Iran inajitahidi sana kwa kweli. Ona hizi picha

Iran inajitahidi sana kwa kweli. Ona hizi picha

Echolimai kabaki yeye kwa ujinga wako ISRAEL inateketea Muiran inaonekana anatembea na maneno yake!!!

ISRAEL inawatu wajinga sana ni Upumbavu kuzani kuwauwa wakuu wa taasisi kubwa pale Iran ndio watashinda Vita !!!

nawaambia apa kwakuwa Waisrael ni zaifu waoga sasa wanatumia mbinu za watu zaifu nayo ni Ugaid ivyo watawauwa rais wa Iran na Ayatollaah na Mawaziri kadhaa !!!

wakidhani itasaidia kumbe ndio kujiangamiza wenyewe !!!

leo Tramp kajidai kaizuiya ISRAEL eti isimuue Ayatollah lkn ukweli upo ivi Tramp muoga wakuuwa yeye na IRAN au kupigwa ndege yake!!!

ndio wakatengeza Propaganda ya Vote kula ya kuzuiya kumuuwa Ayatollah kutoka apo Kapanda Ndege kwenda kwenye Mkutano wa G7 !!!

Uwoga wake wa Kifo ndio wakatengeza iyo ajenda.. kufanya Wairan wasiangaike nayeye Tramp janja yake ya kitoto
Ulivyoandika kama mtoto wa darasa la 3B..
 
Vinu viko salama kama unabisha bisha.
Vinu vimehamishwa vimepelekwa sehemu nyingi.
Wenzako wanalalamika huko kuwa sehemu vinu vilipopelekwa huwenda vikawa vinachakatwa kuundwa Bomu,hiyo sehemu ilipuliwe haraka.
Na wa kulipua ni USA kwa kutumia B2 bomber.
Kwamba hizo vinu ni mahunia ya viazi unajibebea tu!?

Si umesema Vipo chini ya ardhi na havijafikiwa? Sasa unasemaje tena kwamba wamehamisha?
 
Mikwara ya nini?
Au unajisahaulisha kama USA na France walienda Beirut kuishinikiza serikali ya Lebanon iishurutishe Hizbollah waweke silaha chini?
Leo hii Hezbollah wamekuwa wakushrutishwa kuweka siraha chini na wana kubali?
.
Hezbollah wale wale waliopa kuangamiza Israel? Hebu twambie kilitokea nini mpaka wakakibali kuweka siraha chini.?
 
Kwamba hizo vinu ni mahunia ya viazi unajibebea tu!?

Si umesema Vipo chini ya ardhi na havijafikiwa? Sasa unasemaje tena kwamba wamehamisha?
Soma ripoti wanazoleta wenzako humu.
Kwani kinu hakiwezi kuhamishika?
Hata kama havijafikiwa vipi kuhusu mtetemo uliotokea?
Sio sehemu salama tena kukaa kwa mtetemo uliotokea.
 
Leo hii Hezbollah wamekuwa wakushrutishwa kuweka siraha chini na wana kubali?
.
Hezbollah wale wale waliopa kuangamiza Israel? Hebu twambie kilitokea nini mpaka wakakibali kuweka siraha chini.?
Unataka kumaanisha nini kwa kusema nieleze kilichotokea??
Serikali nzima ya Lebanon imewajia juu na kuwataka wasitishe mapigano na Israel baada ya US na French officials kutembelea Beirut.
Kama serikali kuu ikaja juu unadhani wao watafanyaje ilhali wao ni sehemu ya serikali sio serikali nzima?
 
Soma ripoti wanazoleta wenzako humu.
Kwani kinu hakiwezi kuhamishika?
Hata kama havijafikiwa vipi kuhusu mtetemo uliotokea?
Sio sehemu salama tena kukaa kwa mtetemo uliotokea.
Sasa mimi si ndio nilikuwa nakwambia toka awali kwamba kwa mitikisiko ile ya mabomu ya Myahudi hizo site si salama tena ukawa unabisha?

Alafu unaposema wamehamisha, hivi hivyo vinu viko kama vya kutwangia mahindi eti?
 
😂
Unataka kumaanisha nini kwa kusema nieleze kilichotokea??
Serikali nzima ya Lebanon imewajia juu na kuwataka wasitishe mapigano na Israel baada ya US na French officials kutembelea Beirut.
Kama serikali kuu ikaja juu unadhani wao watafanyaje ilhali wao ni sehemu ya serikali sio serikali nzima?
😂 😂 😂 Kwahiyo Hezbollah siku hizi wamekuwa na adabu kiasi hicho,?

Kumbe ile mikwara yao ilikuwa ya nini basi?
 
😂

😂 😂 😂 Kwahiyo Hezbollah siku hizi wamekuwa na adabu kiasi hicho,?

