Iran inajitahidi sana kwa kweli. Ona hizi picha

Iran inajitahidi sana kwa kweli. Ona hizi picha

Mzee wangu unaangalia/unafuatilia shirika gani la habari? Vipi umejaribu kufatilia al Jazeera ?
Aljazeera na PressTv wote hao ni walewale washirika wa Magaidi. Mashirika mengi ya habari yanatoa habari za kweli na live kutoka pande zote Tatizo zikiwa ukiwa kwa Wafuga Midevu na Majini huzipotosha kupię Delia Iran uzuri vitani huwezi kupata ushindi męża i lazima tu upambane na ufaniu iwę na usipoweza mambo yako wazi kwa kila mtu!!
 
Itikadi Kali zinaanza na misingi yake; huwezi kuanzisha taifa ukaliita "teule"kwa kufukuza mamilioni ya watu kwenye makazi Yao na kuua wengine afu utegemee majirani zako wakuchekee
Wewe endelea kujilizaliza tu hata hujui histori unaendeshwa na mihemko ya kijinga uliyopandikiziwa na Wafuga Midevu na Majini.

Endelea tu kubwabwaja nani alianzisha taifa na kaliita teule? Inaonekana una ujinga mwingi sana kichwani mwako Kaa kwa kutulia utaokota makopo bure!!!
 
Taifa teule la marekani vinginevyo hakuna hiko kitu cha taifa teule
Hakuna shida kwako wewe Marekani ni taifa teule na unaumia nini wengine wakisema Israel ni taifa Teule?? Umemezeshwa chuki dhidi ya Israel mpaka umevimbewa!!!!
 
Kwa sababu Iran anajipigia tu kama chizi hajui alenge wapi yeye ni kurusha mawe
Kwa nini watu wengi hawafi kama Israel ikipiga Iran?
Iran wameshakufa watu zaidi ya 200 wakati Israel hawazidi 20!
 
Mara nyingi Israel anaficha taarifa za maafa ili kuondoa taharuki lakini ukweli unaonekana kabisa......

ISRAEL amejiingiza mwenyewe kwenye angamizo lake..... Irani alikuwa anamlia timing siku nyingi sana.....

Next wave Iran ameahidi kurusha makombora 2,000 Kwa wakati mmoja......

Kila shambulio la Israel litajibiwa na maelfu ya Makombora

Nasikia jumuia za kimataifa zimeanza kutoa milio na kumtaka Iran arudi kwenye meza ya usuluhishi na Irani amekataa.....

NB
Nashauri Iran aachwe atoe somo kwa Israel ili next time awe na adabu na ajue kuwa dunia haimuogopi bali tunaheshimiana tu
President Donald Trump said he believed it’s possible Israel and Iran could reach an agreement to end their conflict, though the two sides may need to continue fighting before they’re ready to broker a peace deal.
 
Wavaa kobasi ni aina ya watu ambao hawawezi kubackup kirahisi kwenye haki zao.

Utawapiga uwauwe, They will still have a comeback so Hicho kikombe israeli watakinywa kwa mda mrefu
Kadiri siku zinavyozidi kwenda nguvu ya Iran kurusha makombora itakuwa inapungua huku Israel ikiongeza kasi.
Rejea ishu ya Gaza na Hezbollah
 
NChini Israel wana vyumba vya kujilinda dhidi ya makombira hata nyuklia.
Kila mwenye nyumba lazima awe na chumba Cha kujikinga,sheria yao inasema.

Iran sidhani kama walifikiria kulinda wananchi wao
Shelter za mabomu ya Hamas, na sio ya Iran, vitu vingi Israel vimejengwa kupigana na wanamgambo wadogo wadogo waliowazunguka. Mfano Apartment zina shelter ambazo ni za Concrete, lile dude likija linaondoka na Ghorofa zima itakusaidia nini?

Ndio maana unaona wengine sasa hivi wapo underground kwenye njia za train.

Wachache wana Underground shelter ambazo zinaweza himili Ballistic
 
Israel wanapiga maeneo maalumu ndio maana uoni uharibifu mkubwa, ila Iran anapiga sehemu yoyote ndio maana unaona uharibifu.

