Iran inajitahidi sana kwa kweli. Ona hizi picha

Iran haijaanzisha hii vita. Iran inachofanya ni kujilinda.

Huo ndo ukweli wa mambo, licha ya upande ambao mtu upo au upande unaoushabikia.

Hivyo, kwenye huu mzozo, Iran hana kosa lolote.

Na pamoja na kuzidiwa kwa karibu kila namna, Iran inajitahidi sana kwa kweli.

Hakuna anayemsaidia Iran. Hata majirani zake wanaisaidia Israel. Marekani na Uingereza wao ndo wako ten toes down katika kuisaidia Israel!

Pia, naamini madhara ya makombora ya Iran yanayotua kwenye miji tofauti huko Israel, ni makubwa zaidi ya tunavyoona.

Ndani ya Israel sasa hivi kuna military censorship ya media. Hivyo, picha halisi ya madhara ya mabomu na makombora ya Iran, haijulikani.

Ila kwa kuangalia tu baadhi ya picha chache zilizopatikana, unapata idea ni kiasi gani cha madhara ambayo Iran imesababisha.

Kwa kutokuwa na msaada wowote ule na kusababisha madhara yote hayo, Iran inajitahidi sana.

Pata picha kama Israel asingekuwa anasaidiwa na hao washirika wake….

View attachment 3370904View attachment 3370905View attachment 3370908
Hayo ni maneno tu ya kutafuta faraja baada ya kipigo cha Mbwa-koko alichopigwa Iran na majeshi ya Israel.

Nakushangaa unaposema Iran hajaanzisha hii vita wakati Iran ndiye Alianza kuishambulia Israel kwa kutumia Operation The Promise-1 baadaye akaja na The Promise-2 ambayo alirusha makombola zaidi ya 400 karibu yote yalipopolewa na hawakuua mtu hata mmoja hilo wewe hulioni!!

Unatumia ujinga wa kudanganyika au kukaririshwa kuwa Iran haisaidiwi na yeyote huo ni upuuzi na ujinga kuamini hivyo. Kwa taarifa yako tu hakuna nchi yoyote duniani ambayo inaweza kupigana vita ikiwa peke yake bila kusaidiwa na nchi yoyote. Lakini kwa sababu unatafuta faraja unaweza kusema Iran haisaidiwi na yeyote. Kama mataifa Superpower kama Marekani na Russia wanaweza kusaidiwa iweje kapuku kama Iran asisaidiwe? Yeye ana nguvu gani kuwashinda Warusi ambao wanasaidiwa na Iran,China,Korea ya kiduku,Afrika kusini na nchi nyingine nyingi tu?

Kuna mentality imejengwa kwa watu wajinga akiona anashindwa vita anatafuta visingizio vya yeye kushindwa lakini kabla ya hapo mlikuwa mnabwabwaja sana kuwa Israel hawezi kuishambulia Iran na akikaribishwa tu basi israel inaweza kufutwa kwenye uso wa dunia. Haya sasa israel imeweza kuishambulia Iran na kuharibu baadhi ya vinu vyake vya kinu lear tayari unaanza kutuletea visingizio uchwara Israel inasaidiwa na marafiki zake!! Je kuna ubaya gani kwa Iran nayo kuwaomba marafiki zake wamusaidie? Mbona yeye anaisaidia Russia huko Ukraine? Acheni ujinga mwambieni Ayatollah akaze buti ama sivyo hizo Ndevu zake zitanyolea!!!!!
 
Attachments

  • efe88da5-2156-4a45-a9ee-81c7df649a3e.mov
    4.9 MB
Hujafatilia vizuri..... Israel anamtreat Iran kama Gaza tu, Israel lengo lake kuu hataki Iran atengeneze nuclear, that's it, ndo maana ana target na kuua top nuclear researchers wa Iran wa muda mrefu, Iran ye anarusha tu makombora liwalo na liwe, Leo Israel ameshatoa taarifa maeneo ambayo wananchi wanatakiwa kuondoka atapiga maeneo hayo, imagine mpo vitani na mtu kabla hajakupiga ana pin point target kabisa, anajua huwezi kufanya lolote

