Matteo Vargas
JF-Expert Member
- Jan 8, 2019
- 1,054
- 1,617
Nasikia kuna msaidizi wa Ayatollah yupo kwenye payroll ya Mossad 😶Bahati mbaya mossad wapo hadi ikulu 🤣
Ukiona trump na bibi wametangaza jua mosad washaforwad mesej😁
Nasikia kuna msaidizi wa Ayatollah yupo kwenye payroll ya Mossad 😶Bahati mbaya mossad wapo hadi ikulu 🤣
Ukiona trump na bibi wametangaza jua mosad washaforwad mesej😁
Sio vyepesi Kama unavyofikiria mbona Iran nae anapenya zaidi ya Air defense 10 na kuhit targets? Hakuna air defense perfect 100% hii vita Israel hatokiUsema kweli, Irana wamedhoofishwa sana. Ingekuwa haijawai dhoofu hata USA asinge thubutu kupeleka B-2. Kwa uhalisia hii ngoma Iran kupindua ngumu kaka
Maana yangu hii. Irana vita ime mkalia vibaya, Israel alijiandaa mda mrefu , na wakatumia kipindi cha majadiliano kuhusu mpango wa nuclear kuwapumbaza Iran. Na ndio maana unaona hata viongozi wa juu wengi walikufa bila hivyo Israel asingefanya alichofanya Wala USA.. wali mtick nae akajaa pasipo kujua wale waangalizi wa mambo ya nuclear ndio wale wale... Uwezo wa Iran wa sasa upo dhaifuSio vyepesi Kama unavyofikiria mbona Iran nae anapenya zaidi ya Air defense 10 na kuhit targets? Hakuna air defense perfect 100% hii vita Israel hatoki
Kuna uzi flan uli coment unapenda vita unapenda watu wabutuane watoane dam 😂😂😂 ngoja tuone sasa na iran ata pga ngumi ya wapYes Niko upande wa Iran mkuu.
Lazima turushe bomu fatuma kule Israel.
Hakuna unyakuo ni utapeliKuna ushuhuda wa mchungaji wa kiroho aliyefunuliwa na Yesu mwenyewe,akaoneshwa mabomu makubwa sana ya nyuklia yaliyofichwa SIRINI na IRANI ambazo ni hatari zaidi duniani na pindi yakitumika yatasababisha uharibufu mkubwa sana duniani ,
iILA YESU alimtahadharisha hataruhusu zitumike kabla hajawanyakua watu wake...UNYAKUO WA WATAKATIFU WALIOKO DUNIANI UMEKARIBIA.
Sema fowdor siyo fowder,,,Sema nuclear bomb siyo nuclear boom! Kweli nimeamini kobaz ni vilazaIran hata akisena hayo watamfanya nini? We kwenye akili yako watamfanya nini zaidibl ya walicho fanya. Mimi na kupa ukweli Fawder haikuguswa wamepiga pale lakini Fawder ni Nuclear boom tu ndio inaweza kuifikia Trump katoka zero pale ndio sababu Iran wanamcheka wanamuambia tulihamisha kila kitu hahaha.
Hayo MOP hayafiki zaidi ya 600 meter na Fawder ipo 900 meter to 1 km, nwacheni Trump ajiolpe ushindi kwenye twitter hahaha
Unyakuo usubiri kwanza hadi nishuhudie ccm ikitolewa mkuku 😤Kuna ushuhuda wa mchungaji wa kiroho aliyefunuliwa na Yesu mwenyewe,akaoneshwa mabomu makubwa sana ya nyuklia yaliyofichwa SIRINI na IRANI ambazo ni hatari zaidi duniani na pindi yakitumika yatasababisha uharibufu mkubwa sana duniani ,
iILA YESU alimtahadharisha hataruhusu zitumike kabla hajawanyakua watu wake...UNYAKUO WA WATAKATIFU WALIOKO DUNIANI UMEKARIBIA.
Lakini pia Iran inaweza kuzushambulia nchi hizi zote shekheSi mlisema Israel anatosha kumpiga Iran. Sasa leo tena mnashangilia US attacks!!!
Tuko makini mno.Tuko na BICHWA KOMWE na DIVISHENI FOO tunafuatilia kwa umakini kinachojiri Middle East.
Mossad daily ndo wanamvalisha pampaz na kumsafisha ayatollah. Sasa kama hadi huko wapo basi Iran nzimaa ipo uchiiii mbele za yahuuuudiiiii na US babyBahati mbaya mossad wapo hadi ikulu 🤣
Ukiona trump na bibi wametangaza jua mosad washaforwad mesej😁
Russia inaziongoza Islamic and other satanic (China, N.K, Turkey n.k) nations kutaka kuifuta Israel duniani. Kuna vita inakuja ambapo Russia itayaongoza mataifa ya kiislamu kuivamia Israel, cha kushangaza na kufurahisha ni kwamba still kobaaaz mibusha watakung'utwa tena vibaya mnooooo.Kama Iran ingefaulu kupata silaha za nyuklia na ilivyo na chuki za kiislamu basi tungekua na tatizo mara mia zaidi.
Ona Wanavyorusha makombora kuelekea Israel bila kujali wanalenga nani, huo hapo ndio ugaidi ambao pia ulifanywa na wale magaidi wa uislamu akina HAMAS.
Shekh,kapate supu ya nguruwe kidogo upoze machugu. US ni hatari mno kwa magaidi.Iran hata akisena hayo watamfanya nini? We kwenye akili yako watamfanya nini zaidibl ya walicho fanya. Mimi na kupa ukweli Fawder haikuguswa wamepiga pale lakini Fawder ni Nuclear boom tu ndio inaweza kuifikia Trump katoka zero pale ndio sababu Iran wanamcheka wanamuambia tulihamisha kila kitu hahaha.
Hayo MOP hayafiki zaidi ya 600 meter na Fawder ipo 900 meter to 1 km, nwacheni Trump ajiolpe ushindi kwenye twitter hahaha
Myahudi +USA noumer baada ya kipondo hiki wamesikika kobaaz mibusha wakimtaadharisha allah awe makini sana na myahudi maana myahudi atakuwa anajua allah alipo na akitaka kumkung'uta anamkung'uta vizuri tu.Kama watu wanajua mapaka kitanda anacholala mkuu wa Usalama na Mkuu wa majesho na wamewatungua kama kuku.....watashindwa kujua wapi vitu vimefichwa?
Nimeichoka amani mkuu kwa sababu amani hailipi maana Ina unafiki mwingi.Kuna uzi flan uli coment unapenda vita unapenda watu wabutuane watoane dam 😂😂😂 ngoja tuone sasa na iran ata pga ngumi ya wap