Isanga family
JF-Expert Member
- Feb 25, 2015
- 22,981
- 47,826
Daah iran ni shida bomb linalipuka lenyewe mara nyingi zaidi si hatari hiyo hao watu sio na mzigo umetoka 2000km

Huyo ndo muajemi ni hiyo ni Fattah-2Daah iran ni shida bomb linalipuka lenyewe mara nyingi zaidi si hatari hiyo hao watu sio na mzigo umetoka 2000km
Israel hana Ubavu wakupigana yeye kama YeyeUnatamani visivyokuepo.
Iran pamoja na uwezo wake hawezi kumshinda Israel. Omba uhai na afya ushuhudie kwa macho yako. Watajitahidi kujibu lakini mwisho wa siku hawezi fanya lolote.
Ni hatari sana aisee mzayuni kaenda kukorofisha wahuni hapo Labda apewe msaada bila hivyo atapata tabu sana..Huyo ndo muajemi ni hiyo ni Fattah-2
Wanaishi Kama panya kwenye maandaki😂😂😂😂😂Kwa nini watu wengi hawafi kama Israel ikipiga Iran?
Iran wameshakufa watu zaidi ya 200 wakati Israel hawazidi 20!
Netanyahu amechaguliwa na raia kupitia kura, Ayatollah amewekwa na masheikh 12 wanaoitwa guardian council.Ila ipo Israel ? Mwana demokrasia uchwara
Hayo ni maneno ya kujifariji tu hakuna nchi inayoweza kuficha habari za vita kama hizi!, jengo limepigwa na linaonekana wazi na watu wana simu,camera Mbona wanazirusha tu bila shida. Wajinga tu mlishaaminishwa kuwa israel inaficha habari mimi sioni habari inayofichwa hapo.Mara nyingi Israel anaficha taarifa za maafa ili kuondoa taharuki lakini ukweli unaonekana kabisa......
ISRAEL amejiingiza mwenyewe kwenye angamizo lake..... Irani alikuwa anamlia timing siku nyingi sana.....
Next wave Iran ameahidi kurusha makombora 2,000 Kwa wakati mmoja......
Kila shambulio la Israel litajibiwa na maelfu ya Makombora
Nasikia jumuia za kimataifa zimeanza kutoa milio na kumtaka Iran arudi kwenye meza ya usuluhishi na Irani amekataa.....
NB
Nashauri Iran aachwe atoe somo kwa Israel ili next time awe na adabu na ajue kuwa dunia haimuogopi bali tunaheshimiana tu
Hahahahahahaha inaonekana muIsrael anamtengenezea MuIran Missiles zinasobomoa majengo tu haziui!Kwa nini watu wengi hawafi kama Israel ikipiga Iran?
Iran wameshakufa watu zaidi ya 200 wakati Israel hawazidi 20!
Mara nyingi Israel anaficha taarifa za maafa ili kuondoa taharuki lakini ukweli unaonekana kabisa......
ISRAEL amejiingiza mwenyewe kwenye angamizo lake..... Irani alikuwa anamlia timing siku nyingi sana.....
Next wave Iran ameahidi kurusha makombora 2,000 Kwa wakati mmoja......
Kila shambulio la Israel litajibiwa na maelfu ya Makombora
Nasikia jumuia za kimataifa zimeanza kutoa milio na kumtaka Iran arudi kwenye meza ya usuluhishi na Irani amekataa.....
NB
Nashauri Iran aachwe atoe somo kwa Israel ili next time awe na adabu na ajue kuwa dunia haimuogopi bali tunaheshimiana tu
Hayo ni maneno ya kujifariji tu hakuna nchi inayoweza kuficha habari za vita kama hizi!, jengo limepigwa na linaonekana wazi na watu wana simu,camera Mbona wanazirusha tu bila shida. Wajinga tu mlishaaminishwa kuwa israel inaficha habari mimi sioni habari inayofichwa hapo.
Unasikia jumuia za Kimataifa eti zimeanza kuto milio!!! Wewe endelea kushabikia usiyoyajua sasa Iran kwa kichapo anachokipata kuna hatari kubwa hata nchi inaweza kupinduliwa maana watu sasa hivi wanakimbia mji na kwenda maeneo salama baada ya kipigo cha majeshi ya Israel kuongezeka.
Hakuna somo lolote Iran anaweza Kulitoa kwa majeshi ya Israel maana yeye mwenyewe safu karibu yote ya makamanda wake wote wameangamizwa na sasa IDF inajipigia popote inapotaka bila shida yoyote ile maana tayari sasa wanalitawala anga la Iran.
Mwenyewe si mwanasiasa,lakini kibuli cha Israel kinaudhi basi tu.Ila nadhani kinachomtokea,hakutegemea. Pengine alijua washikaji wanaogopa hawana chochote. Hajui kwao, kifo ni jambo la kawaida. Hata akiua wote,lakini hata yeye mpaka aje asimame tena, si leo wala kesho. Na uzuri waislam wanavopendeleana, kusimamisha Iran tena kwao jambo la kawaida. Na mwisho wa siku, ukanda ule,utakuja kuisha vibaya.Kuna nchi itakuja kuwa majivu.Mara nyingi Israel anaficha taarifa za maafa ili kuondoa taharuki lakini ukweli unaonekana kabisa......
