HIMARS
JF-Expert Member
- Jan 23, 2012
- 73,321
- 103,590
Tehran ina watu wengi kuliko nchi ya IsraelTuanze kwanza na hili please.
Population ya Israel vs Iran ?
Tehran ina watu wengi kuliko nchi ya IsraelTuanze kwanza na hili please.
Population ya Israel vs Iran ?
Pyrrhic victory….Unaweza kushinda vita ila ukawa umeumia pia. Kweli iran itashindwa but this time naona Israel atakua na maumivu makubwa kupita ya octoba 7.
Kwa nini Wairan nao wasijifiche? Au wao wanataka kufa?Israel watu wake wengi wanajificha kwenye mashimo kama panya buku
Israel hajaanza lipa kisasi kwa kushusha majengo.Ni siku ya pili ila Israel inaonekana kama Gaza, na bado mashambulio haya Iran atafanya kwa siku 10 mfululizo kama ishara ya salamu tu ile ya Shalom baada ya hapo yataendelea mashambulio ya kushtikiza yasiyo na idadi
Dogo fatilia vizuri hakuna siku Iran kaanza kushambulia , hata mwaka jana Israel ndo ilianza uchokozi kwa kupiga ubalozi wa IranNyani.
Kusema Iran haijaanzisha vita una maana gani. Mwaka jana nani alianza kurusha makombora kama si Iran ?!. Nani amekuwa akifadhili vikundi visumbufu vyenye itikadi kali dhidi ya Israel ?!. Hamas, Hezboullah, Houthis nk nani ni sponsor wake kama si Iran ?!
Iran walifikiri wako salama kwa sababu za umbali wa ki jiografia. Lakini adui yake yuko advanced ki technology. Sasa wacha mwisho useme . Kujibu watajibu lakini mwisho wa siku hata viongozi wake wote watauliwa.
Iran inasema ukweli kuhusu wahanga wake??Kwani wewe unajua Israel inasema kweli kuhusu wahanga wake?
Kwa mYahudi haviishagi hivyo. Muulizeni (RIP) Idi Amin Dada. Hawa jamaa siyo kama sisi. Hawa wana kiapo cha kulipiza kisasi.Ya mwaka jana si yalishaisha hayo…
Ila, hata hiyo mwaka jana Iran hakuanzisha chochote.
Iran haijaanzisha hii vita. Iran inachofanya ni kujilinda.
Huo ndo ukweli wa mambo, licha ya upande ambao mtu upo au upande unaoushabikia.
Hivyo, kwenye huu mzozo, Iran hana kosa lolote.
Na pamoja na kuzidiwa kwa karibu kila namna, Iran inajitahidi sana kwa kweli.
Hakuna anayemsaidia Iran. Hata majirani zake wanaisaidia Israel. Marekani na Uingereza wao ndo wako ten toes down katika kuisaidia Israel!
Pia, naamini madhara ya makombora ya Iran yanayotua kwenye miji tofauti huko Israel, ni makubwa zaidi ya tunavyoona.
Ndani ya Israel sasa hivi kuna military censorship ya media. Hivyo, picha halisi ya madhara ya mabomu na makombora ya Iran, haijulikani.
Ila kwa kuangalia tu baadhi ya picha chache zilizopatikana, unapata idea ni kiasi gani cha madhara ambayo Iran imesababisha.
Kwa kutokuwa na msaada wowote ule na kusababisha madhara yote hayo, Iran inajitahidi sana.
Pata picha kama Israel asingekuwa anasaidiwa na hao washirika wake….
View attachment 3370904View attachment 3370905View attachment 3370908
Walisaini mkataba majuzi hapa wa kusaidiana iwapo mmojawapo akivamiwa!!Russia anamsaidiaje Iran wakati Iran ndo ilikuwa inaisaidia Russia?
Hizo F-35 wanazotegemea zikashushe majengo Iran, ndo hizi Iran wanazitungua hadi wao Israel na USA wenyewe wamekiri Iran ndo nchi ya kwanza kutungua hizo ndege , kwakifupi Iran wameshindikana , na mchakato wa Nuclear bado unaendelea Vinu vya Nuclear havijaguswa kwenye shambulizi lolote lililofanywa na Israel, na ikikamilka Nuclear ndo hapo hata USA hatajaribu tena kusogeza pua yake kufanya chokochoko kwa IranIsrael hajaanza lipa kisasi kwa kushusha majengo.
Anachofanya sasa ni kumalizana na viwanda na makambi ya jeshi ili Iran asiweze tengeneza tena
Huyo tofauti na kubebwa na USA hana cha maana alichonachoUnatamani visivyokuepo.
Iran pamoja na uwezo wake hawezi kumshinda Israel. Omba uhai na afya ushuhudie kwa macho yako. Watajitahidi kujibu lakini mwisho wa siku hawezi fanya lolote.
Nina uhakika Israel wana understate idadi ya vifoKwa nini watu wengi hawafi kama Israel ikipiga Iran?
Iran wameshakufa watu zaidi ya 200 wakati Israel hawazidi 20!
Toka lini mazayuni wanauliwa?Kwa nini watu wengi hawafi kama Israel ikipiga Iran?
Iran wameshakufa watu zaidi ya 200 wakati Israel hawazidi 20!
Apigwe Ayatollah apigwe AyatollahVita Ni Mbaya Sana
Kmmmmmmmmmmmmmk.