Adiosamigo
JF-Expert Member
- Oct 2, 2013
- 7,681
- 9,892
- Thread starter
- #61
We hujafahamu dogo bado Iran atampiga Isreal kwa sheria iliopa UN na Israel na US na Western pamoja na vibaraka vyao wakigusa Iran. Watakuwa wamenda nje ya UN hapo ndipo China, Korea, Mrusi wanapangojea ili wamtie adabu US. Hi game ni ngumu sio kama unavyo fikiria wewe US na Western na Israel hawawezi enda vita bila kutumia mikwara ya UN na hapo watakosa support kabisa.ambacho hujui
Kujifanya victim wakat ww ndo mkorofi ni aina ya warfare
“Nakupiga kishaa naanza kulia kuomba msaada watu wakija tunakupiga tena”
Elewa technic