Iran inajitahidi sana kwa kweli. Ona hizi picha

Iran inajitahidi sana kwa kweli. Ona hizi picha

View: https://m.youtube.com/watch?v=p8J1Bj57fAY
Kipindi kile cha Hamas waliwatimua Aljazeera na kufunga ofisi zao.

Ulivyo mjinga unafiki waandishi tu ndiyo wanatoa habari mtu binafsi pia anaweza kufanya hiyo kazi. Unatuaminisha kuwa waandishi wamejificha wakati wamevaa Nembo PRESS Usitufanye wote wajinga humu wewe jifariji tu salama lakini Iran anapigika vilivyo!!!!
 
unajua mimi Bila kuwa Upande wowote ila naona mashambulizi ya Israel ni mabaya zaidi na yapo kimkakati sana na sio kurusha tu mabomu,

Sasa mtu anapiga anaua viongozi wa juu wa kijeshi, anapiga anauwa wanasayansi nguli wa nyuklia. Inamaana hapo ni wazi kwamba wao wana mkakati.. sasa Iran sawa anajibu mashambulizi lakini anachofanya ni kurusha tu makombora randomly yanadondokea kwenye makazi ya watu na kwengine kusipo na tija na ni kama anazidi kumpa Israel sababu ya kumpiga vibaya zaidi

pia kwenye hii vita nimegundua kwamba ni either Iran Kuna usaliti mkubwa sana au basi uwezo wa Israel kupata taarifa ni mkubwa sana.. Maana inawezekanaje Israel akafanikiwa kwa urahisi namna hiyo kutimiza malengo yake kama kuuwa viongozi mbalimbali tena wakiwa kwenye maeneo ya vificho?? hapohapo kumbuka pia Rais wa Iran Aliuwawa katika ajali ya ndege ambayo kwa namna moja au nyingine wanasema ilisababishwa na haohao israel.

Ushauri wangu wa Iran wajitazame vizuri kwani inaonekana kuna mapandikizi mengi sana huko nchini kwao

Vita sio kitu kizuri kabisa. Nashukuru nchi yetu ina amani, na tunaomba mungu iendelee kudumu kwa vizazi hata vizazi
US kawaingiza maboya Iran,kulikuwa na mazungumzo ya maswala haya ya silaha za Nuclear kati ya Iran na US na US akaonyesha kama yana endelea vizuri na anakubaliana na baadhi ya vitu. So Iran wakaamini kama viongozi wao wapo safe. Ilikuwa inasemekana mwanzoni hata shughuli zao zilikuwa za siri na walikuwa wanaishi kwenye mahandaki. So wakati wa haya mazungumzo Iran Viongozi wao wakajiona wapo safe, wakaanza kuishi maisha yao kawaida na hapo ndipo walipo kosea.Kuna uwezekano US ndiye alikusanya taarifa za hawa viongozi, then Myahudi akaexcute mission based on taarifa aliyopewa na US.

View: https://m.youtube.com/watch?v=6sDG0aqjGlc
 
Haya ni tunayoweza kuonyeshwa, ila kiukweli yamefichwa mengi. Mwarabu si mwenzetu, wana ubavu acha wakapambane na hali zao. Ila tu kinachoonekana, Israel alijua ni kama mashambulizi ya nyuma, hakika angejua atapata kipondo cha staili ile, asingejiingiza kichwa kichwa.
Yaani wewe Kapuku unafikiri na Israel ni wajinga kama wewe?
Hapo hesabu imepigwa sawasawa hakuna makosa!!
 
Israel hawasemi kweli mkuu, lakini zaidi inalengwa miundo mbinu ya silaha Iran mbona wamefanikiwa sana huko Haifa ambako ndo kuna mtambo mkubwa wa Israel wa nuclear, usiangalie juu juu madhara kwa Israel ni makubwa sana tena ni kwa mashambulizi ya siku 2 tu
Na inaonekana mwarabu bado ana dose ya kumpa mu Israel. Na pia yawezekana anamlia timing, kuna vitu vinaweza kushuka. Kivyovyote vile, hata watu wasipokufa. Yale maghofu yatakaliwa tena? Wakazi watafidiwa sawa na walichokuwa nacho? Na kisaikolojia watakuwa sawa? Vita ni mziki kwa ambae hajawahi shuhudia vile vitu vikishuka. Hata tu silaha ndogo zikijibizana mbele zako, acha kabisa. Na hakuna asiepoteza. hayupo. Na Iran ina hasira kweli kweli. Na hakika nyuma kuna watu wanatafutana kimtindo, na hapa hapa ndo wanatunishana misuri.
 