ISRAEL amejiingiza mwenyewe kwenye angamizo lake..... Irani alikuwa anamlia timing siku nyingi sana.....
Next wave Iran ameahidi kurusha makombora 2,000 Kwa wakati mmoja......
Kila shambulio la Israel litajibiwa na maelfu ya Makombora
Nasikia jumuia za kimataifa zimeanza kutoa milio na kumtaka Iran arudi kwenye meza ya usuluhishi na Irani amekataa.....
NB
Nashauri Iran aachwe atoe somo kwa Israel ili next time awe na adabu na ajue kuwa dunia haimuogopi bali tunaheshimiana tu
Kweli kabisa. Wapi picha mkuu?Iran haijaanzisha hii vita. Iran inachofanya ni kujilinda.
Huo ndo ukweli wa mambo, licha ya upande ambao mtu upo au upande unaoushabikia.
Hivyo, kwenye huu mzozo, Iran hana kosa lolote.
Na pamoja na kuzidiwa kwa karibu kila namna, Iran inajitahidi sana kwa kweli.
Hakuna anayemsaidia Iran. Hata majirani zake wanaisaidia Israel. Marekani na Uingereza wao ndo wako ten toes down katika kuisaidia Israel!
Pia, naamini madhara ya makombora ya Iran yanayotua kwenye miji tofauti huko Israel, ni makubwa zaidi ya tunavyoona.
Ndani ya Israel sasa hivi kuna military censorship ya media. Hivyo, picha halisi ya madhara ya mabomu na makombora ya Iran, haijulikani.
Ila kwa kuangalia tu baadhi ya picha chache zilizopatikana, unapata idea ni kiasi gani cha madhara ambayo Iran imesababisha.
Kwa kutokuwa na msaada wowote ule na kusababisha madhara yote hayo, Iran inajitahidi sana.
Pata picha kama Israel asingekuwa anasaidiwa na hao washirika wake….
View attachment 3370904View attachment 3370905View attachment 3370908
Ayatollah ni nani ? tuanze taratibu maana unaweza kuwa mjinga mwenye confidence kumfananisha Ayatollah na Netanyahu na kuacha kumfananisha Netanyahu na PezeshkianNetanyahu amechaguliwa na raia kupitia kura, Ayatollah amewekwa na masheikh 12 wanaoitwa guardian council.
Iran inasema ukweli kuhusu wahanga wake??
Hapana,v akinshamdonsosha Iran anaefuata ni Pakistan, Israel hataki ata sikumoja nchi nyingine maeneo yale awe na uwezo mkubwa wa kijeshi kulingana nayeye au kumpiku yeye.Vitani lazima kuwa na damage Kwa kila upande, Israel wakifanikiwa kuondosha utawala wa ayatollah wataishi Kwa Amani zaidi ya Miaka 50 mbele pia hata kama kuna uaribifu ni rahisi Kwa wao kujenga tena sehemu zote zilizopata uaribifu.
Hizo image za zamani, show sasa ipo anga la Iran, Israel wanachagua targets kwa utuvu sana, na Mungu wao Ayatollah amekimbia nchi, inawezekanaje mteule wa Allah akaji exile??Iran haijaanzisha hii vita. Iran inachofanya ni kujilinda.
Huo ndo ukweli wa mambo, licha ya upande ambao mtu upo au upande unaoushabikia.
Hivyo, kwenye huu mzozo, Iran hana kosa lolote.
Na pamoja na kuzidiwa kwa karibu kila namna, Iran inajitahidi sana kwa kweli.
Hakuna anayemsaidia Iran. Hata majirani zake wanaisaidia Israel. Marekani na Uingereza wao ndo wako ten toes down katika kuisaidia Israel!
Pia, naamini madhara ya makombora ya Iran yanayotua kwenye miji tofauti huko Israel, ni makubwa zaidi ya tunavyoona.
Ndani ya Israel sasa hivi kuna military censorship ya media. Hivyo, picha halisi ya madhara ya mabomu na makombora ya Iran, haijulikani.
Ila kwa kuangalia tu baadhi ya picha chache zilizopatikana, unapata idea ni kiasi gani cha madhara ambayo Iran imesababisha.
Kwa kutokuwa na msaada wowote ule na kusababisha madhara yote hayo, Iran inajitahidi sana.
Pata picha kama Israel asingekuwa anasaidiwa na hao washirika wake….
View attachment 3370904View attachment 3370905View attachment 3370908
Mara nyingi Israel anaficha taarifa za maafa ili kuondoa taharuki lakini ukweli unaonekana kabisa......
ISRAEL amejiingiza mwenyewe kwenye angamizo lake..... Irani alikuwa anamlia timing siku nyingi sana.....
Next wave Iran ameahidi kurusha makombora 2,000 Kwa wakati mmoja......
Kila shambulio la Israel litajibiwa na maelfu ya Makombora
Nasikia jumuia za kimataifa zimeanza kutoa milio na kumtaka Iran arudi kwenye meza ya usuluhishi na Irani amekataa.....
NB
Nashauri Iran aachwe atoe somo kwa Israel ili next time awe na adabu na ajue kuwa dunia haimuogopi bali tunaheshimiana tu
na Triump amaewekwa na wamerekani wote???....Netanyahu amechaguliwa na raia kupitia kura, Ayatollah amewekwa na masheikh 12 wanaoitwa guardian council.