara ya makombora ya Iran yanayotua kwenye miji tofauti huko Israel, ni makubwa zaidi ya tunavyoona.
Ndani ya Israel sasa hivi kuna military censorship ya media. Hivyo, picha halisi ya madhara ya mabomu na makombora ya Iran, haijulikani.
Ila kwa kuangalia tu baadhi ya picha chache zilizopatikana, unapata idea ni kiasi gani cha madhara ambayo Iran imesababisha.
Kwa kutokuwa na msaada wowote ule na kusababisha madhara yote hayo, Iran inajitahidi sana.
Pata picha kama Israel asingekuwa anasaidiwa na hao washirika wake….
View attachment 3370904View attachment 3370905View attachment 3370908
Sirens zipo Iran, Nimefika hilo jiji acha uongo, hata Bankers zipo sema idadi ya watu ni kubwa sana hivyo haitosheleziBankers na Sirens.
Iran hawana na ndo maana Israel kawaambia waondoke Tehran
Ni hivi, Iran ndani ya Iran kuna watu wanatumika na MOSAD (usalama wa Israel) ndio waliotoa michongo ya hao makamanda lakini pia haikutegemewa kwamba Israel wangefanya mashumbulizi kwa Iran ukizingatia wiki hii kulikuwa na kikao na Marekani kule Oman kuhusu masuala ya nuclear kwa Iran.To
To be honest mimi bado sijaona impact ya Iran hadi kufikia kuona WANAJITAHIDI
Kwa namna Iran alivyokua anajitapa nilitegemea hadi muda huu ambapo Wakuu wake wote wa majeshi wameuwawa ndani ya Iran, wanasayansi wake wakuu wa nyukilia wameuwawa ndani ya Iran, Kambi zake za kijeshi zinapigwa vibaya sana ndani ya Iran
Mifumo ya ulinzi anga imeteketezwa anga limebakia uchi
Ndege za Israel zinaingia na kupiga zitakavyo ndani ya Iran na kurudi salama kama game za Ps5
Lakini Iran kabaki kurusha tu makombora ambayo asilimia kubwa yanazuiwa angani na yanayofika ndio yanaketa uharibifu huo pasi kuwa na shabaha za kimkakati
Anachofanya Israel kwa sasa ni kuangalia tu wapi roketi imerushiwa na ndani ya dakika chache panavurugwa vibaya.
Inasemekana Iran ilianza kwa kurusha makombora 150, ikaja 50 na mara ya mwisho imerusha chini ya 40 kwasababu Israel ina kazi ya kuhakikisha launcher zinateketezwa kwa kadiri wawezavyo kumnyima uwezo wa kurusha makombora hayo
Sasa hivi wananzengo wa Teheran wameanza kuhamishwa na Israel kama wananzengo wa Gaza..... hameni Kariakoo kesho tunatwanga, ondokeni Mikochenk kesho tunatwanga
Yaani Israel wanapiga wanapopataka at anytime bila kizuizi
Ukweli ni kwamba Iran amezidiwa pakubwa mmno
Asilimia 90 za juu ziliharibiwa zilitolewa zingine kwenye maghala.Kwani Israel aliharibu zote nchi nzima?
Ok.. Kwahiyo wakati mchakato huo unaendelea wengine walikuwa wako kwenye mahandaki kufungua vinu vya nyukilia ili kuhamisha?Asilimia 90 za juu ziliharibiwa zilitolewa zingine kwenye maghala.
Ayatollah mpaka sasa asingekuwepo angeondoka pamoja na magenerally wake siku ileile ya kwanza amshukuru Trump alimuokoa.Nyani.
Kusema Iran haijaanzisha vita una maana gani. Mwaka jana nani alianza kurusha makombora kama si Iran ?!. Nani amekuwa akifadhili vikundi visumbufu vyenye itikadi kali dhidi ya Israel ?!. Hamas, Hezboullah, Houthis nk nani ni sponsor wake kama si Iran ?!
Iran walifikiri wako salama kwa sababu za umbali wa ki jiografia. Lakini adui yake yuko advanced ki technology. Sasa wacha mwisho useme . Kujibu watajibu lakini mwisho wa siku hata viongozi wake wote watauliwa.
