Iran inatumia akili gani kujisifia kwamba ilishaficha madude ya nyuklia na kwamba Marekani hakupiga kitu

Iran inatumia akili gani kujisifia kwamba ilishaficha madude ya nyuklia na kwamba Marekani hakupiga kitu

Yaani mtu uko mnyonge, halafu mbabe wako amekuja akakupiga akiamini una kitu fulani, ukapigika haswa, mbabe akaondoka akiamini amekupiga, baadaye unajisifia unasema ooohhh hicho kilisababisha unipige hukukiona, nimeshakificha sehemu......Ina maana mbabe anapata sababu tena za kugeuza aendelee kukitafuta.
Hivi kuwa kobaz ndio akili huwa zimekuhama kabisa au.....

makobaz mtaani wana hasira leo ni fulu kununa tu...
=======================

Iran's state TV further reported that the “Islamic Republic had evacuated the three nuclear sites some time ago.”

“Trump usually bluffs. The extent of the damage needs to be assessed. The Islamic Republic's nuclear industry cannot be destroyed by bombing,” state TV further reported.

Following the attack from the US, Iranian state TV presenters also warned of the incoming consequences.
Kobazi mzee madevu kazi anayo..
 
Pasipo ushabiki. Hii vita inaenda ky create tatizo kubwa zaidi, kuliko ambalo lilikuwepo. Kwa macho ya hapa utaona kama Kuna tatizo linatatuliwa, ila sivyo bali Kuna tatizo linatengezea

Kama Iran ingefaulu kupata silaha za nyuklia na ilivyo na chuki za kiislamu basi tungekua na tatizo mara mia zaidi.
Ona Wanavyorusha makombora kuelekea Israel bila kujali wanalenga nani, huo hapo ndio ugaidi ambao pia ulifanywa na wale magaidi wa uislamu akina HAMAS.
 
Sisi tunampelekea moto Israel kwanza afu badaye tutaona vipi kuhusu USA. Kipigo cha leo asubuhi hicho


View: https://youtu.be/YqxJyD3DN7s?si=Qy1llfFKOv7w588V


Kuna siku ulinibabaisha sana uliposema Iran atatuma makombora 3,000 kwa mpigo, nilisubiri hicho kiama, hata leo nilidhani ndicho watafanya, yaani wametuma tukombora 30, kweli nimeamini sasa Iran inaonewa tu.
Hamna taifa la kiislamu lililobaki kama tishio, dunia inaelekea kwenye amani ya kudumu.
 
Wairani wamezingua sana kwenye kutangaza kuwa wamehamisha nukes zao, wakati ingekuwa ni wakati muafaka wa wao kuja na surprise Kwa kukamilisha mipango yao wakati huu ambapo adui(Israel and allies) wameamini kuwa kazi imeishia, lakini wap badala yake wanatangaza kuwa wamehamisha mizigo yao hàwajui kaa jamaa wanaweza pata justification ya Kuanza ground battle (infantry units) wakamalizwa kabisa
 
Kama Iran ingefaulu kupata silaha za nyuklia na ilivyo na chuki za kiislamu basi tungekua na tatizo mara mia zaidi.
Ona Wanavyorusha makombora kuelekea Israel bila kujali wanalenga nani, huo hapo ndio ugaidi ambao pia ulifanywa na wale magaidi wa uislamu akina HAMAS.
Naweka ushabiki pembeni mkuu. Israel ameua watu wengi sana, ukilinganisha na Iran. Hapa hii vita haitatui tatizo bali inatengeza tatizo la kudumu. Ukiachana nchi na nchi. Hakuna mwanadamu mwenye kupumua alie Bora kuliko mwenzake. Leo Libya, Iraq, na baadhi ya nchi kumekuwa na tatizo la kudumu na tabu ya kudumu. Iran kutengeza siraha za maangamizi haikuwa tatizo, ila sasa hivi ndio tatizo limtengezwa ambalo Lita chafua zaidi hapo mashariki ya kati
 
Yaani mtu uko mnyonge, halafu mbabe wako amekuja akakupiga akiamini una kitu fulani, ukapigika haswa, mbabe akaondoka akiamini amekupiga, baadaye unajisifia unasema ooohhh hicho kilisababisha unipige hukukiona, nimeshakificha sehemu......Ina maana mbabe anapata sababu tena za kugeuza aendelee kukitafuta.
Hivi kuwa kobaz ndio akili huwa zimekuhama kabisa au.....

makobaz mtaani wana hasira leo ni fulu kununa tu...
=======================

Iran's state TV further reported that the “Islamic Republic had evacuated the three nuclear sites some time ago.”

“Trump usually bluffs. The extent of the damage needs to be assessed. The Islamic Republic's nuclear industry cannot be destroyed by bombing,” state TV further reported.

Following the attack from the US, Iranian state TV presenters also warned of the incoming consequences.
Iran hata akisema hayo watamfanya nini? We kwenye akili yako watamfanya nini zaidi ya walicho fanya. Mimi na kupa ukweli Fawder haikuguswa wamepiga pale lakini Fawder ni Nuclear boom tu ndio inaweza kuifikia Trump katoka zero pale ndio sababu Iran wanamcheka wanamuambia tulihamisha kila kitu hahaha.

