Hujafatilia vizuri..... Israel anamtreat Iran kama Gaza tu, Israel lengo lake kuu hataki Iran atengeneze nuclear, that's it, ndo maana ana target na kuua top nuclear researchers wa Iran wa muda mrefu, Iran ye anarusha tu makombora liwalo na liwe, Leo Israel ameshatoa taarifa maeneo ambayo wananchi wanatakiwa kuondoka atapiga maeneo hayo, imagine mpo vitani na mtu kabla hajakupiga ana pin point target kabisa, anajua huwezi kufanya loloteMara nyingi Israel anaficha taarifa za maafa ili kuondoa taharuki lakini ukweli unaonekana kabisa......
ISRAEL amejiingiza mwenyewe kwenye angamizo lake..... Irani alikuwa anamlia timing siku nyingi sana.....
Next wave Iran ameahidi kurusha makombora 2,000 Kwa wakati mmoja......
Kila shambulio la Israel litajibiwa na maelfu ya Makombora
Nasikia jumuia za kimataifa zimeanza kutoa milio na kumtaka Iran arudi kwenye meza ya usuluhishi na Irani amekataa.....
NB
Nashauri Iran aachwe atoe somo kwa Israel ili next time awe na adabu na ajue kuwa dunia haimuogopi bali tunaheshimiana tu
Israel anajilinda Sana kutarget raia ovyo maana anajua atapata upinzani Toka Kwa washirika wake(us na Europe)..... Sio viongozi Hawa Kina trump(not that they care).... Ila tofauti na tunavyofikiri wananchi wengi wa hizi nchi wako against na huu upuuzi wa Israel na wanashinikiza serikali zao kutotoa msaada wowote kupitia Kodi zao