Iran inatumia akili gani kujisifia kwamba ilishaficha madude ya nyuklia na kwamba Marekani hakupiga kitu

MK254

JF-Expert Member
Joined
May 11, 2013
Posts
33,575
Reaction score
53,613
Yaani mtu uko mnyonge, halafu mbabe wako amekuja akakupiga akiamini una kitu fulani, ukapigika haswa, mbabe akaondoka akiamini amekupiga, baadaye unajisifia unasema ooohhh hicho kilisababisha unipige hukukiona, nimeshakificha sehemu......Ina maana mbabe anapata sababu tena za kugeuza aendelee kukitafuta.
Hivi kuwa kobaz ndio akili huwa zimekuhama kabisa au.....

makobaz mtaani wana hasira leo ni fulu kununa tu...
=======================

Iran's state TV further reported that the “Islamic Republic had evacuated the three nuclear sites some time ago.”

“Trump usually bluffs. The extent of the damage needs to be assessed. The Islamic Republic's nuclear industry cannot be destroyed by bombing,” state TV further reported.

Following the attack from the US, Iranian state TV presenters also warned of the incoming consequences.
 
Si mlisema Israel anatosha kumpiga Iran. Sasa leo tena mnashangilia US attacks!!!
 
Na Iran ametoka mda huu vurumusha 30 missiles
Screenshot_20250622-085802.png
 
Kwa Inteligenc ya Iran ilivyo hovyo, CIA na MOSSAD wangetambua tu kwamba kuna movements za kuhamisha hizo ordinances.

Pili, imekuaje ndege zote zifange mashambulizi sehemu tatu na kuondoka salama? Iran inapaswa kujitafakari sana.
 
Baaada ya hii vita iran itazame upya air defence zake, so far ni kama anga kao liko wazi
 
Kuna ushuhuda wa mchungaji wa kiroho aliyefunuliwa na Yesu mwenyewe,akaoneshwa mabomu makubwa sana ya nyuklia yaliyofichwa SIRINI na IRANI ambazo ni hatari zaidi duniani na pindi yakitumika yatasababisha uharibufu mkubwa sana duniani ,
iILA YESU alimtahadharisha hataruhusu zitumike kabla hajawanyakua watu wake...UNYAKUO WA WATAKATIFU WALIOKO DUNIANI UMEKARIBIA.

View: https://youtu.be/CtOZempuOhU?si=UyaYdd5iR6fr-8X1
 
Kuna ushuhuda wa mchungaji wa kiroho aliyefunuliwa na Yesu mwenyewe,akaoneshwa mabomu makubwa sana ya nyuklia yaliyofichwa SIRINI na IRANI ambazo ni hatari zaidi duniani na pindi yakitumika yatasababisha uharibufu mkubwa sana duniani ,
iILA YESU alimtahadharisha hataruhusu zitumike kabla hajawanyakua watu wake...UNYAKUO WA WATAKATIFU WALIOKO DUNIANI UMEKARIBIA.
Kwanini mnalaghai watu? Is it because of money?
 
Si mlisema Israel anatosha kumpiga Iran. Sasa leo tena mnashangilia US attacks!!!
Ni mjinga pekee asiyejua nguvu ya Israel kijeshi, huyo marekani anamtegemea muisrael na muisrael anamtegemea mmarekani kiufupi wanategemeana,jana mmarekani ameingia kuimalizia kazi nzuri iliyoanzwa na mwisraeli miaka mingi iliyopita kuondoa viongozi waaandamizi wa serikali na jeshi sio kazi ambayo kila nchi inaweza kuifanya,kama Israel angekuwa fala angekuwa alishapotea muda mrefu sana kuwa na urafiki na marekani sio kigezo kwasababu hata marekani hashindi vita zote isitoshe hata irani ana washirika wengi wenye nguvu mf.urusi na china.
 
Si mlisema Israel anatosha kumpiga Iran. Sasa leo tena mnashangilia US attacks!!!

Kwa taarifa yako, Israel haipo kwenye vita rasmi dhidi ya Iran, inapiga na kuchakaza chochote kinachoweza kutumika kuifuta kama ambavyo mtume wenu aliagiza.
 
Kuna muislamu humu alisema Iran akiguswa atatuma missiles 3,000 kwa mapigo, aisei nikawa na uwoga, nasubiri kuona hiyo jeuri au uwezo.
Nahisi sasa kwa Iran kuzimwa, ugaidi wenu umeisha
Pasipo ushabiki. Hii vita inaenda ky create tatizo kubwa zaidi, kuliko ambalo lilikuwepo. Kwa macho ya hapa utaona kama Kuna tatizo linatatuliwa, ila sivyo bali Kuna tatizo linatengezea
 
Back
Top Bottom