Hayo MOP hayafiki zaidi ya 600 meter na Fawder ipo 900 meter to 1 km, nwacheni Trump ajipe ushindi kwenye twitter hahaha
 
Hawa jamaa watapinduliwa. Uongozi mzima utabadilishwa. Waendelee kukomaa, wakilegea tu wameisha.
Na Hilo ndio lengo la mzayuni na rafiki yake marekani na wananchi walio wengi wa Iran,ujue wananchi wengi walalahoi wa Iran hawaitaki serikali ya Ayatollah Ali Khemenei,wanataka moderate Islamic state with democracy wanataka wawe na uhuru kama walivyo waislamu wa Dubai na kwingineko hawaitaki serikali yenye msimamo mkali kama serikali ya Ayatollah. Lengo hapo ni ku sweep hizo nukes then ku sweep uongozi mzima. Waweke viongozi wenye mrengo wa kawaida.
 
Kuna siku ulinibabaisha sana uliposema Iran atatuma makombora 3,000 kwa mpigo, nilisubiri hicho kiama, hata leo nilidhani ndicho watafanya, yaani wametuma tukombora 30, kweli nimeamini sasa Iran inaonewa tu.
Hamna taifa la kiislamu lililobaki kama tishio, dunia inaelekea kwenye amani ya kudumu.
Lini nilikuambia watapiga 3000 nilicho sema wakitaka kupiga hata Missiles 2000 wanaweza je nilisema kwa siku moja? Nipe hio quote
 
Kuna ushuhuda wa mchungaji wa kiroho aliyefunuliwa na Yesu mwenyewe,akaoneshwa mabomu makubwa sana ya nyuklia yaliyofichwa SIRINI na IRANI ambazo ni hatari zaidi duniani na pindi yakitumika yatasababisha uharibufu mkubwa sana duniani ,
iILA YESU alimtahadharisha hataruhusu zitumike kabla hajawanyakua watu wake...UNYAKUO WA WATAKATIFU WALIOKO DUNIANI UMEKARIBIA.
Huu upuuz unawasaidia nini kudanganya
 
Yaani mtu uko mnyonge, halafu mbabe wako amekuja akakupiga akiamini una kitu fulani, ukapigika haswa, mbabe akaondoka akiamini amekupiga, baadaye unajisifia unasema ooohhh hicho kilisababisha unipige hukukiona, nimeshakificha sehemu......Ina maana mbabe anapata sababu tena za kugeuza aendelee kukitafuta.
Hivi kuwa kobaz ndio akili huwa zimekuhama kabisa au.....

makobaz mtaani wana hasira leo ni fulu kununa tu...
=======================

Iran's state TV further reported that the “Islamic Republic had evacuated the three nuclear sites some time ago.”

“Trump usually bluffs. The extent of the damage needs to be assessed. The Islamic Republic's nuclear industry cannot be destroyed by bombing,” state TV further reported.

Following the attack from the US, Iranian state TV presenters also warned of the incoming consequences.
Kama kweli ilificha basi iyatumie kwa dharura kulipiza kisasi
 
Ukishapika chakula chako kikaiva ukaingiza ndani ukahifadhi kabatini salama, mwehu akaja akamwagia jiko lako LA Kuni maji na kutangaza amekuweza na wewe ukatangaza chakula chako Kiko salama ndani na familia Yako itakula, haitalala njaa. KUNA SHIDA GANI? KUNA TATIZO HAPO.?

Africa tuache ushabiki maandazi. Hayo mambo ni makubwa beyond our normal understanding. Hii ni meza ya wakubwa na wanajua kitu wanafanya. New world order inalazimishwa sisi tunakenua TU meno na kushangilia.

By the way tungekuwa na akili tungesimama na wanaopinga New World order.

Hivi tumeshajua sisi kwenye new world order tutakuwa na position Gani?

Maana mpaka miaka ya 60 hapo tulikuwa:
  • cheap labourers
  • producer of raw materials

Post 1960 after independence tumekuwa bado:
  • cheap producer of raw materials
  • Markets of finished goods
  • cheap labourers

Sasa tuwaze after New world order tutakuwa nani???

And of course Iran is right to defend herself against tyranny and all other resistance fighters are right.

Remember kulikuwa na lengo LA kuwapa wanna wa Israel feki Jimbo America au kipande cha Ardhi Uganda ila wakakataa na wakataka kwenda pale middle east kwasababu ya Balance of power. Mzungu anataka amcontrol muarabu. Those are fake Israelis, akina Bibi Netapaka na wenzie wote ni Wazungu.

Am not a proponent of any war that leads to suffering of the innocents and destruction of infrastructures that mankind have toiled for so many years to put up, but I am a supporter of all those who stand to defend themselves and fight for righteousness.

Patria O Muerte
 
Iran hata akisena hayo watamfanya nini? We kwenye akili yako watamfanya nini zaidibl ya walicho fanya. Mimi na kupa ukweli Fawder haikuguswa wamepiga pale lakini Fawder ni Nuclear boom tu ndio inaweza kuifikia Trump katoka zero pale ndio sababu Iran wanamcheka wanamuambia tulihamisha kila kitu hahaha.

Hayo MOP hayafiki zaidi ya 600 meter na Fawder ipo 900 meter to 1 km, nwacheni Trump ajiolpe ushindi kwenye twitter hahaha
Wewe bwege kuandika tu hujui kweli unaweza hata kujenga hoja na GTs?? Nenda MEMKWA kwanza
 
Back
Top Bottom