Adiosamigo
JF-Expert Member
- Oct 2, 2013
- 7,681
- 9,892
Israel ambaye alikuwa anajisifu yeye ni super power hakuna hata risasi inaweza kupenya, leo hi analia na kupiga kelele Iran anataka kunipiga namba mnisaidie😄
Iran kafanikiwa kushinda vita kabla hajanza, kwa kuyafedhehesha mataifa kama US, UK, France, Germany na Nato kiujumla. Kayafedhesha kuwa haya mataifa ndio yanayo fanya genocide Gaza, na Israel ndio tools wanaitumia tu.
Iran kaweza kuyafedhehesha mataifa kama Jordan. Saud Arabia, UAE na badhi ya nchi za kiarabu, kwa kudai watangusha missiles na drones za Iran. Iran kaweza kuyafedhehesha mataifa ya kiarabu kama Qatar, na Egypt kukimbilia kumaliza deal ya vita kusimamisha haraka haraka, ili Iran aspige Israel. Iran pia kalifedhehesha taifa la Jordan kwenda mbio mbio kuomba Iran asipige Israel. Qatar mpaa kafikia kuwatisha viongozi wa Hamas atawafukuza Qatar, wasipo kubali deal. Hapa ni wazi viongozi wa nchi za kiarabu hawataki Israel ingo'lewe pale Middle East.
Swali hapa lini Jordan, US, France. UK, na Germany walienda kwa Shetanyahu kumuambia atumie akili, vita havina faida kama alivyo enda Jordan kwa Iran, na hao wengine kwa simu na kutumia mediation kumuambia Iran afanye subra n.k 😄