Ni sawa na uende porini upewe kibali cha kutafuta madume matano makubwa ya nyati ndio uue, itakulazimu uwatafute hao madume kwanza na uthibitishe ndio wakubwa ndipo uweze kuwaua; ila kwa Iran inakuwa ni kama umeingia porini na kuanza kurusha risasi kwa wanyama wote utakaowaona, bila kuchagua yupi ni ndama, sungura n.k

kwa hiyo ata Israel akiamua kujipigia, ataua watu wengi sana na majengo mengi yatakuwa chini.​
 
Mara nyingi Israel anaficha taarifa za maafa ili kuondoa taharuki lakini ukweli unaonekana kabisa......

ISRAEL amejiingiza mwenyewe kwenye angamizo lake..... Irani alikuwa anamlia timing siku nyingi sana.....

Next wave Iran ameahidi kurusha makombora 2,000 Kwa wakati mmoja......

Kila shambulio la Israel litajibiwa na maelfu ya Makombora

Nasikia jumuia za kimataifa zimeanza kutoa milio na kumtaka Iran arudi kwenye meza ya usuluhishi na Irani amekataa.....

NB
Nashauri Iran aachwe atoe somo kwa Israel ili next time awe na adabu na ajue kuwa dunia haimuogopi bali tunaheshimiana tu
Iran pia wamekata internet na pia inazuia waandishi wa habari kufika kwenye site za maafa
 
Hizo F-35 wanazotegemea zikashushe majengo Iran, ndo hizi Iran wanazitungua hadi wao Israel na USA wenyewe wamekiri Iran ndo nchi ya kwanza kutungua hizo ndege , kwakifupi Iran wameshindikana , na mchakato wa Nuclear bado unaendelea Vinu vya Nuclear havijaguswa kwenye shambulizi lolote lililofanywa na Israel, na ikikamilka Nuclear ndo hapo hata USA hatajaribu tena kusogeza pua yake kufanya chokochoko kwa Iran
Ushahidi wa kwamba F-35 imetunguliwa ni upi?

Hivyo vinu vimepigwa sana tu ambapo hata kama havijalipuka vyote hakuna mtu ataendeleza shughuli humo maana ni hatari tupu.
 
Wewe endelea kujilizaliza tu hata hujui histori unaendeshwa na mihemko ya kijinga uliyopandikiziwa na Wafuga Midevu na Majini.

Endelea tu kubwabwaja nani alianzisha taifa na kaliita teule? Inaonekana una ujinga mwingi sana kichwani mwako Kaa kwa kutulia utaokota makopo bure!!!
Ndugu, nimekujibu kwa staha tena kwa hoja kwa kile ninachofahamu; hayo matusi Yako yanatoka wapi?
Mihemko uliyonayo kama vile jina lako litasomeka kwenye makabila 12
Narudia; JIBU KWA HOJA
 
Unatamani visivyokuepo.

Iran pamoja na uwezo wake hawezi kumshinda Israel. Omba uhai na afya ushuhudie kwa macho yako. Watajitahidi kujibu lakini mwisho wa siku hawezi fanya lolote.
We kama sio wa kwa mwamposa basi wa kwa kuhani mussa.. wale wa ukiibariki Israel na wewe utabarikiwa.. kalaga baho na ubozi wako maneno ya mzaramo!!
 
Mara nyingi Israel anaficha taarifa za maafa ili kuondoa taharuki lakini ukweli unaonekana kabisa......

ISRAEL amejiingiza mwenyewe kwenye angamizo lake..... Irani alikuwa anamlia timing siku nyingi sana.....

Next wave Iran ameahidi kurusha makombora 2,000 Kwa wakati mmoja......

Kila shambulio la Israel litajibiwa na maelfu ya Makombora

Nasikia jumuia za kimataifa zimeanza kutoa milio na kumtaka Iran arudi kwenye meza ya usuluhishi na Irani amekataa.....

NB
Nashauri Iran aachwe atoe somo kwa Israel ili next time awe na adabu na ajue kuwa dunia haimuogopi bali tunaheshimiana tu
kwahy wewe unajua sana kuliko Israel alianzisha vita?
 
Kwa nini watu wengi hawafi kama Israel ikipiga Iran?
Iran wameshakufa watu zaidi ya 200 wakati Israel hawazidi 20!
We upo karibia kilometa 20000 mbali na eneo la vita hizo habari za wamekufa wangapi umezijulia wapi?
 
Back
Top Bottom