Iran inajitahidi sana kwa kweli. Ona hizi picha

Iran inajitahidi sana kwa kweli. Ona hizi picha

NChini Israel wana vyumba vya kujilinda dhidi ya makombira hata nyuklia.
Kila mwenye nyumba lazima awe na chumba Cha kujikinga,sheria yao inasema.

Iran sidhani kama walifikiria kulinda wananchi wao
Hivi unaijua nyuklia weew?! Hakuna shambuliz la nyuklia ambalo lishawah kushuhudiwa hapa ulimwenguni…..Afu unaropoka tu eti wana nyumba za kuzuia mashambuliz hata nyuklia ikiwemo….kitu kama hujui tulia soma uelewe.
 
Apigwe Ayatollah apigwe Ayatollah
Israel Inatumia Mwendo Wa Ngiri Mkia Juu, Meno Nje
Inaweza Kumpoteza Ayatollah Chap
Amani Kwa Wote Duniani Inaonekana Kupotea Kabisa
 
Kwa nini watu wengi hawafi kama Israel ikipiga Iran?
Iran wameshakufa watu zaidi ya 200 wakati Israel hawazidi 20!
Taarifa unazopewa na media yeyote ndani na nje ya Israel siyo picha kamili au takwimu sahihi.
Kuna censorship kubwa sana Israel, Kuna muandishi wa habari raia wa Marekani alirusha picha za maafa ya kombora la Iran like shambulio la kwanza miezi kadhaa iliyopita. Alikamtwa na kufungwa. Serikali ya Marekani ilimuacha haikumtetea, alitelekezwa mikononi mwa Israel.
Ukitaka kuujua ukweli nenda YouTube channel ya SNS ya jamaa anaitwa Sky (Somebody Bundala) kuna watanzania wapo ndani ya Israel wanampa habari halisi mwanahabari Sky. Wanasema makombora yanashuka mengi sana hali mbaya.
 
Iran haijaanzisha hii vita. Iran inachofanya ni kujilinda.

Huo ndo ukweli wa mambo, licha ya upande ambao mtu upo au upande unaoushabikia.

Hivyo, kwenye huu mzozo, Iran hana kosa lolote.

Na pamoja na kuzidiwa kwa karibu kila namna, Iran inajitahidi sana kwa kweli.

Hakuna anayemsaidia Iran. Hata majirani zake wanaisaidia Israel. Marekani na Uingereza wao ndo wako ten toes down katika kuisaidia Israel!

Pia, naamini madhara ya makombora ya Iran yanayotua kwenye miji tofauti huko Israel, ni makubwa zaidi ya tunavyoona.

Ndani ya Israel sasa hivi kuna military censorship ya media. Hivyo, picha halisi ya madhara ya mabomu na makombora ya Iran, haijulikani.

Ila kwa kuangalia tu baadhi ya picha chache zilizopatikana, unapata idea ni kiasi gani cha madhara ambayo Iran imesababisha.

Kwa kutokuwa na msaada wowote ule na kusababisha madhara yote hayo, Iran inajitahidi sana.

Pata picha kama Israel asingekuwa anasaidiwa na hao washirika wake….

View attachment 3370904View attachment 3370905View attachment 3370908
Hakuna ushahidi wa moja kwa moja mpaka sasa kuwa Israel anasaidiwa na washirika wake.

Inategemea unatazama kwa mtazamo gani kusema Iran haina makosa. Kiuhalisia, Iran imesema mara nyingi Israel yapaswa kuondolewa kwenye uso wa dunia. Sasa Israel haiwezi kukaa kimya tu ikimwona hasimu wake akitengeneza silaha za nuclear kwani kesho yake zitatumika dhidi yake. Suluhisho ni kuzushambulia kabla. Kidomodomo cha Iran ndio kimemponza.

Unaweza kushinda vita ila ukawa umeumia pia. Kweli iran itashindwa but this time naona Israel atakua na maumivu makubwa kupita ya octoba 7.
Sidhani ataumia kupita October 7, kwani kipindi hicho alikamatwa off guard sasa yuko aware.
 
Mara nyingi Israel anaficha taarifa za maafa ili kuondoa taharuki lakini ukweli unaonekana kabisa......

ISRAEL amejiingiza mwenyewe kwenye angamizo lake..... Irani alikuwa anamlia timing siku nyingi sana.....

Next wave Iran ameahidi kurusha makombora 2,000 Kwa wakati mmoja......

Kila shambulio la Israel litajibiwa na maelfu ya Makombora

Nasikia jumuia za kimataifa zimeanza kutoa milio na kumtaka Iran arudi kwenye meza ya usuluhishi na Irani amekataa.....

