mlimilwa
JF-Expert Member
- Jul 11, 2015
- 3,384
- 3,587
kosa la iran ni kuweka wazi madhara na maumivu wanayopata. tofauti na wenzao.Kwa nini watu wengi hawafi kama Israel ikipiga Iran?
Iran wameshakufa watu zaidi ya 200 wakati Israel hawazidi 20!
kanuni kuu katika upiganaji ni kuwa muwazi kurokana na madhara. hata ukirudisha jeshi.nyuma kiupiganaji hutakiwi kuruhusu adui ajue kama unarudisha jeshi nyuma.