Kumbe ile mikwara yao ilikuwa ya nini basi?
Kama wangekataa unadhani nani angesimama nao baadae?
Hizbollah ni sehemu ya serikali sio serikali kuu.
 
Sasa mimi si ndio nilikuwa nakwambia toka awali kwamba kwa mitikisiko ile ya mabomu ya Myahudi hizo site si salama tena ukawa unabisha?

Alafu unaposema wamehamisha, hivi hivyo vinu viko kama vya kutwangia mahindi eti?
We ulisema vinu vimeharibika kabisa.
Kwahiyo haiwezekani kuhamishika??
 
Mkuu anapumua huyo bado ponda kichwa kabisaa
 
Itafuteni hii Israel mnayoisema hapa

3t17h8fubqy61.jpg
 
We ulisema vinu vimeharibika kabisa.
Kwahiyo haiwezekani kuhamishika??
Wamehamisha saa ngapi wakati toka ijumaa ni nginja nginja mwendo wa rocket tu toka kwa Myahudi?

Mkuu vile siyo vinu vya kutwangia kisamvu kwamba unaweka tu begani unaondoka.
 
Wamehamisha saa ngapi wakati toka ijumaa ni nginja nginja mwendo wa rocket tu toka Myahudi?
Wali restore Air defense system saa ngapi hao Iran na walirejesha missile launcher saa ngapi mkuu zile zilizoharibiwa ijumaa???
 
Kama wangekataa unadhani nani angesimama nao baadae?
Hizbollah ni sehemu ya serikali sio serikali kuu.
Kwahiyo Hezbollah siyo kama Hamas bali kuna mtu wanatemtegemea?

Sasa zile mbwembwe zilikuwa za nini?
 
To
Iran haijaanzisha hii vita. Iran inachofanya ni kujilinda.

Huo ndo ukweli wa mambo, licha ya upande ambao mtu upo au upande unaoushabikia.

Hivyo, kwenye huu mzozo, Iran hana kosa lolote.

Na pamoja na kuzidiwa kwa karibu kila namna, Iran inajitahidi sana kwa kweli.

Hakuna anayemsaidia Iran. Hata majirani zake wanaisaidia Israel. Marekani na Uingereza wao ndo wako ten toes down katika kuisaidia Israel!

Pia, naamini madhara ya makombora ya Iran yanayotua kwenye miji tofauti huko Israel, ni makubwa zaidi ya tunavyoona.

Ndani ya Israel sasa hivi kuna military censorship ya media. Hivyo, picha halisi ya madhara ya mabomu na makombora ya Iran, haijulikani.

Ila kwa kuangalia tu baadhi ya picha chache zilizopatikana, unapata idea ni kiasi gani cha madhara ambayo Iran imesababisha.

Kwa kutokuwa na msaada wowote ule na kusababisha madhara yote hayo, Iran inajitahidi sana.

Pata picha kama Israel asingekuwa anasaidiwa na hao washirika wake….

View attachment 3370904View attachment 3370905View attachment 3370908
To be honest mimi bado sijaona impact ya Iran hadi kufikia kuona WANAJITAHIDI
Kwa namna Iran alivyokua anajitapa nilitegemea hadi muda huu ambapo Wakuu wake wote wa majeshi wameuwawa ndani ya Iran, wanasayansi wake wakuu wa nyukilia wameuwawa ndani ya Iran, Kambi zake za kijeshi zinapigwa vibaya sana ndani ya Iran
Mifumo ya ulinzi anga imeteketezwa anga limebakia uchi
Ndege za Israel zinaingia na kupiga zitakavyo ndani ya Iran na kurudi salama kama game za Ps5
Lakini Iran kabaki kurusha tu makombora ambayo asilimia kubwa yanazuiwa angani na yanayofika ndio yanaketa uharibifu huo pasi kuwa na shabaha za kimkakati

Anachofanya Israel kwa sasa ni kuangalia tu wapi roketi imerushiwa na ndani ya dakika chache panavurugwa vibaya.
Inasemekana Iran ilianza kwa kurusha makombora 150, ikaja 50 na mara ya mwisho imerusha chini ya 40 kwasababu Israel ina kazi ya kuhakikisha launcher zinateketezwa kwa kadiri wawezavyo kumnyima uwezo wa kurusha makombora hayo

Sasa hivi wananzengo wa Teheran wameanza kuhamishwa na Israel kama wananzengo wa Gaza..... hameni Kariakoo kesho tunatwanga, ondokeni Mikochenk kesho tunatwanga
Yaani Israel wanapiga wanapopataka at anytime bila kizuizi

Ukweli ni kwamba Iran amezidiwa pakubwa mmno
 
Back
Top Bottom