Adiosamigo
JF-Expert Member
- Oct 2, 2013
- 7,681
- 9,892
- Thread starter
- #21
View: https://youtu.be/agAegwwTtJk?si=fkbFaAEdscb1iv-y
US anasema tunakubaliana na Israel, kipigo cha Iran kitakuwa kikubwa sana kwa Israel.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
We si ndio unaye tupa GPA za uharo kutokana na experience zako za uharo ulio nao 😄Kwa huu uharo ulioandika hapa inaonekana wazi kabisa hauna akili timamu taka taka kabisa
Madrasa hiyoMpumbavu wewe
Kama hujui kiingereza na hujaelimika sio kosa languStori za msikitini
Bibilia zenu mbona zinasema mko wengi tu majini kwenye ukristo haha Marko 5. 7-9Huko wanapowainamia majini?
Umevaa pampers?Baadae msianze kulia Lia hapa intarahamwe nyie
Usolii usolii.. kha sheila ha.. yaani SourceMkuu uzuri wako huwa unawapa source ya uhakika sio kama hawa wagalatia wanapenda ushabiki wa blah blah na kudandia mambo.
Yaani wewe hubishani na mtu bali unampiga tofa la utosi anakaa mwenyewe.😆

Ndiyo maana kina Mwambosa wanatajirika kwa mabwege kama nyie.
View: https://x.com/marionawfal/status/1823323726718386584?s=46&t=mTROWpaJUT8H393JMgWOvw
Anaota akijenga ghorofa baharini.Akili za msikitini
Yes, kuwaza wale ma bikra 72 atakaozawadiwa akishafika mbinguni baada ya kujitoa muhangaAkili za madrasa
Mimi ninafuatilia habari za kimataifa, ni kwamba mtoa mada kaingiza na ya kwake nadhani ya ushabiki wa kiitikadi.Iran ni bonge la joka la kibisa. Iran anajua fika kwamba akiishambulia tu Israel gharama ya kulipa ni kubwa na ndio maana anajikanyaga ila hayo ya kusema eti ameombwa ni porojo tu za kawaida za jihadists wa masjid ubwabwa.
Wacha kuimba ngojera wewe Iran ana Hypersonic missile hata ndege hazioni kitu hapo. Afu kwa infomation yako katika Hypersonic missiles alizo rusha Iran kwenda Israel April 2024 hakuna hata missiles ilio angushwa zote zilipiga target. We sikiliza ngojera za Israel eti 99% ziliangushwa 😄Mnap
Mnapoandika, kwanza muwe mnajiuliza kama mna uelewa wa kutosha kuhusiana na jambo mnaloenda kuliandika.
Hivi hayo mataifa yote, hasa hayo ya Kiarabu, kama Iran akiipiga Israel, yanaumizwa na nini?
Hayo mataifa yote yanayoitaka Iran isijaribu kuishambulia Israel, yana watu wenye hekima, wanaojua madhara makubwa yatakayowapata wananchi, zaidi kwa upande wa Iran, na kiasi kwa Waisrael, na kwa kiasi kudogo sana kwa wananchi wa mataifa yao, kuanzia usalama, na zaidi kwenye uchumi. Ufahamu kuwa Israel haipakani na Iran, ili Iran ipigane na Israel, ni lazima viwe vita vya anga, na kwenye vita vya anga, Iran ni dhaifu sana ukilinganisha na Israel. Karibuni tu hapo Iran iliporusha msululu wa maroketi na drones kwa Israel, hayakuwa na madhara yoyote makubwa. Israel ilishambulia mara moja tu Iran, na ikawa kwenye target, ikateketeza mtambo uliotumika kurusha makombora, na Iran ikawa kimya.
Iran ikianza kurusha makombora dhidi ya Israel, mengi yatadunguliwa na kuangukia ndani ya mataifa mengine, na mabaki hayo yanaweza kuleta madhara kwa mataifa hayo. Na pia tafiti za kitaalam kwenye mambo ya kivita, zinasema kuwa Iran ina silaha nyingi lakini ni outdated, za tekinolojia duni, zisizo na precisjon. Mfano mmojawapo umeona hata chopa iliyomwua Rais wao. Kutokana na kasoro hizo, inaweza kutokea ikalenga makombira yakatue Israel, halafu mengine yakaishia kudondokea katika mataifa mengine kwa kukosa precision. Ndiyo maana mataifa hayo, hayataki hilo litokee.
Lakini pia, Iran inachukiwa na mataifa karibia yote ya Mashariki ya kati kwa sababu ni nchi inayoanzisha na kuyafadhili makundi ya kigaidi dhidi ya Serikali zote zisizo za kishia. Ndiyo maana usishangae, siku Iran ikirusha makombora kwenda Israel, mengi yatadunguliwa na mataifa ya kiarabu kabla hayajaingia kwenye anga la Israel, kama ilivyotokea safari iliyopita.
Mataifa karibia yote ya kiarabu yana mahusiano mazuri na Israel, japo siyo kwa uwazi sana, kwa sababu Israel ndiye mbabe wa kukabiliana na Taifa la kigaidi la Iran. Mataifa ya kiarabu wala hayana huruma na magaidi ya Hamas, Hezbollah n.k., yanaumizwa na mauaji ya wapalestina wasio na hatia, kama ambavyo imekuwa kwa nchi nyingi za Ulaya.
Sasa ukiwa na akili ndogo na uelewa mdogo, utachukulia mambo kama ulivyoyachukulia.
Hsta Yesu pia sliwayoroka hawa wairael,lakini walimkamata ña kumsulubu na kumuua.Aliyekuja kuwakomboa,ili wapate uzima wa milele,walimuua,na kumuita mtoto nje ya ndoa.Kiongozi wenu mpya wa Hamas Yahya sinwar alivyokuwa anatoroka ndani ya handaki
View attachment 3069041