NB
Nashauri Iran aachwe atoe somo kwa Israel ili next time awe na adabu na ajue kuwa dunia haimuogopi bali tunaheshimiana tu
Mkuu unaelewa maana ya ANGAMIZO?

Najua unapenda Israel ifutike ila hilo haliwezekani kwa sasa. Marekani na Washirika wake inawezekana walikosa sababu ya kuipiga Iran huko nyuma lakini hiki kinachoendelea sasa kinamuweka Iran kwenye risk kuliko Israel.

Ni sawa kuwa na matamanio, though.
 
Mkuu unaelewa maana ya ANGAMIZO?

Najua unapenda Israel ifutike ila hilo haliwezekani kwa sasa. Marekani na Washirika wake inawezekana walikosa sababu ya kuipiga Iran huko nyuma lakini hiki kinachoendelea sasa kinamuweka Iran kwenye risk kuliko Israel.

Ni sawa kuwa na matamanio, though.
Nyuma ya Iran kuna baba Russia, Baba China, Baba Pakistan

USA hawezi kurisk base zake na uwekezaji wake mashariki ya kati kutokana na UPUMBAVU wa Israel ambaye amechokoza balaa.....

Ulaya nzima imeshachoshwa na UPUMBAVU wa Israel na wenyewe wameshamtenga na kumuachia mwenyewe.....mtu pekee aliyebakia ni Trump ambaye na yeye anakibilia na UPINZANI mkali kwenye baraza la maseneti......

IRAN anatakiwa kupiga panapouma ili hata kama akipuruchuka ashike adabu
 
Dogo fatilia vizuri hakuna siku Iran kaanza kushambulia , hata mwaka jana Israel ndo ilianza uchokozi kwa kupiga ubalozi wa Iran
Iran imeishambulia mara nyingi sana Israel by proxy. Inawafadhili houthis, hamas etc kuipiga Israel.
 
Nyani.

Kusema Iran haijaanzisha vita una maana gani. Mwaka jana nani alianza kurusha makombora kama si Iran ?!. Nani amekuwa akifadhili vikundi visumbufu vyenye itikadi kali dhidi ya Israel ?!. Hamas, Hezboullah, Houthis nk nani ni sponsor wake kama si Iran ?!


Iran walifikiri wako salama kwa sababu za umbali wa ki jiografia. Lakini adui yake yuko advanced ki technology. Sasa wacha mwisho useme . Kujibu watajibu lakini mwisho wa siku hata viongozi wake wote watauliwa.
Hufuatilii kabisa mambo balozi ya Iran ilishambuliwa na Israel ndipo Iran ikajibu kwa kuishambulia Israel
 
Kwa nini watu wengi hawafi kama Israel ikipiga Iran?
Iran wameshakufa watu zaidi ya 200 wakati Israel hawazidi 20!
Wanakufa sana ila idadi inayotangazwa ni ndogo ili kuficha madhara..
Waandish wa habar wanakatazwa kutangaza hali halisi, ndio maana mashirika mengi ya habari yamezuiwa kuingia israel, wako,BBC, FOX na CNN hao ndo wameruhusiwa
 
Sisi tunachojua makamanda wa jeshi ngazi za juu wa Iran pamoja na wananyuklia wabobevu wameuliwa kama mizoga hata wakishusha majengo yote ukweli utabaki pale pale kwamba msiba ni mzito Kwa Iran
 
Mara nyingi Israel anaficha taarifa za maafa ili kuondoa taharuki lakini ukweli unaonekana kabisa......

ISRAEL amejiingiza mwenyewe kwenye angamizo lake..... Irani alikuwa anamlia timing siku nyingi sana.....

Next wave Iran ameahidi kurusha makombora 2,000 Kwa wakati mmoja......

Kila shambulio la Israel litajibiwa na maelfu ya Makombora

Nasikia jumuia za kimataifa zimeanza kutoa milio na kumtaka Iran arudi kwenye meza ya usuluhishi na Irani amekataa.....

NB
Nashauri Iran aachwe atoe somo kwa Israel ili next time awe na adabu na ajue kuwa dunia haimuogopi bali tunaheshimiana tu
Yaani tunafichwa Mengi huko Israel ila ninacho Kijua nikuwa
Majamaa yalisha changanyikiwa Vibaya mno
Saiv hayajui hata Yavae nini

View: https://x.com/ME_Observer_/status/1934483052576592320?t=bNJ1I8_6VR1woDm2tG-gDg&s=19
 
Back
Top Bottom