Yes Tehran ina watu wengi yaani ni wengi hasa mfano Dar mara 2.5 yake nahisi. Ingawa sina uhakika na Idadi ya Israel ila Tehran ina watu wengi mno hadi mji una joto.Tehran ina watu wengi kuliko nchi ya Israel
Hivyo ndivyo inavyosemekana kwa mujibu wa Iran officials.Ok.. Kwahiyo wakati mchakato huo unaendelea wengine walikuwa wako kwenye mahandaki kufungua vinu vya nyukilia ili kuhamisha?
Huu ni Uongo wa wazi.Iran pia wamekata internet na pia inazuia waandishi wa habari kufika kwenye site za maafa
Kuna kizazi cha ovyo sana aise. Labda angesema ni jambazi lililokosa kijiwe. Watu wa enzi hizo waliopo hapa,na ujinga kama ule wake wangapi?Hapana huyo boya Kuna kipindi alijifanya kapigana vita ya Kagera.
Tena akajinasibu alistaafu jeshini akiwa na cheo Cha luteni colonel
Kwa hiyo,kwa akili zenu,Iran mmeifananisha na Palestina sasa! Kazi mnayoAnacho fanya Israel kwa sasa ni kubonda mifumo ya ulinzi wa anga na mifumo ya kurushia makombora huko Iran kisha aanze kazi yenyewe sasa,
Lengo lake kuu hasa ni kufanya Iran awe kiwete kijeshi.
Duh! Haya,tunayoambiwa yanatua Israel kutoka Iran yenyewe sasa yanatokea wapi? Kama Israel yupo huko angani!!!Irani yeye mpaka arushe mabomu toka kwake kwenda Israel!
Wakati huo Israel yeye yupo juu ya anga la Irani kuwinda hayo mabomu na kiyalipua huku akipiga target nyingine muhimu za kijeshi, sasa niambie kwa hali hiyo Iran anachomokaje?
Kumbuka pia wapo mbalimbali hawezi kupeleka askari wa aridhini
Hapana mkuu Irani ni sawa USA.Kwa hiyo,kwa akili zenu,Iran mmeifananisha na Palestina sasa! Kazi mnayo
Mkuu kwa ubora wa makombora ya Iran....Ni hivi, Iran ndani ya Iran kuna watu wanatumika na MOSAD (usalama wa Israel) ndio waliotoa michongo ya hao makamanda lakini pia haikutegemewa kwamba Israel wangefanya mashumbulizi kwa Iran ukizingatia wiki hii kulikuwa na kikao na Marekani kule Oman kuhusu masuala ya nuclear kwa Iran.
On top of that., baada ya mashambulizi makubwa ya Israel Iran wamefanikiwa kujibu kwa kishindo dhidi ya hayo mashambulizi toka kwa mazayuni, kumbuka unaposhambuliwa mara zote huwa kwanza unajaribu kutathmini hasara lakini pili kujua mashambulizi yametoka wapi na ni nani lakini kwa Iran waemfanikiwa kirahisi kumjibu adui ndani ya masaa machache na kumuumiza sana zaidi ya sana isivyotegemewa kwa nchi iliyojinasibu kuwa na mfumo bora wa ulinzi duniani including iron dom.
Katika hasara waliyoipata Israel ni pamoja na kufumuliwa kwa mtambo wao mkuu wa nuclear uliopo Haifa lakini kuweza kuichakaza Tel aviv na Jerusaelm vipande vipande kwa siku 2 tu tena kwa mashambulizi mawili tuu.
Wewe ungejiuliza makamanda wameuliwa lakini kwanini wamefanikiwa kiasi hicho? Jibu ni rahisi sana Iran wamejipanga sana na muda mrefu sana akitoka nani ataingia nani kazini.
Nadhani kwenye mifumo ya anga ni kama kamaliza maana ndege na drone zinaruka muda wote kwenye anga la Iran zitakavyoAnacho fanya Israel kwa sasa ni kubonda mifumo ya ulinzi wa anga na mifumo ya kurushia makombora huko Iran kisha aanze kazi yenyewe sasa,
Lengo lake kuu hasa ni kufanya Iran awe kiwete kijeshi.