Iran inatumia akili gani kujisifia kwamba ilishaficha madude ya nyuklia na kwamba Marekani hakupiga kitu

Yaani mtu uko mnyonge, halafu mbabe wako amekuja akakupiga akiamini una kitu fulani, ukapigika haswa, mbabe akaondoka akiamini amekupiga, baadaye unajisifia unasema ooohhh hicho kilisababisha unipige hukukiona, nimeshakificha sehemu......Ina maana mbabe anapata sababu tena za kugeuza aendelee kukitafuta.
Hivi kuwa kobaz ndio akili huwa zimekuhama kabisa au.....

makobaz mtaani wana hasira leo ni fulu kununa tu...
=======================

Iran's state TV further reported that the “Islamic Republic had evacuated the three nuclear sites some time ago.”

“Trump usually bluffs. The extent of the damage needs to be assessed. The Islamic Republic's nuclear industry cannot be destroyed by bombing,” state TV further reported.

Following the attack from the US, Iranian state TV presenters also warned of the incoming consequences.
Unaumiza kichwa bure kwenye VITA ADUI WA KWANZA NI UKWELI
 
Nuclear sio ushuzi tunakukumbusha!!!!!!
 
Kuna ushuhuda wa mchungaji wa kiroho aliyefunuliwa na Yesu mwenyewe,akaoneshwa mabomu makubwa sana ya nyuklia yaliyofichwa SIRINI na IRANI ambazo ni hatari zaidi duniani na pindi yakitumika yatasababisha uharibufu mkubwa sana duniani ,
iILA YESU alimtahadharisha hataruhusu zitumike kabla hajawanyakua watu wake...UNYAKUO WA WATAKATIFU WALIOKO DUNIANI UMEKARIBIA.
Mkuu wewe unauziwa na pusha yupi mbona huku tunauziwa ambazo hazina nguvu?
 
Yaani mtu uko mnyonge, halafu mbabe wako amekuja akakupiga akiamini una kitu fulani, ukapigika haswa, mbabe akaondoka akiamini amekupiga, baadaye unajisifia unasema ooohhh hicho kilisababisha unipige hukukiona, nimeshakificha sehemu......Ina maana mbabe anapata sababu tena za kugeuza aendelee kukitafuta.
Hivi kuwa kobaz ndio akili huwa zimekuhama kabisa au.....

makobaz mtaani wana hasira leo ni fulu kununa tu...
=======================

Iran's state TV further reported that the “Islamic Republic had evacuated the three nuclear sites some time ago.”

“Trump usually bluffs. The extent of the damage needs to be assessed. The Islamic Republic's nuclear industry cannot be destroyed by bombing,” state TV further reported.

Following the attack from the US, Iranian state TV presenters also warned of the incoming consequences.
Iran anatakiwa kumjibu USA kwa vitendo, asiwe kama mwanamke anayejisifia kuwa aliyempa mimba hana nguvu za kiume.
 
Baaada ya hii vita iran itazame upya air defence zake, so far ni kama anga kao liko wazi
Irani inafeli kwenye Intelijensia. Inaonekana siri zinavujishwa hadi na Ayatola mwenyewe. Wabaya wa Irani wanajua kila kinachoendelea ndani ya Irani.
Juzi kati Irani walijisifu wameiba siri nyingi toka Israeli. Lakini cha ajabu wakashambuliwa na Israeli waliokua ndani ya ardhinya Irani. Yaani watu wanakuja kwako hadi wanajenga base ya drones wewe huna habari. So ni suala la intelijensia zaidi nionavyo.
 
Wanapiga mno kelele , idara zao zq usalama zifumuliwe waanze upya
 
Mwanzoni alikuwa anavurumisha missiles 100 Hadi 200 kuendelea. Siku hizi anarusha 10 Hadi 20. Leo kwa kufura kwa hasira kama Simba aliyeguswa Kende, kajitahidi kurusha 30 na 5 ndio zimefika.
Ila sio mbaya, kuliko kukosa kabisa kurusha
 