Israel anajilinda Sana kutarget raia ovyo maana anajua atapata upinzani Toka Kwa washirika wake(us na Europe)..... Sio viongozi Hawa Kina trump(not that they care).... Ila tofauti na tunavyofikiri wananchi wengi wa hizi nchi wako against na huu upuuzi wa Israel na wanashinikiza serikali zao kutotoa msaada wowote kupitia Kodi zao
Na hicho ndicho watu wengi wasichokijua.Israel ana lengo lake juu ya nyukilia ya iran. Maana kama makundi yote yanayopigana na Israel mfadhili ni Iran unamwachaje MTU wa namna hiyo awe na nyukilia na uku ukijua anatengeneza kwa akili yako?. Akija kuwapa hivyo vikundi anavyovifadhili je?. Ndiyo maana Israel akai kimbwege middle east pale anajua amezungukwa na maadui kila kona.
Iran alitakiwa asidili na vikundi kuvifadhili kupigana na Israel angekaa kimkakati mpaka angekuwa na nyukilia hapo angekua amefanikiwa sana. Kuliko kuwaza kuimaliza Israel kabla ya mipango yake aijakaa sawa.
Sasa myahudi pamoja na kupigana na vikundi kamfata mfadhili wa vikundi.
Iran kasema atarudi kwenye mazungumzo ya nyukilia ikiwa Israel ataacha kushambulia na wakati alikataa mapendekezo mpaka mfalme wa saudia akamuonya ayatollah kuwa umekataa Israel atapiga hizo target akachukulia poa kuwa in maneno tu ya siku zote
 
Unatamani visivyokuepo.

Iran pamoja na uwezo wake hawezi kumshinda Israel. Omba uhai na afya ushuhudie kwa macho yako. Watajitahidi kujibu lakini mwisho wa siku hawezi fanya lolote.
Unapingana na ukweli aisee kwa kuwa na uchache wa maarifa.
Israel imeshachakaa vibaya.
UK na France wanaandaa namna ya kusogeza msaada wa kijeshi Israel.
Wewe unabisha nini mkuu?
Huko Ukraine msaada ushakua diverted unaletwa Israel.
 
Iran haijaanzisha hii vita. Iran inachofanya ni kujilinda.

Huo ndo ukweli wa mambo, licha ya upande ambao mtu upo au upande unaoushabikia.

Hivyo, kwenye huu mzozo, Iran hana kosa lolote.

Na pamoja na kuzidiwa kwa karibu kila namna, Iran inajitahidi sana kwa kweli.

Hakuna anayemsaidia Iran. Hata majirani zake wanaisaidia Israel. Marekani na Uingereza wao ndo wako ten toes down katika kuisaidia Israel!

Pia, naamini madhara ya makombora ya Iran yanayotua kwenye miji tofauti huko Israel, ni makubwa zaidi ya tunavyoona.

Ndani ya Israel sasa hivi kuna military censorship ya media. Hivyo, picha halisi ya madhara ya mabomu na makombora ya Iran, haijulikani.

Ila kwa kuangalia tu baadhi ya picha chache zilizopatikana, unapata idea ni kiasi gani cha madhara ambayo Iran imesababisha.

Kwa kutokuwa na msaada wowote ule na kusababisha madhara yote hayo, Iran inajitahidi sana.

Pata picha kama Israel asingekuwa anasaidiwa na hao washirika wake….

View attachment 3370904View attachment 3370905View attachment 3370908

View: https://www.instagram.com/reel/DK5C9NGB8lq/?igsh=MWpvMXY4M3NsaHc0Nw==
 
Nyani.

Kusema Iran haijaanzisha vita una maana gani. Mwaka jana nani alianza kurusha makombora kama si Iran ?!. Nani amekuwa akifadhili vikundi visumbufu vyenye itikadi kali dhidi ya Israel ?!. Hamas, Hezboullah, Houthis nk nani ni sponsor wake kama si Iran ?!

Iran walifikiri wako salama kwa sababu za umbali wa ki jiografia. Lakini adui yake yuko advanced ki technology. Sasa wacha mwisho useme . Kujibu watajibu lakini mwisho wa siku hata viongozi wake wote watauliwa.
Ukisema hivyo inatakiwa urudi 1948.
Usiutizame mzozo kiwepesi hivyo.
Tukisema tutoke huko tuje kwa Iran vs Israel.
Israel tangu 2003 amekua akiua wanasayansi wa Iran kwa suicide bombs na kwa gunmen.
Shambulizi la kuharibu nuclear plant 2008 pale Iran Israel ilihusika.
Unautizama mzozo kwa ufinyu sana.
 