Ulivyo mjinga unafiki waandishi tu ndiyo wanatoa habari mtu binafsi pia anaweza kufanya hiyo kazi. Unatuaminisha kuwa waandishi wamejificha wakati wamevaa Nembo PRESS Usitufanye wote wajinga humu wewe jifariji tu salama lakini Iran anapigika vilivyo!!!!
Hicho chombo cha habari huru cha India kina miaka zaidi ya mia. Tatizo lako udini umekukaa kichwani ndio mistake ya wapuuzi kama nyinyi,ukitaka kufuatilia maswala ya middle east fuatilia vyombo ambavyo ni huru haviegamii upande wowote na si mahaba yako kisa wewe Mkristo.Ndio maana nazionaga threads zako naona upuuzi mtupu. Hebu wafuatile wakina Prof Lumumba, Prof Jeffrey Sachs (Mmarekani mwenye asili ya kiyahudi) utaelewa vitu vingi na si maahaba yako ya kidini.

Naku9naga kama mjinga kwenye thread zako huna unacho kijua.
 
Ana nyege kichwani muache. Ingia X, mutafute Mario Nawful, ndo utajua hali si shwali Israel
 
Israel hawasemi kweli mkuu, lakini zaidi inalengwa miundo mbinu ya silaha Iran mbona wamefanikiwa sana huko Haifa ambako ndo kuna mtambo mkubwa wa Israel wa nuclear, usiangalie juu juu madhara kwa Israel ni makubwa sana tena ni kwa mashambulizi ya siku 2 tu
Dhibitisha UHARO wako hapa!!! AMA sivyo huo ni umbeya wako tu!!!
 
Hujui kitu!

Kwa mitikisiko wa yale mabomu hata kama kinu kiko chini haiwezi kuendelea kuwa salama tena
We unajua mahandaki ya urefu wa mita ngapi?
Wenyewe waliolipua wamedai hawana uhakika kama vinu vimeharibika.
Wewe shabiki unashikilia kuwa vimeharibika.
Bure kabisa wewe.
 
Echolimai kabaki yeye kwa ujinga wako ISRAEL inateketea Muiran inaonekana anatembea na maneno yake!!!

ISRAEL inawatu wajinga sana ni Upumbavu kuzani kuwauwa wakuu wa taasisi kubwa pale Iran ndio watashinda Vita !!!

nawaambia apa kwakuwa Waisrael ni zaifu waoga sasa wanatumia mbinu za watu zaifu nayo ni Ugaid ivyo watawauwa rais wa Iran na Ayatollaah na Mawaziri kadhaa !!!

wakidhani itasaidia kumbe ndio kujiangamiza wenyewe !!!

leo Tramp kajidai kaizuiya ISRAEL eti isimuue Ayatollah lkn ukweli upo ivi Tramp muoga wakuuwa yeye na IRAN au kupigwa ndege yake!!!

ndio wakatengeza Propaganda ya Vote kula ya kuzuiya kumuuwa Ayatollah kutoka apo Kapanda Ndege kwenda kwenye Mkutano wa G7 !!!

Uwoga wake wa Kifo ndio wakatengeza iyo ajenda.. kufanya Wairan wasiangaike nayeye Tramp janja yake ya kitoto
 
Hicho chombo cha habari huru cha India kina miaka zaidi ya mia. Tatizo lako udini umekukaa kichwani ndio mistake ya wapuuzi kama nyinyi,ukitaka kufuatilia maswala ya middle east fuatilia vyombo ambavyo ni huru haviegamii upande wowote na si mahaba yako kisa wewe Mkristo.Ndio maana nazionaga threads zako naona upuuzi mtupu. Hebu wafuatile wakina Prof Lumumba, Prof Jeffrey Sachs (Mmarekani mwenye asili ya kiyahudi) utaelewa vitu vingi na si maahaba yako ya kidini.

