Iran inatumia akili gani kujisifia kwamba ilishaficha madude ya nyuklia na kwamba Marekani hakupiga kitu

Iran inatumia akili gani kujisifia kwamba ilishaficha madude ya nyuklia na kwamba Marekani hakupiga kitu

Kwa Inteligenc ya Iran ilivyo hovyo, CIA na MOSSAD wangetambua tu kwamba kuna movements za kuhamisha hizo ordinances.

Pili, imekuaje ndege zote zifange mashambulizi sehemu tatu na kuondoka salama? Iran inapaswa kujitafakari sana.
Kitu cha ajabu kilichonishtua ni kwamba kumbe US alimpa taarifa Iran in advance kuwa atashambulia hizo sites!
 
Yaani mtu uko mnyonge, halafu mbabe wako amekuja akakupiga akiamini una kitu fulani, ukapigika haswa, mbabe akaondoka akiamini amekupiga, baadaye unajisifia unasema ooohhh hicho kilisababisha unipige hukukiona, nimeshakificha sehemu......Ina maana mbabe anapata sababu tena za kugeuza aendelee kukitafuta.
Hivi kuwa kobaz ndio akili huwa zimekuhama kabisa au.....

makobaz mtaani wana hasira leo ni fulu kununa tu...
=======================

Iran's state TV further reported that the “Islamic Republic had evacuated the three nuclear sites some time ago.”

“Trump usually bluffs. The extent of the damage needs to be assessed. The Islamic Republic's nuclear industry cannot be destroyed by bombing,” state TV further reported.

Following the attack from the US, Iranian state TV presenters also warned of the incoming consequences.
Ametumia hekma coz anajuwa kulipa kisasi hawezi so njia pekee ya kupuuza ndio hivyo alivyoongea coz kinyume chake angesema marekani mtajuta kwa mlichokifanya 😆😆😆kitu ambacho kipo juu ya uwezo wake
 
Kitu cha ajabu kilichonishtua ni kwamba kumbe US alimpa taarifa Iran in advance kuwa atashambulia hizo sites!
acha kabisa mkuu, Iran kaonesha upuuzi wa hali ya juu.
 
Back
Top Bottom