Hujafatilia vizuri..... Israel anamtreat Iran kama Gaza tu, Israel lengo lake kuu hataki Iran atengeneze nuclear, that's it, ndo maana ana target na kuua top nuclear researchers wa Iran wa muda mrefu, Iran ye anarusha tu makombora liwalo na liwe, Leo Israel ameshatoa taarifa maeneo ambayo wananchi wanatakiwa kuondoka atapiga maeneo hayo, imagine mpo vitani na mtu kabla hajakupiga ana pin point target kabisa, anajua huwezi kufanya lolote

Israel anajilinda Sana kutarget raia ovyo maana anajua atapata upinzani Toka Kwa washirika wake(us na Europe)..... Sio viongozi Hawa Kina trump(not that they care).... Ila tofauti na tunavyofikiri wananchi wengi wa hizi nchi wako against na huu upuuzi wa Israel na wanashinikiza serikali zao kutotoa msaada wowote kupitia Kodi zao
yeye anakataza mwenzake asiwe na nuclear, yeye kama nani, na nani kampa hayo mamlaka..? mbona yeye anayo? mbona Pakistan wanayo? mbona China wanayo? mbona NK wanayo? mbona nchi karibu zote za EU wanayo? Israel ni nani?
 
Ukisema hivyo inatakiwa urudi 1948.
Usiutizame mzozo kiwepesi hivyo.
Tukisema tutoke huko tuje kwa Iran vs Israel.
Israel tangu 2003 amekua akiua wanasayansi wa Iran kwa suicide bombs na kwa gunmen.
Shambulizi la kuharibu nuclear plant 2008 pale Iran Israel ilihusika.
Unautizama mzozo kwa ufinyu sana.
Mkongwe ule uzi wetu umefutwa kule, mbona ghafla sioni kitu hata notifications sioni?
 
Iran haijaanzisha hii vita. Iran inachofanya ni kujilinda.

Huo ndo ukweli wa mambo, licha ya upande ambao mtu upo au upande unaoushabikia.

Hivyo, kwenye huu mzozo, Iran hana kosa lolote.

Na pamoja na kuzidiwa kwa karibu kila namna, Iran inajitahidi sana kwa kweli.

Hakuna anayemsaidia Iran. Hata majirani zake wanaisaidia Israel. Marekani na Uingereza wao ndo wako ten toes down katika kuisaidia Israel!

Pia, naamini madhara ya makombora ya Iran yanayotua kwenye miji tofauti huko Israel, ni makubwa zaidi ya tunavyoona.

Ndani ya Israel sasa hivi kuna military censorship ya media. Hivyo, picha halisi ya madhara ya mabomu na makombora ya Iran, haijulikani.

Ila kwa kuangalia tu baadhi ya picha chache zilizopatikana, unapata idea ni kiasi gani cha madhara ambayo Iran imesababisha.

Kwa kutokuwa na msaada wowote ule na kusababisha madhara yote hayo, Iran inajitahidi sana.

Pata picha kama Israel asingekuwa anasaidiwa na hao washirika wake….

View attachment 3370904View attachment 3370905View attachment 3370908
....Ndani ya Israel sasa hivi kuna military censorship ya media. Hivyo, picha halisi ya madhara ya mabomu na makombora ya Iran, haijulikani....
 
Iran haijaanzisha hii vita. Iran inachofanya ni kujilinda.

Huo ndo ukweli wa mambo, licha ya upande ambao mtu upo au upande unaoushabikia.

Hivyo, kwenye huu mzozo, Iran hana kosa lolote.

Na pamoja na kuzidiwa kwa karibu kila namna, Iran inajitahidi sana kwa kweli.

Hakuna anayemsaidia Iran. Hata majirani zake wanaisaidia Israel. Marekani na Uingereza wao ndo wako ten toes down katika kuisaidia Israel!

Pia, naamini madhara ya makombora ya Iran yanayotua kwenye miji tofauti huko Israel, ni makubwa zaidi ya tunavyoona.

Ndani ya Israel sasa hivi kuna military censorship ya media. Hivyo, picha halisi ya madhara ya mabomu na makombora ya Iran, haijulikani.

Ila kwa kuangalia tu baadhi ya picha chache zilizopatikana, unapata idea ni kiasi gani cha madhara ambayo Iran imesababisha.

Kwa kutokuwa na msaada wowote ule na kusababisha madhara yote hayo, Iran inajitahidi sana.

Pata picha kama Israel asingekuwa anasaidiwa na hao washirika wake….

View attachment 3370904View attachment 3370905View attachment 3370908
Aljazeera waliwatimia kipindi kile wanaanza vita na Hamas. Kwenye vita propaganda zinakuwaga nyingi na mara nyingi ukweli unakuja kujulikana baadae. Sasa kila upande utadai kwamba wapo salama.
 
Back
Top Bottom