Naku9naga kama mjinga kwenye thread zako huna unacho kijua.
Hicho chombo kikiwa na miaka 100 ndiyo hakusemi uongo!? Wapi nimeongelea dini mimi?Aliyekuambia Mimi Mkristo nani?

Hapa inaonyesha wazi ni jinsi gani ulivyo mjinga na Mpumbavu kwa kushindwa kudhibitisha ujinga wako!!
 
Hicho chombo cha habari huru cha India kina miaka zaidi ya mia. Tatizo lako udini umekukaa kichwani ndio mistake ya wapuuzi kama nyinyi,ukitaka kufuatilia maswala ya middle east fuatilia vyombo ambavyo ni huru haviegamii upande wowote na si mahaba yako kisa wewe Mkristo.Ndio maana nazionaga threads zako naona upuuzi mtupu. Hebu wafuatile wakina Prof Lumumba, Prof Jeffrey Sachs (Mmarekani mwenye asili ya kiyahudi) utaelewa vitu vingi na si maahaba yako ya kidini.

Naku9naga kama mjinga kwenye thread zako huna unacho kijua.
Huyo jamaa watu wengi walisha muignore.
Huyo ni sentimental na mediocre.
 
Israel anapiga sehemu nyeti kama vile site za kurushia makombora na viwanda vya siraha. Huku Iran yeye anarusha maroketi hovyo tu bila target.

Mwishowe Iran ataishiwa nguvu za kurusha hivyo vikombora vyake.
 
Huku no reform no election,huku vita ya udini kati ya waislamu na wakristo,huku utekaji,huku watu kuchinjwa Nigeria(;Benue state),huku gwajima el vs polisi na Ccm,huku deni la taifa,huku vita yako dhidi ya umasikini Waafrika sijui tushikie wapi aisee hatueleweki na wala hatujui waAfrika tunataka nini Na habari zote hizo waAfrika ni wasindikizaji na mbuzi wa kafara.
Wafanyabiashara na tra
 
Iran haijaanzisha hii vita. Iran inachofanya ni kujilinda.

Huo ndo ukweli wa mambo, licha ya upande ambao mtu upo au upande unaoushabikia.

Hivyo, kwenye huu mzozo, Iran hana kosa lolote.

Na pamoja na kuzidiwa kwa karibu kila namna, Iran inajitahidi sana kwa kweli.

Hakuna anayemsaidia Iran. Hata majirani zake wanaisaidia Israel. Marekani na Uingereza wao ndo wako ten toes down katika kuisaidia Israel!

Pia, naamini madhara ya makombora ya Iran yanayotua kwenye miji tofauti huko Israel, ni makubwa zaidi ya tunavyoona.

Ndani ya Israel sasa hivi kuna military censorship ya media. Hivyo, picha halisi ya madhara ya mabomu na makombora ya Iran, haijulikani.

Ila kwa kuangalia tu baadhi ya picha chache zilizopatikana, unapata idea ni kiasi gani cha madhara ambayo Iran imesababisha.

Kwa kutokuwa na msaada wowote ule na kusababisha madhara yote hayo, Iran inajitahidi sana.

Pata picha kama Israel asingekuwa anasaidiwa na hao washirika wake….

View attachment 3370904View attachment 3370905View attachment 3370908
Labda ungeanzia kwa kueleza kitendo cha Iran kuanzisha vikundi vya kigaidi kuizunguka Israeli unakichukulia vipi. Aidha, hebu tuambie ubora uliokuwa unaelezwa wa Iran hadi kuitisha USA umeuona popote?. Labda kwa kuuliza zaidi, je Iran anaruhusu watu kupiga picha kikamilifu kwa madhara anayoyapata (ukiachana na picha anazotoa Israel)?
 
We unajua mahandaki ya urefu wa mita ngapi?
Wenyewe waliolipua wamedai hawana uhakika kama vinu vimeharibika.
Wewe shabiki unashikilia kuwa vimeharibika.
Bure kabisa wewe.
Ndio walivyokwambia?
😂 😂 😂 Kiufupi hivyo vinu ndio basi tena itabidi waanze upya, na wakianza Myahudi anakuja kulipua tena.
 
Back
Top Bottom