African Geek
JF-Expert Member
- Jul 29, 2022
- 916
- 1,562
Unaelewa unachoandika?Hakuna shida kwako wewe Marekani ni taifa teule na unaumia nini wengine wakisema Israel ni taifa Teule?? Umemezeshwa chuki dhidi ya Israel mpaka umevimbewa!!!!
Unaelewa unachoandika?Hakuna shida kwako wewe Marekani ni taifa teule na unaumia nini wengine wakisema Israel ni taifa Teule?? Umemezeshwa chuki dhidi ya Israel mpaka umevimbewa!!!!
We upo karibia kilometa 20000 mbali na eneo la vita hizo habari za wamekufa wangapi umezijulia wapi?Kwa nini watu wengi hawafi kama Israel ikipiga Iran?
Iran wameshakufa watu zaidi ya 200 wakati Israel hawazidi 20!
Hakuna tusi hapo labda tu una Makasiriko yako baada ya Iran kupigwa vinu vyake vya Nuclear!! Wala hapo hakuna hoja yoyote ya kujibiwaNdugu, nimekujibu kwa staha tena kwa hoja kwa kile ninachofahamu; hayo matusi Yako yanatoka wapi?
Mihemko uliyonayo kama vile jina lako litasomeka kwenye makabila 12
Narudia; JIBU KWA HOJA
Kwani vita maana yake nini?? Kwani Iran haui raia?? Acheni visingizio vya kitoto!!!Iran anapigana vita, israel anavizia kuua raia na viongozi
Nikishindwa mimi kuelewa wewe Utaelewa?Unaelewa unachoandika?
Si tulikuwa tunazungumza chanzo cha huu mjadala au sio?Hakuna tusi hapo labda tu una Makasiriko yako baada ya Iran kupigwa vinu vyake vya Nuclear!! Wala hapo hakuna hoja yoyote ya kujibiwa
Duuuuh!Kwa nini watu wengi hawafi kama Israel ikipiga Iran?
Iran wameshakufa watu zaidi ya 200 wakati Israel hawazidi 20!
Miaka ya 2000 Israel ilishawahi kutaka kuishambulia Libya sababu Libya alikuwa na mpango wa kuunda siraha za Nuclear toka Pakistan.Pakistan sio tishio kwa Israel......ukizingatia amepakana na Kibaraka wao mkubwa India ambaye anammudu vizuri......
Threat pekee kwa Israel ni Iran na anao uwezo kijeshi, kiuchumi na kiintelejensia kumuondoa Israel
Hv ndonga Kama Hz Afu Kuna mtu kutoka kwa alimaua anakwambia ISRAEL imetoa vifaa vya kujilinda kwa raia wake....aisee watu mna utani sana
Umewahi kusikia muisrael akimlilia mkongi anayepigwa mabomu na risasi kwasababu ya mali?Acha ujinga kama ni Kahaba ni wewe tu!!! Acha kueneza chuki za kukaririshwa na Wafuga Midevu na Majini.
Ni kweli Israel ni taifa teule utake Usitake watabaki kuwa taifa teule!!!
MossadWe upo karibia kilometa 20000 mbali na eneo la vita hizo habari za wamekufa wangapi umezijulia wapi?
Kwa nini watu wengi hawafi kama Israel ikipiga Iran?
Iran wameshakufa watu zaidi ya 200 wakati Israel hawazidi 20!
Daaaah kummke walahi. Hahahahaa mkuu huu mzigo umeutoa wapi?? Mambo mazito sana haya mkuu ujue?? Dooh
huyo ndiyo muajemi, hacheki na kimaDaaaah kummke walahi. Hahahahaa mkuu huu mzigo umeutoa wapi?? Mambo mazito sana haya mkuu ujue?? Dooh
Jibu swali, unafuatilia vyombo Gani vya habari ?Aljazeera na PressTv wote hao ni walewale washirika wa Magaidi. Mashirika mengi ya habari yanatoa habari za kweli na live kutoka pande zote Tatizo zikiwa ukiwa kwa Wafuga Midevu na Majini huzipotosha kupię Delia Iran uzuri vitani huwezi kupata ushindi męża i lazima tu upambane na ufaniu iwę na usipoweza mambo yako wazi kwa kila mtu!!
Ni hivi israel inataka sana Amani na majirani zake wote tatizo lao wao ndiyo wanataka kuwaangamiza, hata kama ni wewe Jirani yako akitaka kukuangamiza lazima utajitete tu kwa njia yoyote ile!!!!!Si tulikuwa tunazungumza chanzo cha huu mjadala au sio?
Nimejaribu hapo kutoa sababu kwanini Israel anashindwa kuishi kwa amani na majirani zake
Tuwekee kavideo na sisi tuone kama kweli kalała maana dunia nzima inajua yeye halali wala hasinzii!!!!Mungu wa Israel amelala usingizi wa pono.
Tel Aviv inashambuliwa vibaya.