Bahati nzuri ukimkuta mwislam mwenye Imani Huwa hamungunyi maneno hatetereki Wala humtishi kuhusu kufa,huo ndio ukweli wake amesema mzigo ameshautoa muda tembelea BBC huko Wana picha ya satellite ya maroli kubao ktk halakati huenda mzigo ulikuwa unahamishwa na mzigo uliopo watosha kuunda kombora likaifuta Israel ila khamenei alishasema matumizi yake ni nishati na ya amani sasa wataka wamlishe maneno kuwa Nia ni bomu,huko alikoyapeleka anaweza kutengeneza vizuri ila Imani imekataa kuua mpaka wasiohusika Kwa ukubwa wake vita Bado hii
 
Walisema 400 Jana.
Sijajua kimetokea Nini maana Kasi Yao ya urushaji wa makombola
Usema kweli, Irana wamedhoofishwa sana. Ingekuwa haijawai dhoofu hata USA asinge thubutu kupeleka B-2. Kwa uhalisia hii ngoma Iran kupindua ngumu kaka
 
Kwa Inteligenc ya Iran ilivyo hovyo, CIA na MOSSAD wangetambua tu kwamba kuna movements za kuhamisha hizo ordinances.

Pili, imekuaje ndege zote zifange mashambulizi sehemu tatu na kuondoka salama? Iran inapaswa kujitafakari sana.
Sasa kama viongozi wanajificha kwenye bunker na wanajua.
Watashidwa hicho.

Afu vingu vya nuclear unahamishaje.
Ujuvi washaelewa
 
Yaani mtu uko mnyonge, halafu mbabe wako amekuja akakupiga akiamini una kitu fulani, ukapigika haswa, mbabe akaondoka akiamini amekupiga, baadaye unajisifia unasema ooohhh hicho kilisababisha unipige hukukiona, nimeshakificha sehemu......Ina maana mbabe anapata sababu tena za kugeuza aendelee kukitafuta.
Hivi kuwa kobaz ndio akili huwa zimekuhama kabisa au.....

makobaz mtaani wana hasira leo ni fulu kununa tu...
=======================

Iran's state TV further reported that the “Islamic Republic had evacuated the three nuclear sites some time ago.”

“Trump usually bluffs. The extent of the damage needs to be assessed. The Islamic Republic's nuclear industry cannot be destroyed by bombing,” state TV further reported.

Following the attack from the US, Iranian state TV presenters also warned of the incoming consequences.
Halafu wanataka kuitisha baraza kwa dharula.
 
Kuna ushuhuda wa mchungaji wa kiroho aliyefunuliwa na Yesu mwenyewe,akaoneshwa mabomu makubwa sana ya nyuklia yaliyofichwa SIRINI na IRANI ambazo ni hatari zaidi duniani na pindi yakitumika yatasababisha uharibufu mkubwa sana duniani ,
iILA YESU alimtahadharisha hataruhusu zitumike kabla hajawanyakua watu wake...UNYAKUO WA WATAKATIFU WALIOKO DUNIANI UMEKARIBIA.
Mimi ni mkristo ila nimejikuta nimefurahi sana
 
Bahati nzuri ukimkuta mwislam mwenye Imani Huwa hamungunyi maneno hatetereki Wala humtishi kuhusu kufa,huo ndio ukweli wake amesema mzigo ameshautoa muda tembelea BBC huko Wana picha ya satellite ya maroli kubao ktk halakati huenda mzigo ulikuwa unahamishwa na mzigo uliopo watosha kuunda kombora likaifuta Israel ila khamenei alishasema matumizi yake ni nishati na ya amani sasa wataka wamlishe maneno kuwa Nia ni bomu,huko alikoyapeleka anaweza kutengeneza vizuri ila Imani imekataa kuua mpaka wasiohusika Kwa ukubwa wake vita Bado hii
Tunaomba picha
 
Iran hata akisena hayo watamfanya nini? We kwenye akili yako watamfanya nini zaidibl ya walicho fanya. Mimi na kupa ukweli Fawder haikuguswa wamepiga pale lakini Fawder ni Nuclear boom tu ndio inaweza kuifikia Trump katoka zero pale ndio sababu Iran wanamcheka wanamuambia tulihamisha kila kitu hahaha.

Hayo MOP hayafiki zaidi ya 600 meter na Fawder ipo 900 meter to 1 km, nwacheni Trump ajiolpe ushindi kwenye twitter hahaha
Mara hayapigwa.
Mara waliamisha mara wamekosa target.
Baada ya tukio wakasema USA wameazisha vita rasmi kwa walichofanya.

Sasa tukaamini yetu.
 
Back
Top Bottom